BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Massoud naye ngumbaru tu at least Salim kikeke, Sammy awamiKibongo bongo labda Masoud Kipanya wa Clouds Fm na Salim Kikeke wa Crown media angalau hao kidogo ndio wanaweza kumuhoji Lisu Maswali yanayofikirisha..
John Marwa wa Jambo TV na Chief Odemba wako vizuri pia. Hata hao wakina Sasali, PJ na Charles wa Wasafi wakiwa serious huwa wanafanya interview vizuri sana.Kibongo bongo labda Masoud Kipanya wa Clouds Fm na Salim Kikeke wa Crown media angalau hao kidogo ndio wanaweza kumuhoji Lisu Maswali yanayofikirisha..
Hili nilishalibaini muda mrefu..leo nimepigia tu MSTARIKija ni mweupe kuliko karatasi
Lissu sio mtu wa kuvamiwa na wahandishi uchwara, ile kichwa ingine wakuuNimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,
Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
Uchaguzi huru na haki Mbowe hawezi kushinda, Mbowe ataiba kura ni uchakachuaji pekee it’smwezesha Mbowe kuwa mwenyekiti haramuYaani hii kambi ya Lissu ni kulalamika tu, bado tunasubiri mkipigwa mseme Mbowe kawaibia kura.
takataka yako hiyoDada yuko makini sana, Viva Yunus
kabla ya kutoka hapo alikuwa anahisi mpwito wa kimataifa.Hahahahah Ila LISSU, Et Nyie mnauliza maswali ,Mimi majibu🤣🤣🤣
Kmmke walahiii huyo demu Nahisi alivyotoka hapo break ya kwanza ni choon Kunya akihisi mav yamembana, na alipofika choon akashangaa mavi hayatoki.
Yaan nikm vile unavyosubiria majib ya HIV.
lissu kamvua kyupi aseeBinti mkongwe kapata alichokitaka. Kadhihirishia ulimweng wote kuwa ni bumbuwazi.
Majina huumba. Mtu kaitwa kijakazi, hata fikra zake zimekaa kijakazi kijakazi.
Kwa Wazanzibari kijakazi ni mtumishi wa hali ya chini kabisa asiethaminika, humithilishwa na mtumwa.
Ndiyo alichotumwa na yule guluguja Amos MakallaMi sio mshabiki wa Lissu ila huyo dada mbona kama alikuwa na hasira sana.
Huyo ni kiburidisho cha kina Kiswaswadu tuMuandishi kama huyu unadhani atakuwa na upeo wa namna gani?!
View attachment 3203687
Lissu ni wa kwenda naye kwa utulivu wa hali ya juu, otherwise ndio kuaibika kama huyu.👌🏿Hili jambo nimeliona na nimesema hivyo, alipewa kazi ambayo kachemka vibaya.
Lissu ni wa kwenda naye kwa utulivu wa hali ya juu, otherwise ndio kuaibika kama huyu.
Wewe Kijakazi hilo swali ungemuuliza Lissu mwenyewe asubuhi wakati unamhojiEnhe, kwahiyo lissu ameshashinda uraisi 2025?!!! Sizungumzii uenyekiti sababu hilo halinihusu
Wewe unavyomuona Kijakazi alikuwa na respect kwa Lissu? Mtu mhuni kama yule hastahili respect at all.Acheni udhalilishaji huo. Tuongee mambo ya maana na kile kilichotokea kwenye interview.
Please have Respect
Kijakazi katika ubora wako Lissu kakuanika ukilaza wako hata sijui ulipataje hiyo kazi hapo Clouds Media.Lissu mporokwaji
Huyu dada mjinga sana.... hafai kabisa kuwa muandishi wa habari... yaani anauliza swali huku kichwani akiwa na majibu yake ambayo analazimisha Mwamba antiphas ajibu... na usikute hapo anatafuta tu aonekane na raisi kwamba yeye yupo na ujinga huo ili ateuliwe......Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,
Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
Umakini unatoka wapi hapo? UVCCM kumejaa matakataka! Huwezi kuwalinganisha na vijana wa CHADEMA ingawaje chama kinaelekea kuvurugwa!Dada yuko makini sana, Viva Yunus
Nyumbu wa Sultan Mbowe hebu onyesha wapi watu wamelalamika hapa? Watu wanachambua mahojiano ya Lissu na Clouds Media na siyo kulalamika,hizo hela za Abdul mlizolambishwa zimewawehua sana na bado .Yaani hii kambi ya Lissu ni kulalamika tu, bado tunasubiri mkipigwa mseme Mbowe kawaibia kura.