Angalia George Weah baada ya kutoka kwenye kiti cha Urais jinsi anavyoishi maisha ya kawaida

Hayo ndiyo maisha yake ya kila siku? Au hapo alikuwa kwenye tukio?
 
Nirejeshee bundle langu...
🚮🚮🚮
 
yule jamaa wa pili Toka mwishoni sijamwelewa

mzee ,kikwete tafadhari mwige jamaa

Kazi ya kununua mahindi kwenye mashamba mseke huko kwenda kulisha ng'ombe ...unaua watu mwakani
 
Ameshainama hivyo wakati alikuwa anapiga tick-tack za hatari?!
 
Kuna wakati ukishaachieve kila kitu duniani unakuwa huna namna zaidi ya kuishi kama raia WA kawaida tu.

George weah, Balon d'Or winner, amecheza mpira Ulaya kwa mafanikio makubwa, amekuwa Rais wa Liberia, anaheshima Ulaya na Africa..hakuna kigeni kwenye maisha yake.

Kila maisha kwake ni ya kawaida sana.
 
Huyo kama ni starehe na Raha ashakula sana, ni sawa na matajiri wakubwa na wa miaka mingi huko USA, ulaya, Japan nk wao wanajitolea pesa tu siku hizi, mfano tajiri kama buffet yeye Hana mambo mengi kabisa.
 
Hiyo ni aina za watu,we unafikiri watu kama mwl Nyerere alivyo kuwa unafikiri viongoz wote wastaaf wanaweza lifestyle ile!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…