Angalia hujuma SGR, Umma umepiga kelele lakini bure. Nani yuko nyuma ya hiki? CARTEL, STATE CAPTURE RUNNING SGR

Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!

Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!

Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo

Soma hii maana nilitaka identify ya mtu isiwepo. Ngoja niiweke

Ameandika Askofu Bagonza

NIMEWASIKIA TRC KUHUSU SGR

1. Napenda kuushukuru uongozi wa shirika la Reli kwa kutoa ufafanuzi juu ya “swali” langu la 7/10/2026 ikiwa SGR inahujumiwa au shida ya mtandao? Mmefafanua kwa uungwana nami nawapongeza.

2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.

3. Kama seats zilikuwa zimeuzwa na abiria hawakutokea, basi shirika linatengeneza faida kwa kutosafirisha watu! Nina picha zaidi ya nilizoonyesha, kwamba seats nyingi hazikuwa na watu mpaka Dodoma.

4. Nilihojiana na wafanyakazi wawili (msiwatafute kwenye CCTV CAMERA) na walikuwa na ujasiri kuniambia kwamba, “seats zote za madaraja ya chini zinafungwa mtandaoni ili abiria waende na mabasi”. Tuhuma hii isipuuzwe.

5. Ni kweli nilisafiri na treni ya mwendokasi isiyo na daraja la Economy, lakini business class ndiyo economy kwa Royal class. Nilizunguka mabehewa yote na kukuta wafanya usafi wanatunza vifaa vyao vyooni na kusababisha kero kwa watumiaji.

Napenda kwa moyo wote kuishauri TRC kuchukulia kwa uzito maoni na ukosoaji wowote bila kinyongo ili kuliepusha shirika na kuporomoka mapema. Mimi sikuhukumu, niliuliza swali.

Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 3
Hizi ni habari za kukariri. Achana nazo kabisa. Hii ni dunia tofauti na hiyo uliyokaririshwa takataka hizo.
TRC kuendesha shirika kwa faida nako kuwe nongwa? Hii akili inatoka wapi?
Utaniwia radhi mkuu 'TrueVoter' kwa haya ninayopishana nawe hapa leo; kwa sababu nakujuwa siku zote siyo mtu anayekurupuka.
Serikali haifanyi biashara. ,mradi gan serikali iliwah kufanya ikafanikiwa kwa asilimia hata 90?
Angalia lipoti ya CAG
•
• TRC (Reli) – Inaongoza kwa hasara ya zaidi ya Shilingi bilioni 224.
• ATCL (Ndege) – Inafuatia kwa hasara kubwa (zaidi ya Shilingi bilioni 191 kwa mwaka ).
• TTCL (Mawasiliano) na Shirika la Posta (TPC) – Yote yanasajili hasara za makumi ya mabilioni.
• Mengine kwenye Hasara: Mkulazi Holding (Sukari), Kampuni ya Ngozi Kilimanjaro, na TSN (Magazeti ya Serikali).
 
Serikali ya ccm ipo mifukoni mwa wafanyabiashara wahuni.
Kuanzia sakata la bei za mafuta, nauli za ndege, BRT hadi SGR!
Kote huko kuna namna inafanyika waliowekeza kupitia mbeleko ya ccm wanufaike!
Hivi inakuwaje na kwa kikokotoo kipi bei ya mafuta inabadilika kila tarehe 7 ya mwezi? Je, hao wafanyabiashara ya mafuta hadi wa kule Kaziramba wao kila mwezi wanaingiza stock mpya kwa bei tofauti tofauti?
 
Hizi ni habari za kukariri. Achana nazo kabisa. Hii ni dunia tofauti na hiyo uliyokaririshwa takataka hizo.
TRC kuendesha shirika kwa faida nako kuwe nongwa? Hii akili inatoka wapi?
Utaniwia radhi mkuu 'TrueVoter' kwa haya ninayopishana nawe hapa leo; kwa sababu nakujuwa siku zote siyo mtu anayekurupuka.
..serikali hii ya tanzania haiwez kufanya biashara, why..1. aina ya watu waliomo ndani ya serikali, 2. sheria zetu za kazi ni mbovu 3. style za maisha ya watz wengi ni anasa na hivyo kazini ni kutafuta mianya ya kuiba ili ku-finance anasa 4. watz hawawezi kujisimamia wanataka kusimamiwa kazi na mnyapala..serikali haina wanyampala..
 
Mara Afande Sele alalamike na kweli njia imebadilishwa ,haya kwenye mtandao nako viti vimejaa kumbe ukienda pembeni unapata siti, hii maanake ni hujuma, halafu muda si mrefu tutaambiwa SGR inaendeshwa kwa hasara kwani hakuna abiria.

Kwa watu makini japo najua wanafanya makusudi ilikuwa rahisi tu kujua kuna nini kuhusu hizo tuhuma, linganisha pesa iliyokatiwa tiketi na nafasi ambazo zinadaiwa zimejaa na zile zilizo tupu, yaani huo mfumo wa SGR wa ukataji tiketi umezidiwa na hata mfumo wa mabasi?

