jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Wasukuma na makabila mengine yamehamia kwa kasi bonde la mto rufiji.Kule kwetu kama unaenda utadhani upo katika hadithi za vitabuni zama.za utumwa. Sijui nini kifanyike kutoa hii jamii katika usingizi mzito. Kule sijui kupo vipi wana mali nyingi sana ardhi nzuri na misikiti imejaa utadhani ndio Waarabu wenyewe.
Na wanatajirika sana kupitia shuguhuli za kilimo na ufuguja na biashara mbalimbali kuzidi hata wenyeji.
Wenyeji wamejaa vibarazani na kwenye vijiwe vya kahawa na bharagashia zao...umasikini unaanzia kichwani.
#MaendeleoHayanaChama