Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kila mji kuna mamia ya mabango barabarani yanasifia Samia, hizo fedha si zingejenga daraja hapo?Nchi imejaa mafisadi kina Mwingulu Nchemba, Nape na Makamba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mji kuna mamia ya mabango barabarani yanasifia Samia, hizo fedha si zingejenga daraja hapo?Nchi imejaa mafisadi kina Mwingulu Nchemba, Nape na Makamba.
Waoe zenu wasipozaa watoto wamefanana na hao jamaa minutes bwege nimekaa palee!Nchi imejaa mafisadi kina Mwingulu Nchemba, Nape na Makamba.
Watoto wangekuwa wanabonga kihaya! Hapo si Bukoba.Hii ni Kagera kwa jinsi ilivyo
Inchi inapuuza mambo ya.msingi. inadili na mambo ya kijingakijingaAiseee halaf huku mama anatoa milion 5 kisha 10 na sasa 20 kwa kila goli ambalo simba na yanga wanashinda
Hovyo kabisa lakini ukimtukana raisi kutoka mitaa hiyo lazima wakunyake within a short time Ila kero hawazioniMpaka muda huu kwa post hii ilitakiwa serikali iwe imekwishajibu tuhuma. Lakini wako kimya Ni weekend leo.
Afu unasikia watu wanabadilisha v8 za 500M kila siku.
Maajabu kwerikweri. Wenyeji mtuambie hapa ni bukoba au mkoa gani.
Haijajulikana wanapita shortcut au hakuna njia mbadala kukwepa huo mto wanavyotoka shuleni
View attachment 2628134
Ukimaliza kuangalia haoAfu unasikia watu wanabadilisha v8 za 500M kila siku.
Maajabu kwerikweri. Wenyeji mtuambie hapa ni bukoba au mkoa gani.
Haijajulikana wanapita shortcut au hakuna njia mbadala kukwepa huo mto wanavyotoka shuleni
View attachment 2628134