Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Kama kawaida yenu tushawazoea mkiishiwa hoja huwa mnaanza matusi na ad hominem attacks na hiyo ndio ishara ya kupanic, point hapa ni kwamba endeleeni kupiga hizo pipe lakini uzuri mwisho wa siku wanawake mtakaowaoa ndio hao hao mnaowatumia wala hamtaumbiwa wengine, uhalisia si tunauona kila siku ndoa zinafungwa na hao wanaoolewa wala siyo mabikira tena wengine ni makahaba waandamizi na wengine wastaafu [emoji1787][emoji1787]We utakuwa over 30 afu hujaolewa, siyo kwa povu hilo.
Sisi paipu tutaendelea kuwapiga, na kuoa tutachagua mmoja mwenye sifa ya wife material, mwanaume kukaa muda mrefu bila kuchakata ni ngumu, tutawapiga paipu wakati huo tunasubiri kuoa.
So tunawashangaa mnavyojitutumua humu mitandaoni utasema huwa mnaoa malaika kumbe mwisho wa siku mnaoa hao hao waliotumika tena, mngekuwa mnaoa wife material kama mnavyojinasibu humu basi ndoa nyingi zingekuwa stable lakini wote ukweli tunaujua hivyo wala hamtushitui, endeleeni kupiga hizo pipe ila mwisho wa siku ni hao hao ndio wako wanasubiri muwaoe no bikira [emoji23][emoji23]
Huwezi kuyachafua mazingira halafu ukategemea hayo hayo mazingira yakupe hewa safi hiyo kanuni haijawahi kuwepo, ni either ukubali kuyafanya mazingira masafi ndio upate hewa safi au uyachafue halafu mwisho wa siku ukubaliane na hewa chafu itakayokuwepo, kuna msemo wazungu wanapenda kusema "you can't have your cake and eat it too" [emoji4][emoji4]