Anga zimefunguliwa, lakini wenye ndege zao wamegoma kuzileta nchini!

Umeongea vema Rais kafungua anga ndege zitakuja kwa hatua
Weka akiba ya maneno usije ukaumbuka siku chache zijazo.

Jana jioni nimekaa sehemu pembezoni mwa Morogoro Road nimeona Land Cruiser ya utalii imebeba watalii.

Ukienda kwenye ukurasa wa twitter wa Qartar Airways utaona tangazo kuanzia tarehe 16 June 2020 wanaanza safari za kuja Tanzania (jiji la Dar es Salaam).

Nenda pale airport ya JNIA kuna kampuni ya LSG Skychefs wameambiwa na kampuni flani kubwa ya ndege wataanza kuchukua huduma zao za inflight catering tarehe hizo nilizotaja hapo juu.

Nenda Zanzibar utaona pilikapilika zinazo endelea uwanja wao wa ndege wa kimataifa.
Qatar Airways announces resumption of flights to Tanzania
https://www.qatarairways.com/en-tz/homepage.html

Siasa zisizidi uwezo wetu wa kuchanganua mambo, kutafakari na kutafuta ukweli.
 
Wakati ccm wanawaponda chadema kwa namna wanavyoendesha siasa zao,chadema wao wako busy kuiponda nchi badala ya ccm!
 
Tulimsikia Mheshimiwa Rais akiutangazia Ulimwengu kuwa ameifungua mipaka ya nchi na hivi sasa ni ruksa mashirika mbalimbali ya ndege ya kimataifa kuzileta ndege zao nchini

Sasa tulitegemea baada ya tamko hilo la Rais, tuzione ndege zikimiminika kuja nchini kuwaleta watalii na wafanyibiashara mbalimbali.

Hata hivyo kimya kizito huko angani namna kulivyokuwa kweupe, ndiko kulikonifanya nilazimike kiandika "thread" hii.

Swali ninalojiulza sasa ni je hayo mashirika ya ndege, hayajamsikia Mheshimiwa Rais akizifungua anga za nchi yetu??

Ni jambo la wazi kuwa hayo mashirika ya ndege yamesikia tamko hilo la Rais, ila kama tujuavyo hayo mashirika ya ndege yanafanya biashara, huwezi kurusha ndege ya Boeing yenye kuchukua abiria zaidi ya 300, ukiwa umebeba abiria 5 kuja nchini, hakika safari hiyo hailipi, kwa maana nyingine utasitisha safari za namna hiyo.

Ukweli ni lazima tumwambie Mheshimiwa Rais kuwa zile propaganda zinazoiendesha nchi kwa hivi sasa haziwezi kufanya kazi huko kwenye anga ya kimataifa

Hivi unadhani mtalii gani toka kwenye nchi yoyote atakuja Tanzania kwa hivi sasa, nchi ambayo "imegoma" kutoa takwimu za ugonjwa wa corona kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu hivi sasa??

Hivi Rais wetu anadhani kuwa dunia anaweza kuihadaa kirahisi rahisi, kama ambavyo anaweza kutuhadaa watanzania??

Tumemsikia wenyewe Waziri wa Mali asili na utalii, Dkt Hamisi Kigwangala, akionyesha kukatishwa tamaa na sekta ya utalii inavyoenda kwa hivi sasa!

Nashauri kama Taifa tuwe wasema kweli kwa mambo mbalimbali, ndipo tutapoaminika huko duniani

Kwa mwenendo huu tunaokwenda nao hivi sasa ya kila kitu tunapenda kupiga "fix" ndiko huku tulikolifikisha Taifa letu kwa hivi sasa
Ndege zetu zitumike kwenda kuwakusanya na kuwaleta huku wake kujionea wenyewe nchi ya kipekee duniani.Aibu hii...
 
Hao watalii wenyewe wamejifungia ndani watawezaje kuja nchini kutalii? tuhamasishane tu wapwa tukatalii wenyewe kwenye mbuga zetu
Haya ni baadhi ya athari za kale kaugonjwa ketu.Duniani kina kanuni moja muhimu,kama huifuati hiyo utapata shida sana-Nipe nikupe/To a upate.Mh Kikwete alikuwa mtalii na jamaa walikuwa wakipishana naye angani.Yeye anakwenda kwao na wanakuwa kwako,hili Dr Kigwangwalana Boss wake hawafanyi wanategemea nini?
Ukiwa mwana mkaidi...
 
