Angalau hivi sasa wanawake wa miaka 30+ wameanza kujitambua

Salaam wote!

1993/1994 nyie kina dada, mama mliozaliwa hapo shaka bila hivi sasa mna 30 years old......

Huku mtaani naona nilipo kama wanaanza kusalimia salimia hivi yaani zile dharau dharau za 2018 zimesha isha isha hivi.

Naamini na nyie mnapewa namba bila hata kuomba....😁😁

Sema sasa kuna wawili watatu pengine bado wanavuta shuka na hawajui pashakucha, nyie badilikeni haraka sana

Usiombe dada sijui mama umri ndiyo huo 30+ alafu maisha yakupige alafu upoteze mwelekeo, mvuto upotee, kama una mtoto mdogo au anaanza shule akulilie njaa plus shule daaadeki ukicheki hupati mwanaume wa kueleweka (kama nyie wadada mnavosemaga, kaka ukisikia msemo wao mwanaume mwenyewe haeleweki, wewe kaka ujue huna pesa)

sisi tunao pitia mahusiano ya msoto hapa na pale tunajua hizi misheni zao, nyie kaka mambo safi hamuwezi jua hili, nyie mkisikia anasema haeleweki mnaeza jua ni hapigi dudu au ni chapombe si tushajua dada anamaanisha mwanaume hana chenchede 😆😆😆

Most girls of 30+ maisha yakiwapiga huwa wanatafuta mwenye anacho au kama ana mtoto yani single mother anatafuta child support.

(kwa wadada mambo safi hii haiwahusu mi nimeongelea wale wanao pitia msoto pale wanapo fika 30+ na mambo ni bila bila)......

Hao ambao ni Excluded yaani mambo safi hufa na tai shingoni, they are die with upwiru maana hawaoni Mr. Right, kazi kununua sex toys. bora na hawa maana ana uhakika wa kula na kuvaa na kulala pazuri na mengine kama usafiri ist cha kuzugia ni uhakika, peruvian hair na unywele unaa...😁😆😆 sasa hawa wenzangu na mie kina mwaju na kina nani wa kijiji gani sijui namanyere dunia yao huwa shubiri aiseee.

you guys let me informs you market ya hizi sex toys za wadada is growing big, ask for sales details utaniambia....

Tuwaombee waolewe.
Kumbe wananunua sex toys , aroo
 
Mimi sioni ukweli kwenye hili bro
Yani NIna hela nikanunue sex toy??
Ivi unakujua JUU wewe?!
Aki Nina Stori ya kuleta inaitwa see you at the top!
Watu Wana enjoy mboo huku JUU hawatumii sanamu kujikimu,
Wanaume wenye hela wanataka wanawake wenye hela hata kutembea NAO wanataka wenye hela wenzao
Huu Uzi labda wapelekee waoga wasio na hela au darasa la 7
Mengine umeandika NI urongo!
 
Pesa unazo lakini 😁😁
 
Back
Top Bottom