Angalia daraja Mbuchi na Mbwera Kibiti la Bilioni 7.2 lililojengwa na Rais wetu Mpendwa Samia Suluhu. Tujipongeze

Angalia daraja Mbuchi na Mbwera Kibiti la Bilioni 7.2 lililojengwa na Rais wetu Mpendwa Samia Suluhu. Tujipongeze

Kwa kukilinda chama chetu cha mapinduzi; jumuiya zetu pamoja na sisi wanachama tunapaswa kuwa mstari wa mbele kuhoji au kukosoa pale tunapoona mambo hayako sawa. Tusiwe wapongezaji na wasifu juhudi tu, tunayo nafasi ya kuhoji pia.
Je, hili daraja lina thamani ya B. 7?View attachment 2431644
Billion 7 pesa YA flyover kabisa, kinachoniumiza mm Ni tozo lukuki ninazokatwa kila siku alafu watu wanakuja kirahis hivi.
 
Matokeo ya mama yako kutiwa gesti ndio haha Sasa katoa taahira huku anatuletea mzigo Taifa
Wewe unayejipendekeza ili uteuliwe ndiyo huna mwelekeo matokeo yake wenzako wanakubokoa tu kwa ahadi kuwa utateuliwa, utaliwa sana lakini hakuna teuzi za kishoga safari hii
 
Wizi mtupu mi niko hapa sina nauli hata ya kwenda dom kufanya usahili ila watu wanachezea pesa za umma vibaya
 
Salaam wakuu,

Ni baraka na Neema iliyoje kumpata Rais mwenye Uchungu na Mali za Umma? Hakika Mungu anatufundisha na kutuonesha Umakini wa Rais wetu Samia Suluhu. Mungu anatuonesha Uwezo wa kufuatilia mambo wa Rais samia na wakati wa kupiga kura hatutaumiza kichwa kujua ubora wake kwani tumeona Uwezo wake wa juu wa kupambana na Ufisadi. Huu ndo uwezo wake wa juu wa utendaji ambao Mungu kamjalia.

Hii imepelekea Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa daraja la Mbuchi lenye urefu wa mita 61 linalounganisha kata hizo ambao umegharimu shilingi bilioni 7.2.

Hongera sana Rais Samia Suluhu Hassan. Hakika wewe ni kielelezo cha Wanawake.

Kazi iendelee.

Asitokee mtu akamkosoa rais kwa utendaji huu. Tumpigie makofi tu kama anavyotaka. Kama Watawala wanaafiki hi kitu inatusaidia kujua akili zao na madhumuni ya kugombania vyeo.

Hadi sasa sijajua Watanzania wana uhusiano gani na Mungu. Hadi tunapata Viongozi/Watawala wa hivi.

Tumewaseti watu wapongeze, then tunawapa elfu 50 kila mmoja. Angalia Video. Majaliwa mjanja sana
View attachment 2430635
View attachment 2430613View attachment 2430614
Ni sahhi kabisa, hiyo hela mbona ndogo sana. Mchanganuo ni kama ufuatavyo:

1. Gharama ya kuwaomba mamba wapishe ujenzi ni Tsh 1.1b

2. Upembuzi yakinifu ni 700m

3. Gharama ya material ni Tsh 2.7b

4. Mhandisi amelipwa Tsh 1.5b

5. Vibarua ni Tsh 700m

6. Malipo ya samaki ili wapishe ujenzi kwa muda ni Tsh 500m
 
Angalia akili yako sasa. Unajua Moshi na Bukoba inajengwa na wakazi husika je wewe kama mtu wa Rufiji umejenga nini?
Barabara na madaraja ya Moshi yamejengwa na watu wa Moshi!?..shule,hospitali walichanga wanamoshi wakajenga!?..
 
Kule kwetu kama unaenda utadhani upo katika hadithi za vitabuni zama.za utumwa. Sijui nini kifanyike kutoa hii jamii katika usingizi mzito. Kule sijui kupo vipi wana mali nyingi sana ardhi nzuri na misikiti imejaa utadhani ndio Waarabu wenyewe.
Ulichoona ni misikiti tu,ndiyo tatizo kwako!?..
 
Mpaka mama aje kutoka madarakani nchi itakuwa imebaki mifupa mitupu
 
Wabongo kwa kukosoa hata mambo tusioyajua tunakaza matako kukosoa wananchi wameshapata daraja hawatasumbuka kipindi cha mafuriko kwann serikali isipongezwe kama linashida takukuru watafanya kazi yao cha msingi mwananchi ashaondokana na changamoto.
 
Back
Top Bottom