Anga zimefunguliwa, lakini wenye ndege zao wamegoma kuzileta nchini!

Anga zimefunguliwa, lakini wenye ndege zao wamegoma kuzileta nchini!

Sawa umesikika mkuu.
Kuna jingine? Au bado unataka kuongeza matusi?

Tukana hadi hasira ziishe hii kisha tutajadili hoja hii mijadala ipo tu, cha muhimu afya yako yako. Usije ukajidhuru kwa msongo wa mawazo tutapoteza mtu muhimu kwa taifa.
Hoja hii hapa wauza chipsi wote wauza matunda wote hawana ndoo za kunawa mikono hawavai barakoa wakiugua wanawaambukiza wateja wao ndiyo maana corona haiwezi kuishi Tanzania kwani CCM imeruhusu waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
 
Uswahilini mitaani masikini wengi wamefia majumbani wengine kwenye zahanati wengine wamefia njiani wakipelekwa Hosptal, ndugu zao wanaogopa kusema ni corona kwa kuogopa kwenda kuwekwa karantini, Ugonjwa upo watu wanakufa na Balozi zote wana taarifa za mitaani kote wanajua kila kitu.
Mkuu nchi ina Rais wa hovyo kabisa,ni katili asiyejali maisha ya watu na ndo maana aliwafukuza kikatili kazi maelfu ya watu wenye familia, halafu anajifanya mcha Mungu, kutwa mbele ya kanisa akipiga magoti kumbe ni satanic agent
 
CCM ndiyo imeamua corona isambae kwa kuacha kuhimiza uvaaji barakoa kunawa mikono kupaka vitakasa mikono, CCM ya sasa haipendi afya za watanzania kwa kiwango cha kutisha sana
 
Uchumi umeyumba wanataka pesa Afya za watanzania hawazijali kabsa, kumbe wangeweza kuhimiza kufanya kazi huku ukiwa unanawa mikono kuvaa barakoa kupaka vitakasa mikono na kazi zingefanyika vizuri uchumi unakua, lakini CCM ya sasa inazuia barakoa kunawa mikono ili watanzania waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu watawale milele
 
Hakuna shirika linaloogopa kuleta ndege zake kwa sababu kwao ni fursa ya biashara, halafu ndege kuwa grounded kwa muda mrefu ni hasara. Changamoto iliyopo ni kuwa nchi nyingi ambazo ndio tunategemea ndege zao zije bado hawajafungua anga zao. Kwa maana hiyo huwezi kuona ndege nyingi zikija TZ hadi pale anga za pande zote mbili ziwe zimefunguliwa.
 
CCM ndiyo imeamua corona isambae kwa kuacha kuhimiza uvaaji barakoa kunawa mikono kupaka vitakasa mikono, CCM ya sasa haipendi afya za watanzania kwa kiwango cha kutisha sana
Kwani afya yako binfsi ni hadi uamrishwe na CCM?
 
Kuruhusu watu kakaa vijiweni kubanana kwenye mabenchi wauza vyakula kutovaa barakoa ni sawa na kuwapa Ugonjwa kwa makusudi na hilo ndilo lengo kuu la CCM ya sasa
 
Uchumi umeyumba wanataka pesa Afya za watanzania hawazijali kabsa, kumbe wangeweza kuhimiza kufanya kazi huku ukiwa unanawa mikono kuvaa barakoa kupaka vitakasa mikono na kazi zingefanyika vizuri uchumi unakua, lakini CCM ya sasa inazuia barakoa kunawa mikono ili watanzania waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu watawale milele
Aisee Magufuli ni hatari sana, yaani anataka watanzania wafe kibao ili nchi ipate taharuki kisha aendelee kutawala nje ya muda
 
Hakuna shirika linaloogopa kuleta ndege zake kwa sababu kwao ni fursa ya biashara, halafu ndege kuwa grounded kwa muda mrefu ni hasara. Changamoto iliyopo ni kuwa nchi nyingi ambazo ndio tunategemea ndege zao zije bado hawajafungua anga zao. Kwa maana hiyo huwezi kuona ndege nyingi zikija TZ hadi pale anga za pande zote mbili ziwe zimefunguliwa.
Wateja wa kuzipanda Ndege wana taarifa kuwa watanzania sasa hawanawi mikono hawavai barakoa wala kupaka vitakasa mikono, wateja wasipozipanda hizo Ndege zitakuja na nani?
 