Hii sababu ya kusema wengi hawaja check in ni uongo, hawa wanafanya kama siku za ujima wakati wa kukata tiketi za ATC enzi hizo wakati tiketi walikuwa wapiga dili kweli kweli ulikuwa hupati tiketi za nje bila kuzunguka mbuyu na huku ndiko inakoenda SGR, pole sana Fred Mwajala kwa kutetea uongo.
 
..serikali hii ya tanzania haiwez kufanya biashara, why..1. aina ya watu waliomo ndani ya serikali, 2. sheria zetu za kazi ni mbovu 3. style za maisha ya watz wengi ni anasa na hivyo kazini ni kutafuta mianya ya kuiba ili ku-finance anasa 4. watz hawawezi kujisimamia wanataka kusimamiwa kazi na mnyapala..serikali haina wanyampala..
Sasa ukisema hivyo kuhusu hayo maneno ya mwanzo kuhusu serikali ya Tanzania, unaeleweka vizuri kabisa, tofauti sana na ile taarifa niliyoijibu hapo juu.

Lakini bado naona unaelekeza lawama kusiko husika kabisa. Hakuna ubaya wowote na waTanzania, kama kuna uongozi imara unaoeleweka kuongoza juhudi zao za kujiletea maendeleo. Hiyo dhana ya kuwadhalilisha waTanzania achana nayo kabisa.
 
Serikali haifanyi biashara. ,mradi gan serikali iliwah kufanya ikafanikiwa kwa asilimia hata 90?
Angalia lipoti ya CAG
•
• TRC (Reli) – Inaongoza kwa hasara ya zaidi ya Shilingi bilioni 224.
• ATCL (Ndege) – Inafuatia kwa hasara kubwa (zaidi ya Shilingi bilioni 191 kwa mwaka ).
• TTCL (Mawasiliano) na Shirika la Posta (TPC) – Yote yanasajili hasara za makumi ya mabilioni.
• Mengine kwenye Hasara: Mkulazi Holding (Sukari), Kampuni ya Ngozi Kilimanjaro, na TSN (Magazeti ya Serikali).
Mbona imefanya mradi wa "kutufuga" waTanzania wote kama mifugo yake, ukiwemo na wewe na huyu mkuu 'TrueVoter' ambaye namheshimu sana kwa uelewa wake wa mambo mengi tu, ila anashindwa kuelewa jambo dogo kama hili hapa, na kuamua kutoa taarifa za kijumlajumla tu kama zile zilizotumika miaka ya vita baridi duniani.

Hiyo serikali uliyoihusha na hiyo miradi hapo juu ndicho kiwe kigezo cha kutumia kama kipimo cha serikali zote duniani?
Mashirika ya umma China hujawahi kuyasikia?
 
Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!

Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!

Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo

Soma hii maana nilitaka identify ya mtu isiwepo. Ngoja niiweke

Ameandika Askofu Bagonza

NIMEWASIKIA TRC KUHUSU SGR

1. Napenda kuushukuru uongozi wa shirika la Reli kwa kutoa ufafanuzi juu ya “swali” langu la 7/10/2026 ikiwa SGR inahujumiwa au shida ya mtandao? Mmefafanua kwa uungwana nami nawapongeza.

2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.

3. Kama seats zilikuwa zimeuzwa na abiria hawakutokea, basi shirika linatengeneza faida kwa kutosafirisha watu! Nina picha zaidi ya nilizoonyesha, kwamba seats nyingi hazikuwa na watu mpaka Dodoma.

4. Nilihojiana na wafanyakazi wawili (msiwatafute kwenye CCTV CAMERA) na walikuwa na ujasiri kuniambia kwamba, “seats zote za madaraja ya chini zinafungwa mtandaoni ili abiria waende na mabasi”. Tuhuma hii isipuuzwe.

5. Ni kweli nilisafiri na treni ya mwendokasi isiyo na daraja la Economy, lakini business class ndiyo economy kwa Royal class. Nilizunguka mabehewa yote na kukuta wafanya usafi wanatunza vifaa vyao vyooni na kusababisha kero kwa watumiaji.

Napenda kwa moyo wote kuishauri TRC kuchukulia kwa uzito maoni na ukosoaji wowote bila kinyongo ili kuliepusha shirika na kuporomoka mapema. Mimi sikuhukumu, niliuliza swali.

Kampuni yetu ya mabasi tutapata wapi abiria.

SGR ya nini.
 
