Angalia historia ya mahala umapotaka kuunganisha familia (kuoa)

Angalia historia ya mahala umapotaka kuunganisha familia (kuoa)

Unatengeneza negativity bias,

Unaona vibaya tu kwasababu umeikaririsha kuona vibaya

Kwao wanatambika, ila ana nidhamu ya pesa, wewe unamkwepa...

Kwao wote ni maskini, ila anaonesha upambanaji, wewe unamkwepa...

Halafu kuna matatizo mengine yanarekebishika, ama yanapuuzika

Kwa style hii hata binti wa bakhresa utachomoa
 
chukua hizo 4P ukiziona kwenye familia zina fanya kazi (jiandae kisaikolojia ). zikiwa active vizuri sana
 
Dah, somo zuri hili umenigusa Mimi kabisa Kwa Mwanamke niliyemuoa...Picha linaanza muda mfupi kabla sijamchumbia pale kijijini kwao baba yake mdogo kauliwa Kwa ujambazi palepale kwao Binti, nikapeleleza vizuri nikagundua hata baba yake alikuwa jambazi zamani. Nikagundua pia baba yake mdogo mwingine wa dar alikuwa jambazi pia,, Nikajipa moyo kwamba Mimi naoa Binti yeye kama yeye..Baada ya kuoa Sasa , yule Binti alinionesha tabia chafu sana na nikagundua machafu zaidi ya hayo kwenye huo ukoo, kifupi ni ukoo uliolaaniwa .. be careful kabla ya kuoa
 
Dah, somo zuri hili umenigusa Mimi kabisa Kwa Mwanamke niliyemuoa...Picha linaanza muda mfupi kabla sijamchumbia pale kijijini kwao baba yake mdogou kauliwa Kwa ujambazi palepale kwao Binti, nikapeleleza vizuri nikagundua hata baba yake alikuwa jambazi zamani. Nikagundua pia baba yake mdogo mwingine wa dar alikuwa jambazi pia,, Nikajipa moyo kwamba Mimi naoa Binti yeye kama yeye..Baada ya kuoa Sasa , yule Binti alinionesha tabia chafu sana na nikagundua machafu zaidi ya hayo kwenye huo ukoo, kifupi ni ukoo uliolaaniwa .. be careful kabla ya kuoa

Ni muhimu sana kuchimbua historia ya mahala ambapo unataka unganisha familia. Ndio maana babu zetu zamani walikuwa wanachunguza koo unayo enda kuoa kwa kina sana kabla ya kuoa.. sie tunakutana kimjini mjini.. ndio maana hata ndoa zimekuwa na visanga sana
 
4. Usio mtu ulie mtia kwa bahati mbaya, au alijilengesha, usema unamuoa kuua soo ( ni swala la mda tu )..
Naunga mkono hoja zote ila kuna watu hili linawatesa sana kutokana na hadhi ya familia wanazotoka inawalazimu kuoa tu. Kwangu naona ni kosa kubwa mno hasa kwa wale wanaotoka familia zilizoshiba kiimani/kikanisa. Unaoa kwa sababu ya kuiepushia familia aibu.

NB: Unapooa/olewa huendi kuishi na familia uliyoiepushia aibu, unaenda kuishi na mwenzako ambae yawezekana kabisa hakuna upendo kati yenu.

Nimekumbuka, mwanaume usioe kwa kushinikizwa sana na mwanamke, muogope sana mwanamke anaeharakisha ndoa.
 
Dah, somo zuri hili umenigusa Mimi kabisa Kwa Mwanamke niliyemuoa...Picha linaanza muda mfupi kabla sijamchumbia pale kijijini kwao baba yake mdogo kauliwa Kwa ujambazi palepale kwao Binti, nikapeleleza vizuri nikagundua hata baba yake alikuwa jambazi zamani. Nikagundua pia baba yake mdogo mwingine wa dar alikuwa jambazi pia,, Nikajipa moyo kwamba Mimi naoa Binti yeye kama yeye..Baada ya kuoa Sasa , yule Binti alinionesha tabia chafu sana na nikagundua machafu zaidi ya hayo kwenye huo ukoo, kifupi ni ukoo uliolaaniwa .. be careful kabla ya kuoa
Pole sana mkuu, vipi hamjajaaliwa watoto? Kama mnao hawajarithi baadhi ya tabia kutoka huko?
 
Back
Top Bottom