moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Nimegundua mtoa mada hajui hata kitu alichoandika mwenyewe..
MOLA AMSAMEHE
MOLA AMSAMEHE
Tuongee wazi kua mnafurahia sana tukipata shida, hakuna fix zozote ambazo tumepewa, ni jambo zuri kwamba anga limefunguliwa, na ukifungua anga usitegemee kua kesho ndege zinatua kwa fujo, ni safari za kupanga, na utalii umeyumba duniani kote na sio tanzania tu, Rais wetu kua positive nyie mnaona ni fix mana hamna hata chembe ya shukrani na muda wote mnaiombea mabaya nchi.Siyo tunafurahia........
Ila tunashangazwa na "fix" anazotupiga Prezidaa wetu, kwa kuwa alituhakikishia kuwa ndege za kuja nchini za kuwaleta watalii zote ziko "fully booked" hadi mwezi August mwaka huu!
Imenenwa kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu..........
Sasa kuna sababu zipi za kutuongopea wakati ukweli wenyewe unajulikana??
Kauli kali hii.
Sijapendezwa nayo, ongea hoja tu bila matusi tutaelimishana vizuri sana.
Hoja ikiwa nzito na ya kweli inaeleweka kirahisi mno, matusi na nguvu kubwa kupitia maneno makali ni dalil ya kukosa hoja.
Wacha masihara. Unafungua ulichofunga. Nani alifunga anga? Ndege haziji si kwa sababu tulizifungia. Marubani nao walikuwa lockdown. Viwanja vya ndege vya huko zitokako vimefungwa. Funguo wanazo wao wenyewe. Wanajua kilichowafanya wafunge. Hakijaisha. Tulijitangazia kufunga viwanja vyetu kwa kuona hakuna ndege inakuja. Kujibalaguza tu!Weka akiba ya maneno usije ukaumbuka siku chache zijazo.
Jana jioni nimekaa sehemu pembezoni mwa Morogoro Road nimeona Land Cruiser ya utalii imebeba watalii.
Ukienda kwenye ukurasa wa twitter wa Qartar Airways utaona tangazo kuanzia tarehe 16 June 2020 wanaanza safari za kuja Tanzania (jiji la Dar es Salaam).
Nenda pale airport ya JNIA kuna kampuni ya LSG Skychefs wameambiwa na kampuni flani kubwa ya ndege wataanza kuchukua huduma zao za inflight catering tarehe hizo nilizotaja hapo juu.
Nenda Zanzibar utaona pilikapilika zinazo endelea uwanja wao wa ndege wa kimataifa.
Qatar Airways announces resumption of flights to Tanzania
https://www.qatarairways.com/en-tz/homepage.html
Siasa zisizidi uwezo wetu wa kuchanganua mambo, kutafakari na kutafuta ukweli.
Watu wenye akili kama za Samaki Mfano wa Titicomb ndio hubebaga kila akisemacho Jiwe
Kwa jinsi ulivyo kuja na lugha za kashifa huku kukujibu tu nimekupendelea heshima kubwa mno ambayo hauku stahili.Hiyo Link ya Qatar Airways hakuna available flight to Tanzania tarehe 16 June
Umemeliza matusi mkuu?Naona unawashwa washwa tu bila sababu
Tanzania iliingia mkosi mwaka 2015,huyu mzee hana sifa za kuwa Rais, matokeo yake ndo haya sasa, kichwani ni mweupe anachojua ni kutumia nguvu tu kwa kila jamboTulimsikia Mheshimiwa Rais akiutangazia Ulimwengu kuwa ameifungua mipaka ya nchi na hivi sasa ni ruksa mashirika mbalimbali ya ndege ya kimataifa kuzileta ndege zao nchini
Sasa tulitegemea baada ya tamko hilo la Rais, tuzione ndege zikimiminika kuja nchini kuwaleta watalii na wafanyibiashara mbalimbali.
Hata hivyo kimya kizito huko angani namna kulivyokuwa kweupe, ndiko kulikonifanya nilazimike kiandika "thread" hii.
Swali ninalojiulza sasa ni je hayo mashirika ya ndege, hayajamsikia Mheshimiwa Rais akizifungua anga za nchi yetu??
