Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I've did❎I've did some correction sir, go and read again...
Ni topic rahisi sana, unaweza ukajifunza hata wewe mwenyewe bila msaada if you're keen enough to improve yourself in English. Hata kupitia Google tu inawezekana so nakuhamasisha ufanye hivyo kama hii lugha unaipenda sana.😁😁😁 asante sana mkuu mi kwenye past tense na participle nilizungusha 0 kubwa a.k.a F
Hadi Uzi umepoteza ladha,wabongo sijui kiingireza kiliwakosea niniHiki kikristo kimeharibu ka sredi kako
Hapana bali nilikuwa mwanafunzi kama wewe na sasa nina profession nyingine tofauti ambayo inanifanya niwe natumia hii lugha karibuni masaa yote ninayokuwa ofisini. Jitahidi, kila kitu kinawezekana broMkuu wewe ni mwl. wa kiingereza.
Shukrani za dhati ndugu, I will.Ni topic rahisi sana, unaweza ukajifunza hata wewe mwenyewe bila msaada if you're keen enough to improve yourself in English. Hata kupitia Google tu inawezekana so nakuhamasisha ufanye hivyo kama hii lugha unaipenda sana.
Aiseeee Mimi naongea kiswahili mwanzo mwisho kama Uncle Magu, Nina stress za kutosha siwezi kuongeza stress nyingineHadi Uzi umepoteza ladha,wabongo sijui kiingireza kiliwakosea nini
Mwee mweee mweehSalaam wote!
1993/1994 nyie kina dada, mama mliozaliwa hapo shaka bila hivi sasa mna 30 years old......
Huku mtaani naona nilipo kama wanaanza kusalimia salimia hivi yaani zile dharau dharau za 2018 zimesha isha isha hivi.
Naamini na nyie mnapewa namba bila hata kuomba....😁😁
Sema sasa kuna wawili watatu pengine bado wanavuta shuka na hawajui pashakucha, nyie badilikeni haraka sana
Usiombe dada sijui mama umri ndiyo huo 30+ alafu maisha yakupige alafu upoteze mwelekeo, mvuto upotee, kama una mtoto mdogo au anaanza shule akulilie njaa plus shule daaadeki ukicheki hupati mwanaume wa kueleweka (kama nyie wadada mnavosemaga, kaka ukisikia msemo wao mwanaume mwenyewe haeleweki, wewe kaka ujue huna pesa)
sisi tunao pitia mahusiano ya msoto hapa na pale tunajua hizi misheni zao, nyie kaka mambo safi hamuwezi jua hili, nyie mkisikia anasema haeleweki mnaeza jua ni hapigi dudu au ni chapombe si tushajua dada anamaanisha mwanaume hana chenchede 😆😆😆
Most girls of 30+ maisha yakiwapiga huwa wanatafuta mwenye anacho au kama ana mtoto yani single mother anatafuta child support.
(kwa wadada mambo safi hii haiwahusu mi nimeongelea wale wanao pitia msoto pale wanapo fika 30+ na mambo ni bila bila)......
Hao ambao ni Excluded yaani mambo safi hufa na tai shingoni, they are die with upwiru maana hawaoni Mr. Right, kazi kununua sex toys. bora na hawa maana ana uhakika wa kula na kuvaa na kulala pazuri na mengine kama usafiri ist cha kuzugia ni uhakika, peruvian hair na unywele unaa...😁😆😆 sasa hawa wenzangu na mie kina mwaju na kina nani wa kijiji gani sijui namanyere dunia yao huwa shubiri aiseee.
you guys let me informs you market ya hizi sex toys za wadada is growing big, ask for sales details utaniambia....
Tuwaombee waolewe.
HahahahaCkuiz wadada wa 30+ wanaandamwa sana
DohHawataki kuwa wake bora
Wanawaandama lakini wengine ndio tunaowapenda maana wako matured and experienced. Mi mwanamke hata awe single mama as long as tunaelewana na kufanya kile tunachokubaliana it's a BIG ok with me.Ckuiz wadada wa 30+ wanaandamwa sana
Swadakta,MkuuWanawaandama lakini wengine ndio tunaowapenda maana wako matured and experienced. Mi mwanamke hata awe single mama as long as tunaelewana na kufanya kile tunachokubaliana it's a BIG ok with me.
Si waliringa na kukataa watu wengi kipindi jua lilkiwa saa sita adhuhuriCkuiz wadada wa 30+ wanaandamwa sana
Angalia kwanza jina lako then uliza tena.Ni nini maana ya jukwa la Mahusiano???
Jukwaa hili nikutoa mada elimishi, dada wa miaka 25 akiona hii thread atajifunza kupambana ili at 30 years ajikwamue kiuchumi.....sijamchamba mtu.
Alafu kama sina kazi ya kufanya, wewe mwenye kazi unatafuta nini hapa????
Jibu maswali???