komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Ningekuwa na mipesa kiwango cha Mbowe, ningekuwa nacheza na watoto na wajukuu na kiangalia miradi tu. Stress za nini sixtiesInapaswa hii clip imfikie mbowe ili ajue kustaafu pia unaweza kula bata,
Maana inaelekea anaogopa sana kupoteza ile heshima aliyokuwa nayo.
Hakuna kinachodumu milele , akubaliane na hali halisi tu
Ulikuwa naye? Punguza ulaghai kijana.George Weah kashakula bata UK, France, Monaco, Italy etc, kabla washamba hawajavamia Ulaya.
Sasa hivi anatulia tu kijijini.
Kwa hapa Tanganyika hili haliwezekani kwa kuwa marais wastaafu wanaogopa kulipizwa kisasi na ndugu za jamaa waliowapoteza na kuwaua wakati wa utawala wao.Waafrika wengi hung'ang'ania madaraka kwa hofu ya kurudia kuishi maisha yao ya kawaida ya zamani.
Lakini aliyekuwa Rais wa zamani wa Liberia, ambaye alishindwa kwenye uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo mwaka 2023 dhidi ya mpinzani wake Joseph Boakai, mambo yamekuwa tofauti.
Weah ambaye kabla ya kuwa Rais wa nchi yake alikuwa ni mchezaji Mpira maarufu duniani, amerudi kijijini kwao na anaishi maisha yake ya kawaida na marafiki zake wa zama za utotoni.
AMEJIKUBALI.
View attachment 3196574
Angalau anaishi maisha simple kuliko viongozi wengi.Amekudanganya nani ? Muangalie huyo jamaa mwenye kiglasi chekundu amebeba nini kiunoni
?
Ushauri Gani?Zingatia kwanza ushauri wangu kabla sijaenda Baraza la Mitihani kufuatilia matokeo yako
Ukipata muda naomba tukutane Msoga ,tarehe 19 /01 mwaka huu Kuna Jambo nione utaweza kuliona na kubadili mawazo kakaAngalau anaishi maisha simple kuliko viongozi wengi.
Mbowe na Samia wajifunze jambo hapaNjia ya kumuhadaa muafrika wa kiwango cha mleta mada
Hiyo ni stahili yake.Unaweza kuta nje ya uzio una kuna Wanajeshi wakutosha usiwaamini wanasiasa hata bahati mbaya
Ni kama wafuasi wa jiwe aka shujaa aka JPM. Na ushamba wao bado wanalazimisha sifa zimwendee wakati alifanya mambo ya kawaida sana!Hii watu hawaelewi. Washamba ndiyo hubaki na kivuli cha "status" zao za madaraka hata wakiwa nje ya madaraka.
Lissu anavyowahadaa chadema.... anaahidi mambo mengi wakati hata mkewe kashindwa kumtunza, analishwa na wazunguMbowe na Samia wajifunze jambo hapa
Malipo ya mwezi mmoja tu ulaya, kubeba tu ma-box au kuzibua vyoo, au kulea wazee ama kuosha vyombo, ni mshahara wa mwezi wa Mbunge wa Tanzania anayetembelea VX. Mkewe Lissu akitaka kurudi hahitaji mchango wa nauli ya mtu. Labda walikubaliana abaki na watoto kwa usalama wao.Lissu anavyowahadaa chadema.... anaahidi mambo mengi wakati hata mkewe kashindwa kumtunza, analishwa na wazungu
Hili tatizo lipo kwa watu wengi sana mkuu.Ningekuwa na mipesa kiwango cha Mbowe, ningekuwa nacheza na watoto na wajukuu na kiangalia miradi tu. Stress za nini sixties
Una hoja... Usikilizwe.Hili tatizo lipo kwa watu wengi sana mkuu.
Na ndio maana wastaafu wengi huwa hawakai sana mtaani.
Ipo haja ya kuwa na wanasaikolojia maalum kuhusiana na maswala kama haya.
Mtu kupoteza heshima yote hiyo ghafla tu sio kitu rahisi.
Alipokuwa Rais aliwaachaje hao rafiki zakeWeah ambaye kabla ya kuwa Rais wa nchi yake alikuwa ni mchezaji Mpira maarufu duniani, amerudi kijijini kwao na anaishi maisha yake ya kawaida na marafiki zake wa zama za utotoni.
Hii comment nilijua tu zitakuepo za kumhusu mboweWakati huo huo mbowe nae hataki kustaafu.
AmestaarabikaJamaa ni mstaarabu sana.
Nasikia amejitahidi kufanya mambo mazuri kwa Taifa lake akiwa madarakani na hata baada ya matokeo aliachia kiti kwa amani.
Opong' Weah G..George Weah kashakula bata UK, France, Monaco, Italy etc, kabla washamba hawajavamia Ulaya.
Sasa hivi anatulia tu kijijini.