Sasa hivi tumefikia hatua ya kwenda kuvizia airport tukimuona mzungu tu tunatangaza kuwa ni mtalii
Tulimsikia Mheshimiwa Rais akiutangazia Ulimwengu kuwa ameifungua mipaka ya nchi na hivi sasa ni ruksa mashirika mbalimbali ya ndege ya kimataifa kuzileta ndege zao nchini

Sasa tulitegemea baada ya tamko hilo la Rais, tuzione ndege zikimiminika kuja nchini kuwaleta watalii na wafanyibiashara mbalimbali.

Hata hivyo kimya kizito huko angani namna kulivyokuwa kweupe, ndiko kulikonifanya nilazimike kiandika "thread" hii.

Swali ninalojiulza sasa ni je hayo mashirika ya ndege, hayajamsikia Mheshimiwa Rais akizifungua anga za nchi yetu??

Ni jambo la wazi kuwa hayo mashirika ya ndege yamesikia tamko hilo la Rais, ila kama tujuavyo hayo mashirika ya ndege yanafanya biashara, huwezi kurusha ndege ya Boeing yenye kuchukua abiria zaidi ya 300, ukiwa umebeba abiria 5 kuja nchini, hakika safari hiyo hailipi, kwa maana nyingine utasitisha safari za namna hiyo.

Ukweli ni lazima tumwambie Mheshimiwa Rais kuwa zile propaganda zinazoiendesha nchi kwa hivi sasa haziwezi kufanya kazi huko kwenye anga ya kimataifa

Hivi unadhani mtalii gani toka kwenye nchi yoyote atakuja Tanzania kwa hivi sasa, nchi ambayo "imegoma" kutoa takwimu za ugonjwa wa corona kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu hivi sasa??

Hivi Rais wetu anadhani kuwa dunia anaweza kuihadaa kirahisi rahisi, kama ambavyo anaweza kutuhadaa watanzania??

Tumemsikia wenyewe Waziri wa Mali asili na utalii, Dkt Hamisi Kigwangala, akionyesha kukatishwa tamaa na sekta ya utalii inavyoenda kwa hivi sasa!

Nashauri kama Taifa tuwe wasema kweli kwa mambo mbalimbali, ndipo tutapoaminika huko duniani

Kwa mwenendo huu tunaokwenda nao hivi sasa ya kila kitu tunapenda kupiga "fix" ndiko huku tulikolifikisha Taifa letu kwa hivi sasa
 
Siyo corona tu sema mfumo tulio nao tangu 2015 baada ya kutulazimisha tuishi kama mashetani, uchumi wetu umevurugwa pakubwa
Mtego wa Noti
Hivi kwa ukata huu uliolikumba Taifa hili kwa hivi sasa kutokana na ugonjwa wa corona, hivi unadhani watanzaia wangapi wenye ubavu wa kugharimia safari za kwenda kwenye mbuga za wanyama??
 
Sasa aumbuke nini? Yaani mmefikia hatua ya kushindania maendeleo ya nchi?

Yaani mkosoaji na anaye washauri mnamuona siyo mtanzania? Nyinyi leseni ya kuimiliki Tanzania kawapa nani?

Wacheni huo upuuzi kwani hii ni nchi yetu sote
Weka akiba ya maneno usije ukaumbuka siku chache zijazo.

Jana jioni nimekaa sehemu pembezoni mwa Morogoro Road nimeona Land Cruiser ya utalii imebeba watalii.

Ukienda kwenye ukurasa wa twitter wa Qartar Airways utaona tangazo kuanzia tarehe 16 June 2020 wanaanza safari za kuja Tanzania (jiji la Dar es Salaam).

Nenda pale airport ya JNIA kuna kampuni ya LSG Skychefs wameambiwa na kampuni flani kubwa ya ndege wataanza kuchukua huduma zao za inflight catering tarehe hizo nilizotaja hapo juu.

Nenda Zanzibar utaona pilikapilika zinazo endelea uwanja wao wa ndege wa kimataifa.
Qatar Airways announces resumption of flights to Tanzania
https://www.qatarairways.com/en-tz/homepage.html

Siasa zisizidi uwezo wetu wa kuchanganua mambo, kutafakari na kutafuta ukweli.
 
Wanajidanganya wao
Tena alitangaza kwamba ziko 'fully booked' hadi Oktoba!

Hizi ndege zenye wasafiri wengi kiasi hiki ziko wapi, mbona haziji?

Hizi komedi za siku hizi hata kucheka inashindikana kwa wanaozisikiliza.
 
