Angalia hawa watoto wanavyo hatarisha maisha yao

Angalia hawa watoto wanavyo hatarisha maisha yao

Na madaraka hawataki kuachia
Idiots kabisa
 
Afu unasikia watu wanabadilisha v8 za 500M kila siku.

Maajabu kwerikweri. Wenyeji mtuambie hapa ni bukoba au mkoa gani.

Haijajulikana wanapita shortcut au hakuna njia mbadala kukwepa huo mto wanavyotoka shuleni

View attachment 2628134
Daah, halafu. Trillion 2 zimeibiwa kilaini kabisa, huku watoto wanavuka mto kama huu kwa gogo! Mwigulu angekubali mtoto wake apande hilo gogo??!!!
 
Aiseee halaf huku mama anatoa milion 5 kisha 10 na sasa 20 kwa kila goli ambalo simba na yanga wanashinda
 
RC chalamila alienda kagera kufanya nn ? Serikali ya ovyo sana
 
Afu unasikia watu wanabadilisha v8 za 500M kila siku.

Maajabu kwerikweri. Wenyeji mtuambie hapa ni bukoba au mkoa gani.

Haijajulikana wanapita shortcut au hakuna njia mbadala kukwepa huo mto wanavyotoka shuleni

View attachment 2628134
Pole Yao,ila shida nyingine ya Watzn unakuta watu wanaanzisha makazi kienyeji huko Vijijini sehemu ambazo hazina Huduma..

Nina hakika ukienda hapo utakuta ni kitongoji kidogo tuu ila wakulima wanekianzisha somewhere mbali na Kijiji mama..

Ni kazi sana kuanza kuwatafuta watu kadhaa Kila mtu na pori lake Kwa Ajili ya Huduma na hii inasababishwa na kutokuwa na Mipango Bora ya matumizi ya Ardhi..

Mwalimu hakuwa mjinga kuwakusanys watu kwenye Vijiji vya ujamaa Ili awahudumie,naongea hivi Kwa sababu mda mwingi nashinda Vijijini na Hali hii naikuta mara nyingi na Mimi nimekuwa nahatarisha maisha yangu kuhangaika Kwa Ajili ya kujaribu kuwafikia watu wa hivi..

Kiufupi hili jambo linaniudhi na Huwa nasema ningekuwa na maamuzi ningefutilia mbali Vijijini na makazi mengi yaliyoanzishwa kienyeji
IMG_20230510_173247_464.jpg
IMG_20230510_173244_423.jpg
 
Back
Top Bottom