Wasukuma na makabila mengine yamehamia kwa kasi bonde la mto rufiji.
Na wanatajirika sana kupitia shuguhuli za kilimo na ufuguja na biashara mbalimbali kuzidi hata wenyeji.
Wenyeji wamejaa vibarazani na kwenye vijiwe vya kahawa na bharagashia zao...umasikini unaanzia kichwani.
#MaendeleoHayanaChama