Kwani afya yako binfsi ni hadi uamrishwe na CCM?
CCM ni chama Tawala kupitia wenyeviti wake wa Serikali za mitaa walipaswa kuwa mbele kwenye kuhimiza kinga zaidi lakini sasa wameruhusu maambukizi yasambae zaidi inatisha sana
 
Hawa waliletwa na shirika gani la ndege, au walikodi ya kwao kuja kutalii?

Mnapofanya kampeni hizi zisizokuwa na uhalisi wa mambo, msidhani kwamba nyinyi peke yenu ndio mnaoitakia Tanzania mema, na hao wengine wanaoangalia mambo kwa uhalisia wake kuwa hawana mapenzi na nchi yao.

Kuweni wakweli, msitafute kuhadaa watu kwa mambo ambayo hayapo.

Labda walikuja kwa ungo wa Chato
 
Uchaguzi mkuu ndiyo umeifanya CCM inaruhusu wauza vyakula wote kutonawa mikono wala kuvaa barakoa ili wawaambukize corona kwa wingi ikifika september watu wawe wamekufa kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
 
CCM ni chama Tawala kupitia wenyeviti wake wa Serikali za mitaa walipaswa kuwa mbele kwenye kuhimiza kinga zaidi lakini sasa wameruhusu maambukizi yasambae zaidi inatisha sana
Anayepaswa kuwa mbele ni wewe binafsi na afya yako. Unataka viongozi wakuongoze kila kitu kwani wewe ni ng'ombe kuwa huelewi unachofanya?
 
Anayepaswa kuwa mbele ni wewe binafsi na afya yako. Unataka viongozi wakuongoze kila kitu kwani wewe ni ng'ombe kuwa huelewi unachofanya?
Mwezi wa tatu Mbona walihimiza sana kila mmoja akawa akinawa mikono kuvaa barakoa, nini kimewasibu sasa mpaka kuruhusu watu waache kuvaa barakoa? Kumbuka CCM inawambia watanzania kuwa corona imekwisha
 
Watalii ulaya kabla ya kuja Tanzania husaka taarifa kwenye Balozi zao na huko wameambia corona ipo kwa wingi
Halafu wakumbuke kuna health insurance ,sasa nchi inajulikana ni high risk huyo mtalii yuko tayari kulipia insurance kubwa?
 
ile hamasa ya awali iliyopelekea Tanzania nzima kunawa mikono kuvaa barakoa kupaka vitakasa mikono imekwenda wapi ?ni kwa nini sasa CCM hawahimizi tena?
 
Wewe mwenyewe ni mpuuzi unawezaje kujua upuuzi? Anza kuwa na Ubongo kwanza ndipo upate akili, kumbuka CCM walisema Ndege zimejaa mpaka October? Walisema Ndege za wapi kama walijua Anga bado zimefungwa? aliyesema watalii watamimika hakujua hilo la chai?
Sasa kwa sababu ndege zipo full ndio zije tu kwa mabavu? Si inategemea na nchi zinakotoka na zinakopita. Kwa hiyo mnaharaka ya nini?
 
CCM wanashangaza eti wametangaza corona imekwisha Tanzania wakati Balozi zote wanajua watu wanafia majumbani mwao hawaendi Hosptal, hawajui wafanyakazi wa ubalozi wengi wanaishi mitaani huwapelekea Balozi taarifa zote
Wewe ndugu zako wangapi wamefia hapo kwenu?
 
Back
Top Bottom