Angalia hawa watoto wanavyo hatarisha maisha yao

Mpaka muda huu kwa post hii ilitakiwa serikali iwe imekwishajibu tuhuma. Lakini wako kimya Ni weekend leo.
 
Mpaka muda huu kwa post hii ilitakiwa serikali iwe imekwishajibu tuhuma. Lakini wako kimya Ni weekend leo.
Hovyo kabisa lakini ukimtukana raisi kutoka mitaa hiyo lazima wakunyake within a short time Ila kero hawazioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…