Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Wewe kati ya wanawake uliotembea nao yupi umemuoa mkuuSiyo kila lakini miaka inaenda hutaki kuolewa, shida ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kati ya wanawake uliotembea nao yupi umemuoa mkuuSiyo kila lakini miaka inaenda hutaki kuolewa, shida ni nini?
ninazo nyingi tu ila babu yako ananitosha sihitaji wajukuuAnhaa nlijua unahela niwe kiben 10 wako
Nawezeje kujua kingereza Cha kuongeaHapana bali nilikuwa mwanafunzi kama wewe na sasa nina profession nyingine tofauti ambayo inanifanya niwe natumia hii lugha karibuni masaa yote ninayokuwa ofisini. Jitahidi, kila kitu kinawezekana bro
Watu mnajua kujifariji aisee......😁😁😳Mimi sioni ukweli kwenye hili bro
Yani NIna hela nikanunue sex toy??
Ivi unakujua JUU wewe?!
Aki Nina Stori ya kuleta inaitwa see you at the top!
Watu Wana enjoy mboo huku JUU hawatumii sanamu kujikimu,
Wanaume wenye hela wanataka wanawake wenye hela hata kutembea NAO wanataka wenye hela wenzao
Huu Uzi labda wapelekee waoga wasio na hela au darasa la 7
Mengine umeandika NI urongo!
Siyo Amkubali hapa mara nyingi huwa ni Kauli, wanawake wakiwa kwenye umri mdogo Wana maneno machafu na kauli mbovu Sasa mkifika miaka ya mbele huko zile kauli zinaishia wanaanza kutia hurumaHivi ni kwamba huwa mnataka mwanamke amkubali kila mwanaume anayemtongoza au
WE UNAONAJEWatu mnajua kujifariji aisee......😁😁😳
Enhe wengine kwanini ulitembea nao na hukuwaoaMmoja wao
Inategemea mwanaume kamuanzajeSiyo Amkubali hapa mara nyingi huwa ni Kauli, wanawake wakiwa kwenye umri mdogo Wana maneno machafu na kauli mbovu Sasa mkifika miaka ya mbele huko zile kauli zinaishia wanaanza kutia huruma
Mkuu kuna mdada alikukataa ndio maana kila siku unampiga spana? msamehe bwana and move on, ilikuwa sio lazima akukubali wewe. Yeye kutafuta mtu wa maana hadi jua linazama hajampata ni majaliwa tu kama ambavyo mimi na wewe tunazisaka sana pesa na hatujazipata bado, sio kosa "kukosa".Ndiyo mkuu usiwaone mjini wako na vitzs au ist mikund juu juu kumbe ni mambo ya toys...
Wanaposemaga Kuwa flani siyo level yangu au mnaposemaga huna hadhi ya Kuwa na mm,,, huwa mnaingiwa vibaya maybe inatokeaga mtu amekuja vibaya au amekuja vizuri lakin kauli zenu huwa ni zile zile Kuna aina ya kumjibu mtu pasipo kumdharau na kumshusha,Inategemea mwanaume kamuanzaje
KivipWE UNAONAJE
Kumbe tumeona wengi mabadiliko, Bidhaa ikishakosa soko lazima iwe na heshima na taadhima😅Salaam wote!
1993/1994 nyie kina dada, mama mliozaliwa hapo shaka bila hivi sasa mna 30 years old......
Huku mtaani naona nilipo kama wanaanza kusalimia salimia hivi yaani zile dharau dharau za 2018 zimesha isha isha hivi.
Naamini na nyie mnapewa namba bila hata kuomba....😁😁
Sema sasa kuna wawili watatu pengine bado wanavuta shuka na hawajui pashakucha, nyie badilikeni haraka sana
Usiombe dada sijui mama umri ndiyo huo 30+ alafu maisha yakupige alafu upoteze mwelekeo, mvuto upotee, kama una mtoto mdogo au anaanza shule akulilie njaa plus shule daaadeki ukicheki hupati mwanaume wa kueleweka (kama nyie wadada mnavosemaga, kaka ukisikia msemo wao mwanaume mwenyewe haeleweki, wewe kaka ujue huna pesa)
Sisi tunao pitia mahusiano ya msoto hapa na pale tunajua hizi misheni zao, nyie kaka mambo safi hamuwezi jua hili, nyie mkisikia anasema haeleweki mnaeza jua ni hapigi dudu au ni chapombe si tushajua dada anamaanisha mwanaume hana chenchede 😆😆😆
Most girls of 30+ maisha yakiwapiga huwa wanatafuta mwenye anacho au kama ana mtoto yani single mother anatafuta child support.
(kwa wadada mambo safi hii haiwahusu mi nimeongelea wale wanao pitia msoto pale wanapo fika 30+ na mambo ni bila bila)......
Hao ambao ni Excluded yaani mambo safi hufa na tai shingoni, they are die with upwiru maana hawaoni Mr. Right, kazi kununua sex toys. bora na hawa maana ana uhakika wa kula na kuvaa na kulala pazuri na mengine kama usafiri ist cha kuzugia ni uhakika, peruvian hair na unywele unaa...😁😆😆 sasa hawa wenzangu na mie kina mwaju na kina nani wa kijiji gani sijui namanyere dunia yao huwa shubiri aiseee.
you guys let me informs you market ya hizi sex toys za wadada is growing big, ask for sales details utaniambia....
Tuwaombee waolewe.
Mwanangu una vichambooo kana vya wadada😁Salaam wote!

Na hivyo ndivyo mnavyofanya, mnasema kwamba wanawake wana nyodo kumbe lengo lenu wala siyo kuwaoa bali kuwachezea tu, halafu baadaye mnawaacha mnasingizia kwamba wana tabia chafu na wakiwakatalia mnajilalamishaTabia chafu zao
Mnavojitilisha huruma humu utafikiri huwa mna mpango wa kuwaoa hao wanawake mnaowatongoza kumbe washenzi wakubwa, mkikataliwa mnalalamika mkikubaliwa mkawavua nguo hao wanawake mnaanza kuwatukana kuwa ni malaya tu hawana jipya, yaani ninyi viumbe nashukuru nilizijua tabia zenu mapema wasiowajua ninyi nawaonea huruma maana wanachezewa sanaWanaposemaga Kuwa flani siyo level yangu au mnaposemaga huna hadhi ya Kuwa na mm,,, huwa mnaingiwa vibaya maybe inatokeaga mtu amekuja vibaya au amekuja vizuri lakin kauli zenu huwa ni zile zile Kuna aina ya kumjibu mtu pasipo kumdharau na kumshusha,
Mungu huwa hapendi unajua
Mnajisikiaje hiyo bidhaa kuwa na heshima pale inapokosa soko tu na siyo hata inapokuwa na soko, ukiona bidhaa inakuja kwako ikiwa imeshakosa soko ujue wewe mnunuaji huna hela na hiyo bidhaa ndio hadhi yako ukiwa na hela utainunua ikiwa mpya kipindi bado ina soko, yani badala mpambane hizo bidhaa mzipate zikiwa na soko mnashangilia eti zikishakosa soko lazima zitakuja tu kwenu kana kwamba ni sifaKumbe tumeona wengi mabadiliko, Bidhaa ikishakosa soko lazima iwe na heshima na taadhima[emoji28]