Serikali haifanyi biashara. ,mradi gan serikali iliwah kufanya ikafanikiwa kwa asilimia hata 90?
Angalia lipoti ya CAG
•
• TRC (Reli) – Inaongoza kwa hasara ya zaidi ya Shilingi bilioni 224.
• ATCL (Ndege) – Inafuatia kwa hasara kubwa (zaidi ya Shilingi bilioni 191 kwa mwaka ).
• TTCL (Mawasiliano) na Shirika la Posta (TPC) – Yote yanasajili hasara za makumi ya mabilioni.
• Mengine kwenye Hasara: Mkulazi Holding (Sukari), Kampuni ya Ngozi Kilimanjaro, na TSN (Magazeti ya Serikali).

hivyo ni visingizio tu vya incompetence, makampuni karibia yote makubwa ya china ni state owned, kwanza kuanzia byd, catl mpaka yutong zote kuna mkono ya serikali kwa namn moja au nyingine, kampuni kubwa vietnam zote state state owned, kwanza kampuni kubwa za france nyingi state owned.

karibia dunia nzima treni zinaedeshwa na serikali ...
 
Imagine hata mm nilikosa nafasi na siku nakuja siti ilibaki moja nikakata iyoiyo, ila kufika ndani ya treni siti kibao zilikua empty nikajiuliza hii inakuwaje ni kwamba watu wanaahirisha safari ama ni nini??
 
nina swali je, kuna tofauti kati ya kufanya booking na kununua tiketi? ninachomaanisha ni je ukifanya booking ni lazima uinunue tiketi au kuna adhabu yoyote kama fine labda kama ukifanya booking halafu usisafiri?

nauliza hivyo kwa maana inawezekana pia labda watu wakafanya booking halafu wasisafiri? najaribu tu ku-brainstorm kuelewa jinsi mfumo wao unavyofanya kazi ...
Ukifanya booking unapewa muda maalumu wa kulipia there after ine expire
 
Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!

Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!

Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo

Soma hii maana nilitaka identify ya mtu isiwepo. Ngoja niiweke

Ameandika Askofu Bagonza

NIMEWASIKIA TRC KUHUSU SGR

1. Napenda kuushukuru uongozi wa shirika la Reli kwa kutoa ufafanuzi juu ya “swali” langu la 7/10/2026 ikiwa SGR inahujumiwa au shida ya mtandao? Mmefafanua kwa uungwana nami nawapongeza.

2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.

3. Kama seats zilikuwa zimeuzwa na abiria hawakutokea, basi shirika linatengeneza faida kwa kutosafirisha watu! Nina picha zaidi ya nilizoonyesha, kwamba seats nyingi hazikuwa na watu mpaka Dodoma.

4. Nilihojiana na wafanyakazi wawili (msiwatafute kwenye CCTV CAMERA) na walikuwa na ujasiri kuniambia kwamba, “seats zote za madaraja ya chini zinafungwa mtandaoni ili abiria waende na mabasi”. Tuhuma hii isipuuzwe.

5. Ni kweli nilisafiri na treni ya mwendokasi isiyo na daraja la Economy, lakini business class ndiyo economy kwa Royal class. Nilizunguka mabehewa yote na kukuta wafanya usafi wanatunza vifaa vyao vyooni na kusababisha kero kwa watumiaji.

Napenda kwa moyo wote kuishauri TRC kuchukulia kwa uzito maoni na ukosoaji wowote bila kinyongo ili kuliepusha shirika na kuporomoka mapema. Mimi sikuhukumu, niliuliza swali.

Cc Dkt. Gwajima D
 
hayo pia yapo air Tanzania. nenda kata tiketi ya china leo utaambiwa imejaa. siku ya safari.hata nusu ya abiria haina. basi ndio hivyo tena .
 
nina swali je, kuna tofauti kati ya kufanya booking na kununua tiketi? ninachomaanisha ni je ukifanya booking ni lazima uinunue tiketi au kuna adhabu yoyote kama fine labda kama ukifanya booking halafu usisafiri?

nauliza hivyo kwa maana inawezekana pia labda watu wakafanya booking halafu wasisafiri? najaribu tu ku-brainstorm kuelewa jinsi mfumo wao unavyofanya kazi ...
Sidhani kama kuna kufanya booking. Either you buy a ticket or you do not! hapa ngoja waje wazoefu
 
Kitendo Cha abood kuingiza mabasi zaidi ya 99 hakufanya bahati mbaya anajua mchezo wanaofanya, unaposema china inafanya tunakosea, china ni china, tuzunzungumzie Tanzania ,

Kwa Tanzania wafanyabiashara wakubwa wa mabasi Wana conection kubwa serikalini,,

Ukweli ni kwamba serikali ya Tanzania haiwezi kufanya biashara huo ndo ukweli wenyewe
 
Yaani hako kamfumo ka hujuma nadhani kamesetiwa mtu asiweze kukata tiketi siku ya safari na kesho yake. Na katika namna hiyo mtu hawezi kusubiri siku kama ni dharula atapanda basi tu.

Ni wazi siti nyingi huwa tupu wakati wa safari. Na hapo kuna mtu labda umemuacha kwa kukosa tiketi baada ya kuchelewa kukata tiketi siku 2 kabla.
 
Back
Top Bottom