ZEE LA UONGO
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,314
- 3,944
Nimeona tupate uzoefu kidogo wa maisha ya ndoa ambao na mie nimeupitia..
1. Historia ya ndoa kwao, anzia ngazi ya wazazi je wapo kwenye ndoa au wameachana, je ? kuna ndoa za mitara kwao , pia hali ya ndoa kwenye familia nzima ikoje ( kama hali ya afya ya ndoa mbovu kuanzia wazazi, na nduguze jipange kisawa sawa )
2. Angalia hali ya kiroho, kama ni watu wa mizimu, matambiko , mauganga na uchawi ( jiandae kisaikolojia mapema ).
3. kama unae muoa ni mtoto wa kwanza na hali ya kiuchumi mbaya kwao ( jipange tena vizuri sana ) - ingawa wapo wenye hali hiyo ila kinacho okoa unakuta akili na hekima ipo, ila kama hii condition ipo na za juu zipo ( jiandae kisaikolojia )
4. Usio mtu ulie mtia kwa bahati mbaya, au alijilengesha, usema unamuoa kuua soo ( ni swala la mda tu )..
Hizi condition ukazikuta zote mahala unapotaka kuoa (hiiiii baghosha kata kushoto ), ila ukakuta moja hivi unaweza deal nayo..
Ndoa ni tamu sana, ndoa kuto kufanya vizuri kwa mtu A haimaanishi haitofanya kwa mtu B. Nilipigwa na kitu kizito kwenye ndoa, mwanamke nilie muoa kwao hizo 4P zote zilikuwepo kwao.. Nashukuru mzima, mwezi wa 11 naoa tena.. kinatoka kitu kinaingia kitu hakuna kupoa