Pre GE2025 Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media

Pre GE2025 Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kibongo bongo labda Masoud Kipanya wa Clouds Fm na Salim Kikeke wa Crown media angalau hao kidogo ndio wanaweza kumuhoji Lisu Maswali yanayofikirisha..
John Marwa wa Jambo TV na Chief Odemba wako vizuri pia. Hata hao wakina Sasali, PJ na Charles wa Wasafi wakiwa serious huwa wanafanya interview vizuri sana.
 
Sasa natangaza kwa sasa ,mh Mwenyekiti ajae ,mh lissu hakuna hojiwa tena na vyombo vya ndani, imetosha , hii ni haibu sana
 
Hahahahah Ila LISSU, Et Nyie mnauliza maswali ,Mimi majibu🤣🤣🤣

Kmmke walahiii huyo demu Nahisi alivyotoka hapo break ya kwanza ni choon Kunya akihisi mav yamembana, na alipofika choon akashangaa mavi hayatoki.


Yaan nikm vile unavyosubiria majib ya HIV.
kabla ya kutoka hapo alikuwa anahisi mpwito wa kimataifa.
 
Binti mkongwe kapata alichokitaka. Kadhihirishia ulimweng wote kuwa ni bumbuwazi.

Majina huumba. Mtu kaitwa kijakazi, hata fikra zake zimekaa kijakazi kijakazi.

Kwa Wazanzibari kijakazi ni mtumishi wa hali ya chini kabisa asiethaminika, humithilishwa na mtumwa.
lissu kamvua kyupi asee
 
Hili jambo nimeliona na nimesema hivyo, alipewa kazi ambayo kachemka vibaya.

Lissu ni wa kwenda naye kwa utulivu wa hali ya juu, otherwise ndio kuaibika kama huyu.
Lissu ni wa kwenda naye kwa utulivu wa hali ya juu, otherwise ndio kuaibika kama huyu.👌🏿
 
Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,

Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
Huyu dada mjinga sana.... hafai kabisa kuwa muandishi wa habari... yaani anauliza swali huku kichwani akiwa na majibu yake ambayo analazimisha Mwamba antiphas ajibu... na usikute hapo anatafuta tu aonekane na raisi kwamba yeye yupo na ujinga huo ili ateuliwe......
Kama kuna ndugu yake humu... amwambie awe makini, siasa si kitu kizuri,
 
Yaani hii kambi ya Lissu ni kulalamika tu, bado tunasubiri mkipigwa mseme Mbowe kawaibia kura.
Nyumbu wa Sultan Mbowe hebu onyesha wapi watu wamelalamika hapa? Watu wanachambua mahojiano ya Lissu na Clouds Media na siyo kulalamika,hizo hela za Abdul mlizolambishwa zimewawehua sana na bado .
 
Back
Top Bottom