Pre GE2025 Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani hii kambi ya Lissu ni kulalamika tu, bado tunasubiri mkipigwa mseme Mbowe kawaibia kura.
 
Dada anataka TAL aulize swali.
 
Nasema hili hapa tena.

Tundu Antipass Lissu sio wa kumtumia waandishi vilaza waliofeli shule wamuhoji. Atawagalagaza vibaya sana.


Ningekuwa Joseph Kusaga kwa namna ambavyo huyu mwandishi alivyochakazwa na Lissu ningempangia kipindi kingine
 
Kibongo bongo labda Masoud Kipanya wa Clouds Fm na Salim Kikeke wa Crown media angalau hao kidogo ndio wanaweza kumuhoji Lisu Maswali yanayofikirisha..
 
Looh, πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”..!!!!

Hiyo clip ya pili, huyu bibie Kijakazi Yunus alikuwa ameshakuwa totally confused kabisa na Tundu Lissu kiasi cha kutaka yeye ndiye aanze kufanyiwa mahojiano na Lissu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Alikuwa very busy kucharti na simu bila shaka akipokea maelekezo toka chumba cha propaganda pale Lumumba..
 
CCM Kwa ujumla wao wanamuogopa Lissu kuliko mwanasiasa mwingine yeyote akiewahi kuwa upinzani toka Tanganyika ipate uhuru. Wanafahamu ni Simba ambaye haogopi vita na kukiwasha haogopi, waliweke akilini baada ya uchaguzi mkuu mwakan huu watamuelewa vizur wasitegemee watauchafua uchaguzi na kujitangaza kirahisi
 
Wanatuma vilaza kuhoji watu makini.
 
This
The true calling of women like this should be in kitchen and home not staff like this, she go outside the script , to emotional also she can't handle a political gangship battle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…