Angalia hujuma SGR, Umma umepiga kelele lakini bure. Nani yuko nyuma ya hiki? CARTEL, STATE CAPTURE RUNNING SGR

Angalia hujuma SGR, Umma umepiga kelele lakini bure. Nani yuko nyuma ya hiki? CARTEL, STATE CAPTURE RUNNING SGR

Kama watu wenyewe ndo Hawa nyuma fake I'd Huku Jf

hawana ujasiri wa kufika ofisi husika kuhoji physical unategemea Nini ?

Konda tu wa bus anaweza kuwakoromea watanganyika 60 ni kuwanyanganya haki Yao na wasichukue hatua yoyote ya kutafuta haki hiyo.

Kama huwezi kulipia tiketi ya economy panda Bus huko tren wapande wenye uwezo nayo

Mnataka matajiri wauze mabus Yao wasifaidi nauli za maskini

Mpaka watakapojitumbua simple
 
SGR inaharibika km mwendo kasi wanataka tuanze kukatia tiketi mlango
 
Wiki iliyopita nilijipanga kusafiri kwa SGR tar 8 saa 3 asubuhi Jumanosi na tar 10 saa 3 asubuhi jumamosi. Niliingia kwenye mfumo 01/10 nikakosa siti. Na hadi sasa sitarajii tena kupanda hii tren kutokana na usumbufu uliopo.
 
Hata mafuta yalitakiwa kusafiri kwa treni. Sasa vigogo-uchwara ndiyo wamiliki wa mabasi na magari ya kusafirisha mafuta.
 
Back
Top Bottom