Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
?Waafrika wengi hung'ang'ania madaraka kwa hofu ya kurudia kuishi maisha yao ya kawaida ya zamani.
Lakini aliyekuwa Rais wa zamani wa Liberia, ambaye alishindwa kwenye uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo mwaka 2023 dhidi ya mpinzani wake Joseph Boakai, mambo yamekuwa tofauti.
Weah ambaye kabla ya kuwa Rais wa nchi yake alikuwa ni mchezaji Mpira maarufu duniani, amerudi kijijini kwao na anaishi maisha yake ya kawaida na marafiki zake wa zama za utotoni.
AMEJIKUBALI.
View attachment 3196574
Ulitaka asilindwe?Amekudanganya nani ? Muangalie huyo jamaa mwenye kiglasi chekundu amebeba nini kiunoni
?
Hii watu hawaelewi. Washamba ndiyo hubaki na kivuli cha "status" zao za madaraka hata wakiwa nje ya madaraka.George Weah kashakula bata Monaco na Italy kabla washamba hawajavamia Ulaya.
Sasa hivi anatulia tu kijijini.
Sawa Allen ,kheri ya mwaka mpya ,kariri hili jina mwezi wa kumi na moja lazima na Mimi nitikise nchiUlitaka asilindwe?
Kurudi kwake kwao hakuondoi stahili zake kama Rais Mstaafu .
Wewe unawajua wanasiasa wangapi wa Tanzania (Jakaya anajitahidi) ambao wameweza kurudi kuishi kikawaida kama zamani?
Mbowe anaelekea kumfukuza Lissu mda si mrefu kwa kuvunja katibaWakati huo huo mbowe nae hataki kustaafu.
UshakujaπππWakati huo huo mbowe nae hataki kustaafu.
Wala sio uongo, huku kwetu pia wapo.Waafrika wengi hung'ang'ania madaraka
Inapaswa hii clip imfikie mbowe ili ajue kustaafu pia unaweza kula bata,Ushakujaπππ
πππWala sio uongo, huku kwetu pia wapo.
Huwa unakuwa na hoja ila shida yako unatumbukiza na matakataka ya Lumumba ndani yake...πInapaswa hii clip imfikie mbowe ili ajue kustaafu pia unaweza kula bata,
Maana inaelekea anaogopa sana kupoteza ile heshima aliyokuwa nayo.
Hakuna kinachodumu milele , akubaliane na hali halisi tu
Chukua kinachokufaa.Huwa unakuwa na hoja ila shida yako unatumbukiza na matakataka ya Lumumba ndani yake...π
Nimehadaiwa kivipi?Njia ya kumuhadaa muafrika wa kiwango cha mleta mada