Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Acheni udhalilishaji huo. Tuongee mambo ya maana na kile kilichotokea kwenye interview.Kapewa kazi kwa kuvuliwa chupi
Please have Respect
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni udhalilishaji huo. Tuongee mambo ya maana na kile kilichotokea kwenye interview.Kapewa kazi kwa kuvuliwa chupi
💯Lisu ni akili kubwa, hawa waandishi akili ndogo na uchwara hawana uwezo wa kufanya mahojiano na Lisu
Wale Wanaume sijui ni Usalama? Wametulia tuliiii😅😅😅Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,
Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
Lissu mporokwajiHili jambo nimeliona na nimesema hivyo, alipewa kazi ambayo kachemka vibaya.
Lissu ni wa kwenda naye kwa utulivu wa hali ya juu, otherwise ndio kuaibika kama huyu.
Una point sana Mkuu, hata hivyo sisi Raia tunanufaika wanapohoijiwa Viongozi Makini kama Lissu.Chadema inabidi wawe makini na hizi Media. Majuzi tu walikuwa wanawakimbia na walikuwa hawaandiki habari zao. Leo wanawakimbilia kila siku.
Nasikia ha Crown Media ya Kikeke kumbe ni mali ya Mkwe Mwenye Kifua Kipana ..
Sasa hapo unganisha dots.
Roho na mwili viko Kwa dj mbowe,hapa unajikosha tu,zimwi limekata kambaAsante kwa ushahidi mwanana
Pascal Mayalla anawashauri sana wawe wanajiongezaAmeonyesha Ukanjanja wake kwenye tasnia ya habari.
Huyu demu ni kilaza sana ila Lissu amemuweka kwenye size yake,yaani mwanzo mwisho yuko very hostile kwa Lissu. Aibu hii kwa Clouds Media,eti labda kama yeye Lissu ana swali. !!@!
Anafaa and he can 💯%...Gentleman,
Mwanahabari Chief Odemba wa StarTv, kwakua ni chadema hafai kutumia taaluma yake kumuhoji katibu mkuu wa CCM right?🐒
Mwenyekiti tena kaangukia Pua na huku.Dada yuko makini sana, Viva Yunus
Mmekwama tena. Pesa za Abdalla mtazitema tuEnhe, kwahiyo lissu ameshashinda uraisi 2025?!!! Sizungumzii uenyekiti sababu hilo halinihusu
Mmeangukia pua tenaGentleman,
Mwanahabari Chief Odemba wa StarTv, kwakua ni chadema hafai kutumia taaluma yake kumuhoji katibu mkuu wa CCM right?🐒
Ukiendelea kuwa mkweli namna hii hakika Mbingu utaiona, naamini CCM hawawezi kukuadhibu kwa kuwa mkweli maana una ID fekero.Umakini uko wapi hapo?.
Katutia aibu sana kwenye chama chetu.
🤣 mihemko ni mateso na utumwa wa kindezi sana,Anafaa and he can 💯%...
Lakini weka ujinga wa ki - CCM pembeni na ikibidi ufungie kwenye kabati lako nyumbani kisha njoo tuhojiane ukiwa fresh & professional...
Ukija umejaza ujinga wako wa ki - CCM ili eti kuumwaga kwa mtu kama Tundu Lissu, then get prepared to be embarrassed mbele TV cameras kama dada yenu Kijakazi Yunus, alivyoaibika leo...!
Bahati njema sana kwani Tundu Lissu alikuwa calm na mvumilivu kwake...
kivip gentleman na mihemko ile ya kibaraka akadhani eti anafuatiliwa na kila mtu 🤣Mmeangukia pua tena