The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Utashangaa hapo kuna serikali but no body cares.Nchi imejaa mafisadi kina Mwingulu Nchemba, Nape na Makamba.
Mbaya zaidi hawa watoto ni wa Watanzania wenzetu wanaolipa kodi. Hawa ndio wapiga kura wa baadae.Utashangaa hapo kuna serikali but no body cares.
Watu bwana...yaan mkiona migomba tu basi ni Bukoba [emoji23]Afu unasikia watu wanabadilisha v8 za 500M kila siku.
Maajabu kwerikweri. Wenyeji mtuambie hapa ni bukoba au mkoa gani.
Haijajulikana wanapita shortcut au hakuna njia mbadala kukwepa huo mto wanavyotoka shuleni
View attachment 2628134
Daah, halafu. Trillion 2 zimeibiwa kilaini kabisa, huku watoto wanavuka mto kama huu kwa gogo! Mwigulu angekubali mtoto wake apande hilo gogo??!!!Afu unasikia watu wanabadilisha v8 za 500M kila siku.
Maajabu kwerikweri. Wenyeji mtuambie hapa ni bukoba au mkoa gani.
Haijajulikana wanapita shortcut au hakuna njia mbadala kukwepa huo mto wanavyotoka shuleni
View attachment 2628134
Hii ni Kagera kwa jinsi ilivyoAfu unasikia watu wanabadilisha v8 za 500M kila siku.
Maajabu kwerikweri. Wenyeji mtuambie hapa ni bukoba au mkoa gani.
Haijajulikana wanapita shortcut au hakuna njia mbadala kukwepa huo mto wanavyotoka shuleni
View attachment 2628134
Kagera ya wap mkuu...minazi, aina ya migomba, mto nk...sio kagera wala kanda ya ziwa hiiHii ni Kagera kwa jinsi ilivyo
Pole Yao,ila shida nyingine ya Watzn unakuta watu wanaanzisha makazi kienyeji huko Vijijini sehemu ambazo hazina Huduma..Afu unasikia watu wanabadilisha v8 za 500M kila siku.
Maajabu kwerikweri. Wenyeji mtuambie hapa ni bukoba au mkoa gani.
Haijajulikana wanapita shortcut au hakuna njia mbadala kukwepa huo mto wanavyotoka shuleni
View attachment 2628134
Kuna muamala nilitumia Leo Yale makato na tozo roho iliniuma sanaa πππ€π€πππDaah, halafu. Trillion 2 zimeibiwa kilaini kabisa, huku watoto wanavuka mto kama huu kwa gogo! Mwigulu angekubali mtoto wake apande hilo gogo??!!!