Angalau hivi sasa wanawake wa miaka 30+ wameanza kujitambua

Angalau hivi sasa wanawake wa miaka 30+ wameanza kujitambua

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,446
Reaction score
10,976
Salaam wote!

1993/1994 nyie kina dada, mama mliozaliwa hapo shaka bila hivi sasa mna 30 years old......

Huku mtaani naona nilipo kama wanaanza kusalimia salimia hivi yaani zile dharau dharau za 2018 zimesha isha isha hivi.

Naamini na nyie mnapewa namba bila hata kuomba....๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Sema sasa kuna wawili watatu pengine bado wanavuta shuka na hawajui pashakucha, nyie badilikeni haraka sana

Usiombe dada sijui mama umri ndiyo huo 30+ alafu maisha yakupige alafu upoteze mwelekeo, mvuto upotee, kama una mtoto mdogo au anaanza shule akulilie njaa plus shule daaadeki ukicheki hupati mwanaume wa kueleweka (kama nyie wadada mnavosemaga, kaka ukisikia msemo wao mwanaume mwenyewe haeleweki, wewe kaka ujue huna pesa)

Sisi tunao pitia mahusiano ya msoto hapa na pale tunajua hizi misheni zao, nyie kaka mambo safi hamuwezi jua hili, nyie mkisikia anasema haeleweki mnaeza jua ni hapigi dudu au ni chapombe si tushajua dada anamaanisha mwanaume hana chenchede ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Most girls of 30+ maisha yakiwapiga huwa wanatafuta mwenye anacho au kama ana mtoto yani single mother anatafuta child support.

(kwa wadada mambo safi hii haiwahusu mi nimeongelea wale wanao pitia msoto pale wanapo fika 30+ na mambo ni bila bila)......

Hao ambao ni Excluded yaani mambo safi hufa na tai shingoni, they are die with upwiru maana hawaoni Mr. Right, kazi kununua sex toys. bora na hawa maana ana uhakika wa kula na kuvaa na kulala pazuri na mengine kama usafiri ist cha kuzugia ni uhakika, peruvian hair na unywele unaa...๐Ÿ˜๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† sasa hawa wenzangu na mie kina mwaju na kina nani wa kijiji gani sijui namanyere dunia yao huwa shubiri aiseee.

you guys let me informs you market ya hizi sex toys za wadada is growing big, ask for sales details utaniambia....

Tuwaombee waolewe.
 
Salaam wote!

1993/1994 nyie kina dada, mama mliozaliwa hapo shaka bila hivi sasa mna 30 years old......

Huku mtaani naona nilipo kama wanaanza kusalimia salimia hivi yaani zile dharau dharau za 2018 zimesha isha isha hivi.

Naamini na nyie mnapewa namba bila hata kuomba....๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Sema sasa kuna wawili watatu pengine bado wanavuta shuka na hawajui pashakucha, nyie badilikeni haraka sana

Usiombe dada sijui mama umri ndiyo huo 30+ alafu maisha yakupige alafu upoteze mwelekeo, mvuto upotee, kama una mtoto mdogo au anaanza shule akulilie njaa plus shule daaadeki ukicheki hupati mwanaume wa kueleweka (kama nyie wadada mnavosemaga, kaka ukisikia msemo wao mwanaume mwenyewe haeleweki, wewe kaka ujue huna pesa)

sisi tunao pitia mahusiano ya msoto hapa na pale tunajua hizi misheni zao, nyie kaka mambo safi hamuwezi jua hili, nyie mkisikia anasema haeleweki mnaeza jua ni hapigi dudu au ni chapombe si tushajua dada anamaanisha mwanaume hana chenchede ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Most girls of 30+ maisha yakiwapiga huwa wanatafuta mwenye anacho au kama ana mtoto yani single maza anafinding for child support.

(kwa wadada mambo safi hii haiwahusu mi nimeongelea wale wanao pitia msoto pale wanapo fika 30+ na mambo ni bila bila)......

Hao ambao ni Excluded yaani mambo safi hufa na tai shingoni, they are die with upwiru maana hawaoni Mr. Right, kazi kununua sex toys. bora na hawa maana ana uhakika wa kula na kuvaa na kulala pazuri na mengine kama usafiri ist cha kuzugia ni uhakika, peruvian hair na unywele unaa...๐Ÿ˜๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† sasa hawa wenzangu na mie kina mwaju na kina nani wa kijiji gani sijui nyamarehe dunia huwa shubiri aiseee.

you guys let me informs you market ya hizi sex toys za wadada is growing big, ask for sales details utaniambia....

Tuwaombee waolewe.
Kingereza chako tu mi hoi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ
 
Kila siku kuwaandama ,kwani hauna kazi ya kufanya?
Ni nini maana ya jukwa la Mahusiano???

Jukwaa hili nikutoa mada elimishi, dada wa miaka 25 akiona hii thread atajifunza kupambana ili at 30 years ajikwamue kiuchumi.....sijamchamba mtu.

Alafu kama sina kazi ya kufanya, wewe mwenye kazi unatafuta nini hapa????

Jibu maswali???
 
Back
Top Bottom