Ni jambo la wazi kuwa hayo mashirika ya ndege yamesikia tamko hilo la Rais, ila kama tujuavyo hayo mashirika ya ndege yanafanya biashara, huwezi kurusha ndege ya Boeing yenye kuchukua abiria zaidi ya 300, ukiwa umebeba abiria 5 kuja nchini, hakika safari hiyo hailipi, kwa maana nyingine utasitisha safari za namna hiyo.
Ukweli ni lazima tumwambie Mheshimiwa Rais kuwa zile propaganda zinazoiendesha nchi kwa hivi sasa haziwezi kufanya kazi huko kwenye anga ya kimataifa
Hivi unadhani mtalii gani toka kwenye nchi yoyote atakuja Tanzania kwa hivi sasa, nchi ambayo "imegoma" kutoa takwimu za ugonjwa wa Corona kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu hivi sasa??
Hivi Rais wetu anadhani kuwa dunia anaweza kuihadaa kirahisi rahisi, kama ambavyo anaweza kutuhadaa watanzania??
Tumemsikia wenyewe Waziri wa Maliasili na utalii, Dkt Hamisi Kigwangala, akionyesha kukatishwa tamaa na sekta ya utalii inavyoenda kwa hivi sasa!
Nashauri kama Taifa tuwe wasema kweli kwa mambo mbalimbali, ndipo tutapoaminika huko duniani
Kwa mwenendo huu tunaokwenda nao hivi sasa ya kila kitu tunapenda kupiga "fix" ndiko huku tulikolifikisha Taifa letu kwa hivi sasa
Umemeliza matusi mkuu?
Kama bado niongezee kunitukana jingine kubwa zaidi ufurahi upone ugonjwa wako kisha uje tujadili kwa hoja.
Wewe ni bwege kweli, Qatar airways ndo itaenda kuwafurumua wazungu majumbani mwao?Weka akiba ya maneno usije ukaumbuka siku chache zijazo.
Jana jioni nimekaa sehemu pembezoni mwa Morogoro Road nimeona Land Cruiser ya utalii imebeba watalii.
Ukienda kwenye ukurasa wa twitter wa Qartar Airways utaona tangazo kuanzia tarehe 16 June 2020 wanaanza safari za kuja Tanzania (jiji la Dar es Salaam).
Nenda pale airport ya JNIA kuna kampuni ya LSG Skychefs wameambiwa na kampuni flani kubwa ya ndege wataanza kuchukua huduma zao za inflight catering tarehe hizo nilizotaja hapo juu.
Nenda Zanzibar utaona pilikapilika zinazo endelea uwanja wao wa ndege wa kimataifa.
Qatar Airways announces resumption of flights to Tanzania
https://www.qatarairways.com/en-tz/homepage.html
Siasa zisizidi uwezo wetu wa kuchanganua mambo, kutafakari na kutafuta ukweli.
Wewe mwenyewe ni mpuuzi unawezaje kujua upuuzi? Anza kuwa na Ubongo kwanza ndipo upate akili, kumbuka CCM walisema Ndege zimejaa mpaka October? Walisema Ndege za wapi kama walijua Anga bado zimefungwa? aliyesema watalii watamimika hakujua hilo la chai?Tatizo mnalala peke yenu mnakosa watu wa kuwaliwaza. Bawacha 96% nasikia hamjaolewa ndio maana mnaandika upuuzi. Kwa hiyo unadhani ndege huwa zina miminika kama chai kwenye kikombe? Anga dunia nzima lilikuwa limefungwa kwa hiyo mambo yanafunguka kidogo kidogo. We unataka ifunguke kama chai inamiminwa kwenye kikombe!
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
CCM wanashangaza eti wametangaza corona imekwisha Tanzania wakati Balozi zote wanajua watu wanafia majumbani mwao hawaendi Hosptal, hawajui wafanyakazi wa ubalozi wengi wanaishi mitaani huwapelekea Balozi taarifa zoteWewe ni bwege kweli, Qatar airways ndo itaenda kuwafurumua wazungu majumbani mwao?