Mimi nisiyeweza kwenda airport nachotaka kuona ni mpunga mfukoni
 
Wakati huo huo mnawaita majina ya ajabu mara ooo mabeberu!
Kila fursa inayopatikana tuitumie kutangaza utalii; mfano kama unao marafiki nje(mf ulaya,china,kwa Trump) tuwaeleze tuko njema. Ingawa hakuna takwimu za corona kwa muda,lakini hali haitishi kama inavyoripotiwa na mawakala wa mabeberu.
Tuipende taifa letu. Mwenyewe nimeanza kushawishi baadhi,ambao waliahirisha safari kati ya feb na March. Wamekubali kuja kuanzia june mwishoni.
Nashauri serikali iondoe tozo mbalimbali;watu wamepigika kiuchumi. Hata wenyewe wanshauri hivo
 
Huko duniani nawashangaa hawajamsikia mukulu?? au sauti haitoshi tuongeze volume??

Baniani mbaya kiatu chake dawa, hapo hapo majukwaani tunawaponda, ooh beberu, hapo hapo tunawataka waje!

Everyday is Saturday.......................... 😎
Ccm ni mashaka sana
 
Asante
Hawa waliletwa na shirika gani la ndege, au walikodi ya kwao kuja kutalii?

Mnapofanya kampeni hizi zisizokuwa na uhalisi wa mambo, msidhani kwamba nyinyi peke yenu ndio mnaoitakia Tanzania mema, na hao wengine wanaoangalia mambo kwa uhalisia wake kuwa hawana mapenzi na nchi yao.

Kuweni wakweli, msitafute kuhadaa watu kwa mambo ambayo hayapo.
 
Kwa huu upotolo wako ndiyo utegemee watanzania wawaunge mkono?
Tatizo mnalala peke yenu mnakosa watu wa kuwaliwaza. Bawacha 96% nasikia hamjaolewa ndio maana mnaandika upuuzi. Kwa hiyo unadhani ndege huwa zina miminika kama chai kwenye kikombe? Anga dunia nzima lilikuwa limefungwa kwa hiyo mambo yanafunguka kidogo kidogo. We unataka ifunguke kama chai inamiminwa kwenye kikombe!

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Weka akiba ya maneno usije ukaumbuka siku chache zijazo.

Jana jioni nimekaa sehemu pembezoni mwa Morogoro Road nimeona Land Cruiser ya utalii imebeba watalii.

Ukienda kwenye ukurasa wa twitter wa Qartar Airways utaona tangazo kuanzia tarehe 16 June 2020 wanaanza safari za kuja Tanzania (jiji la Dar es Salaam).

Nenda pale airport ya JNIA kuna kampuni ya LSG Skychefs wameambiwa na kampuni flani kubwa ya ndege wataanza kuchukua huduma zao za inflight catering tarehe hizo nilizotaja hapo juu.

Nenda Zanzibar utaona pilikapilika zinazo endelea uwanja wao wa ndege wa kimataifa.
Qatar Airways announces resumption of flights to Tanzania
https://www.qatarairways.com/en-tz/homepage.html

Siasa zisizidi uwezo wetu wa kuchanganua mambo, kutafakari na kutafuta ukweli.
Usifananishe wahindi wa Kariakoo na watalii,hao uliowaona ni wahindi Tu
 
Wewe uliye olewa mbona kila siku tunakukuta pale makaburini?
Tatizo mnalala peke yenu mnakosa watu wa kuwaliwaza. Bawacha 96% nasikia hamjaolewa ndio maana mnaandika upuuzi. Kwa hiyo unadhani ndege huwa zina miminika kama chai kwenye kikombe? Anga dunia nzima lilikuwa limefungwa kwa hiyo mambo yanafunguka kidogo kidogo. We unataka ifunguke kama chai inamiminwa kwenye kikombe!

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Kama mlijua hivyo yanini kuwadanganya wananchi kuwa watalii wanatuomba tufungue mipaka ili waanze kuja?
akili za ufipa ni ndogo sana sasa huko kunakotegemewa watalii hawajafungua anga ulitegemea kupokea ndege toka hai!
 
Mtawapokea hao hao 200 mlio tutangazia kutua KIA kumbe ni abiria 7 tu, aibu kuu
Ndege sio sawa na gari mkuu
Si mpaka na huko zinakotoka ndege anga lao lifunguliwe?
Qatar airways wanaaza tarehe 10,taratibu zitaanza kuja usiwe na kiherehere
 
Back
Top Bottom