Pre GE2025 Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,

Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.


Yaonekana alikuja na ajenda/maswali yake alafu aaajab sana ana na majibu yake.

Yaaani anataka maswali yake na ana majibu yake🤣🤣🤣
 
Huyu demu ni kilaza sana ila Lissu amemuweka kwenye size yake,yaani mwanzo mwisho yuko very hostile kwa Lissu. Aibu hii kwa Clouds Media,eti labda kama yeye Lissu ana swali. !!@!
 
Gentleman,
Mwanahabari Chief Odemba wa StarTv, kwakua ni chadema hafai kutumia taaluma yake kumuhoji katibu mkuu wa CCM right?🐒
 
Hivi Clouds wakiangalia hiki kipindi hawaoni aibu kuwakilishwa na kichwa maji kama huyo!? Anyways clouds ni walewale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…