Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ama wametuamuliaaaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kila siku kuwaandama ,kwani hauna kazi ya kufanya?
Mie nina 32,bado.Ndiyo hivyo wewe vipi??? Watu walikula chakula lakini [emoji38][emoji38][emoji38]
Nina 29 mwakani 30 na sina pressure, na bado nanata ukipishana namm utajiuliza huyu ninani kwani[emoji23]Sipo kinyonge eti nisalimie ovyo kutafuta wanaumee. Looh!!!Salaam wote!
1993/1994 nyie kina dada, mama mliozaliwa hapo shaka bila hivi sasa mna 30 years old......
Huku mtaani naona nilipo kama wanaanza kusalimia salimia hivi yaani zile dharau dharau za 2018 zimesha isha isha hivi.
Naamini na nyie mnapewa namba bila hata kuomba....[emoji16][emoji16]
Sema sasa kuna wawili watatu pengine bado wanavuta shuka na hawajui pashakucha, nyie badilikeni haraka sana
Usiombe dada sijui mama umri ndiyo huo 30+ alafu maisha yakupige alafu upoteze mwelekeo, mvuto upotee, kama una mtoto mdogo au anaanza shule akulilie njaa plus shule daaadeki ukicheki hupati mwanaume wa kueleweka (kama nyie wadada mnavosemaga, kaka ukisikia msemo wao mwanaume mwenyewe haeleweki, wewe kaka ujue huna pesa)
Sisi tunao pitia mahusiano ya msoto hapa na pale tunajua hizi misheni zao, nyie kaka mambo safi hamuwezi jua hili, nyie mkisikia anasema haeleweki mnaeza jua ni hapigi dudu au ni chapombe si tushajua dada anamaanisha mwanaume hana chenchede [emoji38][emoji38][emoji38]
Most girls of 30+ maisha yakiwapiga huwa wanatafuta mwenye anacho au kama ana mtoto yani single mother anatafuta child support.
(kwa wadada mambo safi hii haiwahusu mi nimeongelea wale wanao pitia msoto pale wanapo fika 30+ na mambo ni bila bila)......
Hao ambao ni Excluded yaani mambo safi hufa na tai shingoni, they are die with upwiru maana hawaoni Mr. Right, kazi kununua sex toys. bora na hawa maana ana uhakika wa kula na kuvaa na kulala pazuri na mengine kama usafiri ist cha kuzugia ni uhakika, peruvian hair na unywele unaa...[emoji16][emoji38][emoji38] sasa hawa wenzangu na mie kina mwaju na kina nani wa kijiji gani sijui namanyere dunia yao huwa shubiri aiseee.
you guys let me informs you market ya hizi sex toys za wadada is growing big, ask for sales details utaniambia....
Tuwaombee waolewe.
Kwaio dada unahela sioMimi sioni ukweli kwenye hili bro
Yani NIna hela nikanunue sex toy??
Ivi unakujua JUU wewe?!
Aki Nina Stori ya kuleta inaitwa see you at the top!
Watu Wana enjoy mboo huku JUU hawatumii sanamu kujikimu,
Wanaume wenye hela wanataka wanawake wenye hela hata kutembea NAO wanataka wenye hela wenzao
Huu Uzi labda wapelekee waoga wasio na hela au darasa la 7
Mengine umeandika NI urongo!
Kufuatilia habari za wanawake hivi ni aina fulani ya unyanyapaa.Salaam wote!
1993/1994 nyie kina dada, mama mliozaliwa hapo shaka bila hivi sasa mna 30 years old......
Huku mtaani naona nilipo kama wanaanza kusalimia salimia hivi yaani zile dharau dharau za 2018 zimesha isha isha hivi.
Naamini na nyie mnapewa namba bila hata kuomba....[emoji16][emoji16]
Sema sasa kuna wawili watatu pengine bado wanavuta shuka na hawajui pashakucha, nyie badilikeni haraka sana
Usiombe dada sijui mama umri ndiyo huo 30+ alafu maisha yakupige alafu upoteze mwelekeo, mvuto upotee, kama una mtoto mdogo au anaanza shule akulilie njaa plus shule daaadeki ukicheki hupati mwanaume wa kueleweka (kama nyie wadada mnavosemaga, kaka ukisikia msemo wao mwanaume mwenyewe haeleweki, wewe kaka ujue huna pesa)
Sisi tunao pitia mahusiano ya msoto hapa na pale tunajua hizi misheni zao, nyie kaka mambo safi hamuwezi jua hili, nyie mkisikia anasema haeleweki mnaeza jua ni hapigi dudu au ni chapombe si tushajua dada anamaanisha mwanaume hana chenchede [emoji38][emoji38][emoji38]
Most girls of 30+ maisha yakiwapiga huwa wanatafuta mwenye anacho au kama ana mtoto yani single mother anatafuta child support.
(kwa wadada mambo safi hii haiwahusu mi nimeongelea wale wanao pitia msoto pale wanapo fika 30+ na mambo ni bila bila)......
Hao ambao ni Excluded yaani mambo safi hufa na tai shingoni, they are die with upwiru maana hawaoni Mr. Right, kazi kununua sex toys. bora na hawa maana ana uhakika wa kula na kuvaa na kulala pazuri na mengine kama usafiri ist cha kuzugia ni uhakika, peruvian hair na unywele unaa...[emoji16][emoji38][emoji38] sasa hawa wenzangu na mie kina mwaju na kina nani wa kijiji gani sijui namanyere dunia yao huwa shubiri aiseee.
you guys let me informs you market ya hizi sex toys za wadada is growing big, ask for sales details utaniambia....
Tuwaombee waolewe.
Bado mbichiMie nina 32,bado.
KigoliNina 29 mwakani 30 na sina pressure, na bado nanata ukipishana namm utajiuliza huyu ninani kwani[emoji23]Sipo kinyonge eti nisalimie ovyo kutafuta wanaumee. Looh!!!
AminaTuwaombee waolewe.
sinunui toy wanaume wenye hela nao wapo kibaoKwaio dada unahela sio
Anhaa nlijua unahela niwe kiben 10 wakosinunui toy wanaume wenye hela nao wapo kibao
Vipi ninyi ni waume boraHawataki kuwa wake bora
Hivi ni kwamba huwa mnataka mwanamke amkubali kila mwanaume anayemtongoza auSi waliringa na kukataa watu wengi kipindi jua lilkiwa saa sita adhuhuri
Siyo kila lakini miaka inaenda hutaki kuolewa, shida ni nini?Hivi ni kwamba huwa mnataka mwanamke amkubali kila mwanaume anayemtongoza au
Sent using Jamii Forums mobile app