Angalia George Weah baada ya kutoka kwenye kiti cha Urais jinsi anavyoishi maisha ya kawaida


Ana bahati kugundua furaha ya kweli
 
Watu wenye Akili kubwa, Watu wenye hekima huwa wako vile !
Kwanza kabisa maisha yao yapo stress free !
Na wanajua na kuamini kwamba wao hawana tofauti na watu wengine wote !
Wawe ni masikini au matajiri kwao wapo sawa tu. !

Na huyo jamaa hata kabla ya URais pesa kwake ilikuwa ipo ya kutosha tu !

Sasa waupate wale wenye nongwa na maisha ya anasa 😱😳🙄!

Asalaaleee hakuna rangi hamtaiona 🤣🤣🤣 !
 
Hao ni w Huyo ni mtu anayejitambua.
 
Umeandika andiko Bora kabisa.
 
Huwa mnadanganyika sana na vitu vya juu juu aisee.

Geogre ana shida huyo kichwani
 
Ulitaka asilindwe?

Kurudi kwake kwao hakuondoi stahili zake kama Rais Mstaafu .

Wewe unawajua wanasiasa wangapi wa Tanzania (Jakaya anajitahidi) ambao wameweza kurudi kuishi kikawaida kama zamani?
Jakaya anaishi kikawaida?
Unaishi pori gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…