Elewa kuwa hakuna watalii kwa sababu serikali inaficha takwimu za Corona, acha ujinga hapa
Ha haaa..!Wewe ni bwege kweli, Qatar airways ndo itaenda kuwafurumua wazungu majumbani mwao?
Elewa kuwa hakuna watalii kwa sababu serikali inaficha takwimu za Corona, acha ujinga hapa
Hapa wanaokataa propaganda zenu siyo chadema pekee bali ni watanzania waliomka tena wengi hawapo chama chochote na wengine ni CCM wanaojitambua , wazungu kuja Nchini siyo lazima wote wawe watalii wengine ni maofisa wa ubaloziWatalii wanakuja kila siku mbona hamna hata aibu mkitaka kuamin angalia chama alivyo kua anashuka juzi airport wale wazungu walio kua na mabegi ni babu zako au albino hahahaha CHADEMA bana
Mjadala ni huu corona ipo inaua watu majumbani lakini CCM kwa kutaka wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu wameamua kuwazuia kuvaa barakoa kunawa mikono muambukizane kwa wingi ili mwezi wa nane, tisa watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu, hilo ndilo lengo la CCM.Ha haaa..!
Watu mnaokuja hapa kwa kazi za kisiasa au kwa chuki mnakuwa na hasira sana!!
Umemaliza matusi? Ongeza kunitukana na tusi jingine kubwa kabisa lile unahisi litanikera ili ufurahi kisha tuendelee na mjadala.
Unastahili kuwa Bwege, na mabwege wapo Kama wewe, yaani mnadanganywa na wapumbavu eti Tanzania kuna wagonjwa wa Corona wanne tu na eti watalii wanafurika kuja Tanzania, pumbavu sana nyie, mnadhani hata wazungu ni mabwege Kama nyie?Ha haaa..!
Watu mnaokuja hapa kwa kazi za kisiasa au kwa chuki mnakuwa na hasira sana!!
Umemaliza matusi? Ongeza kunitukana na tusi jingine kubwa kabisa lile unahisi litanikera ili ufurahi kisha tuendelee na mjadala.
Sawa umesikika mkuu.Unastahili kuwa Bwege, na mabwege wapo Kama wewe, yaani mnadanganywa na wapumbavu eti Tanzania kuna wagonjwa wa Corona wanne tu na eti watalii wanafurika kuja Tanzania, pumbavu sana nyie, mnadhani hata wazungu ni mabwege Kama nyie?
Nenda Aga Khan Hospital na Kairuki uone watu wenye pesa wanavyokufa kwa Corona na maskini wanavyofia majumbani.
Mnaleta siasa kwenye maisha ya watu?
Pumbav sana
Uswahilini mitaani masikini wengi wamefia majumbani wengine kwenye zahanati wengine wamefia njiani wakipelekwa Hosptal, ndugu zao wanaogopa kusema ni corona kwa kuogopa kwenda kuwekwa karantini, Ugonjwa upo watu wanakufa na Balozi zote wana taarifa za mitaani kote wanajua kila kitu.Unastahili kuwa Bwege, na mabwege wapo Kama wewe, yaani mnadanganywa na wapumbavu eti Tanzania kuna wagonjwa wa Corona wanne tu na eti watalii wanafurika kuja Tanzania, pumbavu sana nyie, mnadhani hata wazungu ni mabwege Kama nyie?
Nenda Aga Khan Hospital na Kairuki uone watu wenye pesa wanavyokufa kwa Corona na maskini wanavyofia majumbani.
Mnaleta siasa kwenye maisha ya watu?
Pumbav sana
Hoja hii hapa wauza chipsi wote wauza matunda wote hawana ndoo za kunawa mikono hawavai barakoa wakiugua wanawaambukiza wateja wao ndiyo maana corona haiwezi kuishi Tanzania kwani CCM imeruhusu waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.Sawa umesikika mkuu.
Kuna jingine? Au bado unataka kuongeza matusi?
Tukana hadi hasira ziishe hii kisha tutajadili hoja hii mijadala ipo tu, cha muhimu afya yako yako. Usije ukajidhuru kwa msongo wa mawazo tutapoteza mtu muhimu kwa taifa.