Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
Duh
Huyu dada hawezi hata kumuhoji mtendaji kata ndio mnamtuma kwa lissu
Huyu dada hawezi hata kumuhoji mtendaji kata ndio mnamtuma kwa lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aghalabu kada wa CCM kumpenda Lissu, mimi sikufuatilia mahojiano yake na Mbowe alikuwa anamuuliza maswali kama aliyomuuliza Lissu?Yaonekana alikuja na ajenda/maswali yake alafu aaajab sana ana na majibu yake.
Yaaani anataka maswali yake na ana majibu yake🤣🤣🤣
Wewe ndiye huna akili kabisa yule demu alikuwa very unprofessional usitetee upumbavu.Mleta mada heshimu haki za binadamu
Kwa hiyo watangazaji na waandisji wa habari hawatakiwi kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa?
Kwa hiyo Lisu alitaka ahojiwe na watangazaji ambao.ni wanachama wa Chadema tu?
Team Lisu mko duni sana vichwani
Mkuu chukua maua yako 💐💐💐💐Kadhihirishia ulimweng wote kuwa ni bumbuwazi.
Lisu ndie proffessional? Anayesema Ohhh Mbowe asigombee kakaa muda nrefu madarakaniWewe ndiye huna akili kabisa yule demu alikuwa very unprofessional usitetee upumbavu.
Mshauri Tlaatlaah na Lucas mwanshambya nao akili ziwarejee nawaonea huruma masikini.Nashukuru nimeachana na CCM na akili zangu zinazidi kurejea
Lissu anamkubuka Stephen katika mahojiano ya Hard Talk BBC alipasuka.Hili jambo nimeliona na nimesema hivyo, alipewa kazi ambayo kachemka vibaya.
Lissu ni wa kwenda naye kwa utulivu wa hali ya juu, otherwise ndio kuaibika kama huyu.
Birdsof the same feathers flew togetherAibu yako unamshabikia kilaza mwenzako kwenye ujinga wake.
Wewe unadandia gari kwa mbele,hangaikeni na lichama lenu chakavu ya Chadema tuachieni wenyewe. Lissu ndiye mwenyekiti ajaye wa Chadema.Lisu ndie proffessional? Anayesema Ohhh Mbowe asigombee kakaa muda nrefu madarakani
Wakati katiba ya Chadema inamruhusu Mbowe kugombea sababu katiba ya Chadema haina huo ukomo
Hapo waweza sema Lisu ni proffaesinal na hilo genge la timu yake?
Leta crip ya lisu akisema mbowe asigombeeLisu ndie proffessional? Anayesema Ohhh Mbowe asigombee kakaa muda nrefu madarakani
Wakati katiba ya Chadema inamruhusu Mbowe kugombea sababu katiba ya Chadema haina huo ukomo
Hapo waweza sema Lisu ni proffesinal na hilo genge la timu yake?
Anza kutafuta chama cha kuhamia baada ya Lisu kushindwa uchaguziWewe unadandia gari kwa mbele,hangaikeni na lichama lenu chakavu ya Chadema tuachieni wenyewe. Lissu ndiye mwenyekiti ajaye wa Chadema.
Umakini gani aliouonyesha hapo....Kususa ndo umakini?? kajivua nguo asubuhi na mapema...Dada yuko makini sana, Viva Yunus
Kapigwa za chembe, nasikia kaingia Member of Parliament chaaap kwa Woga na kiteteNimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,
Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
CHADEMA hamna waandishi wa habari waende kule Dodoma wakamhoji Mzee Pinda au Rais Samia?.Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,
Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
Tuondoleeni upuuzi wenu wa kiccm hahami mtu hapa.Mbowe must go.Anza kutafuta chama chs kuhamia baada ya Lisu kushindwa uchaguzi
Nomecheka kwa sauti wallahi🤣🤣🤣Hahahahah Ila LISSU, Et Nyie mnauliza maswali ,Mimi majibu🤣🤣🤣
Kmmke walahiii huyo demu Nahisi alivyotoka hapo break ya kwanza ni choon Kunya akihisi mav yamembana, na alipofika choon akashangaa mavi hayatoki.
Yaan nikm vile unavyosubiria majib ya HIV.
Hivi kuna kitu cha maana kilichobakia clouds? Nina zaidi ya miaka sijatazama wala kusikiliza hiyo mediaHaka Kasichana Kako very unprofessional.... haya ni matokeo ya kupeana kazi kwa kujuana.
Haya uloandika yanamsaidia nininmtoto wako?Nadhani hata wewe upo biased