Angalia hujuma SGR, Umma umepiga kelele lakini bure. Nani yuko nyuma ya hiki? CARTEL, STATE CAPTURE RUNNING SGR

Angalia hujuma SGR, Umma umepiga kelele lakini bure. Nani yuko nyuma ya hiki? CARTEL, STATE CAPTURE RUNNING SGR

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!

Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!

Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo



Soma hii maana nilitaka identify ya mtu isiwepo. Ngoja niiweke

Ameandika Askofu Bagonza

NIMEWASIKIA TRC KUHUSU SGR

1. Napenda kuushukuru uongozi wa shirika la Reli kwa kutoa ufafanuzi juu ya “swali” langu la 7/10/2026 ikiwa SGR inahujumiwa au shida ya mtandao? Mmefafanua kwa uungwana nami nawapongeza.

2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.

3. Kama seats zilikuwa zimeuzwa na abiria hawakutokea, basi shirika linatengeneza faida kwa kutosafirisha watu! Nina picha zaidi ya nilizoonyesha, kwamba seats nyingi hazikuwa na watu mpaka Dodoma.

4. Nilihojiana na wafanyakazi wawili (msiwatafute kwenye CCTV CAMERA) na walikuwa na ujasiri kuniambia kwamba, “seats zote za madaraja ya chini zinafungwa mtandaoni ili abiria waende na mabasi”. Tuhuma hii isipuuzwe.

5. Ni kweli nilisafiri na treni ya mwendokasi isiyo na daraja la Economy, lakini business class ndiyo economy kwa Royal class. Nilizunguka mabehewa yote na kukuta wafanya usafi wanatunza vifaa vyao vyooni na kusababisha kero kwa watumiaji.

Napenda kwa moyo wote kuishauri TRC kuchukulia kwa uzito maoni na ukosoaji wowote bila kinyongo ili kuliepusha shirika na kuporomoka mapema. Mimi sikuhukumu, niliuliza swali.

 

Attachments

  • IMG-20261011-WA0005.jpg
    IMG-20261011-WA0005.jpg
    87.7 KB · Views: 18
Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!

Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!

Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
Hii nchi ngumu sana aisee.

Leo nimekosa nafasi, imebidi nimsalimie shabiby. Kumbe sgr liko empty Dah
 
Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!

Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!

Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
Kama kuna siku menejiment ya sgr imewahi kulisemea hili suala niambieni. La sivyo basi hili litakua lipo juu ya uwezo wao. Kuna siku nimesafiri behewa hata nusu tulikua hayujafika. Halafu kesho yake wenzetu wakaja na gari nawauliza vipi treni wanasema walikosa siti 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
 
Ni kweli hii chamgamoto nimeuliza unakosa majibu, ukiingia mtandaoni treni unazikuta zinasoma FULL no seat,
Ukienda dirishani ukaongea na kubembeleza unaweza kupata seat, ila ukiingia ndani unakuwa EMPTY Seat kibao, hasa behewa za Business na Royal.

Wale Mlio wapa udhini ya kuhold tiketi niwaombe muwapokonye hiyo idhin, wanaitumia
1. Kuhujumu huduma
2. Wanatengeneza mianya ya rushwa ili ukose tiketi uwatafute
3. In a long run Wanakatisha wateja tamaa, wateja wengi utasikia nenda ukate Bus Treni kuda wote zimejaa.
 
Wacha hata yasitembee kabisa..ikiwezekana watoe na reli hiyo...upuuzi huo kuzungumzia mambo yaliyo wazi kabisaa.Ni ukichaa kwa wote na si sifa..huo ndio ukisikia UMASKINI na sifa zake.
Huku Afirca watu wanapata hela kimagumashi magumashi na ndio maana unaona wanaona rahaa kuua huduma muhimu kama hizo ambazo zinasaidia watu wengi wenye kuhitaji.
 
Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!

Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!

Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
Km ni kwl wataiua km Air Tanzania. Waafrika ni afadhali ya nyani na tutakuja kutawaliwa kwa mara nyingine. We Rais wa nchi ni mwanamke km Samia unategemea nini? Abood kaleta mabasi zaidi ya 100 na hapo hapo treni ya sh 13,500 Dar-Moro ikaondolewa. Ndiyo maana nasemaga hiyo SGR haikuwa na maana wangejenga njia 4 barabara zote kuu. Samia kamuweka mpemba Makame Mbarawa wizara ya Uchukuzi kuchota matrilionj kupitia hiyo SGR. Samia ni mwanamke jizi hii Afrika, anajenga Zanzibar kupitia hiyo SGR na miradi mingine mikubwa.
 
Back
Top Bottom