Angalia hujuma SGR, Umma umepiga kelele lakini bure. Nani yuko nyuma ya hiki? CARTEL, STATE CAPTURE RUNNING SGR

unamaanisha nini hapa?
..by its nature, the gov is inherently inefficient, nini kupoteza resources kwa kitu kinafahamika..tangaza tenda kwa kazi zote za huduma..usafi, mapokezi, ulinzi, kukata tiketi, mgahawa, ukaguzi nk wao TRC/serikali wabaki na jukumu la kulinda miundombinu tu na treni yenyewe..!
 
lakini kwenye computer science wanasema jambo kuu linalofanywa huko ni problem solving,

sasa wazo hilo japo wewe unaona ni lakijinga mtu anaweza litumia kuhujumu, treni lionekane limejaa watu watafute mabasi, hivyo wenye mifumo lazima wawe na uwezo wa kupredict attacks na kuweza mbinu za kuzizuia.

unakumbuka sakata la mtu anakata tiketi anaishia tuseme RUVU (nauli ndogo) ila anajikausha hadi MOROGORO au DODOMA.?
..ni nadra sana kutokea kwa namna hii..wao TRC hawana uwezo ku-deal na case za aina hii, wanaweza hata wao ndio mastermind wa haya maluwe luwe yanatokea..si wanalipwa, nobody cares!
 
  • Thanks
Reactions: Lax
..by its nature, the gov is inherently inefficient, nini kupoteza resources kwa kitu kinafahamika..tangaza tenda kwa kazi zote za huduma..usafi, mapokezi, ulinzi, kukata tiketi, mgahawa, ukaguzi nk wao TRC/serikali wabaki na jukumu la kulinda miundombinu tu na treni yenyewe..!
jambo hilo linaleta mgogoro , wanatoka wanaharakati na upinzania wanasema "sasa hivi wameuza na treni". Pia ni muendelezo wa incompetence, suka sheria za kueleweka suka kanuni za kazi za kueleweka weka open feedback sysytem kila mtu achape kazi mfumo utachapa kazi tu kama wateja wapo.

..ni nadra sana kutokea kwa namna hii..wao TRC hawana uwezo ku-deal na case za aina hii, wanaweza hata wao ndio mastermind wa haya maluwe luwe yanatokea..si wanalipwa, nobody cares!
mambo ya ni "nadra" ni muendelezo wa kuendesha taasisi kwa kutumia "busara" ni kitu ambacho mimi sio muumini hata kidogo.

kwa msaada wa AI --- nimetumia AI kwakua mimi sijabobea kwenye hiyo sekta

#####
Yes — that’s a classic loophole in reservation systems. If the timer resets every time someone re‑books, then a determined user (or bot) could keep cycling through the “hold” process all day, effectively blocking seats without ever paying. That’s a form of resource hoarding sabotage.

⚠️ How it could be misused

  • A bot script could auto‑reserve, wait until the timer expires, then instantly re‑reserve again.
  • A malicious competitor could block seats to prevent genuine customers from buying.
  • Even a single user could monopolize popular seats by repeatedly refreshing their hold.
🛡️ Ways to Secure Against This

  • Limit consecutive holds per account/IP: e.g., max 3 reservations per hour without payment.
  • Require partial commitment: a small deposit or verified payment method before holding.
  • Cooldown period: after a failed payment or expired hold, enforce a wait time before re‑booking.
  • Behavior monitoring: flag accounts that repeatedly reserve without paying.
  • Bot detection: CAPTCHAs, rate limiting, and anomaly detection to stop automated abuse.
  • Queue system: instead of instant re‑booking, place users in a waiting line if they’ve already failed multiple times.
🎯 Design PrincipleThe timer should protect genuine buyers who need a few minutes to pay, but it shouldn’t be exploitable as a way to “lock out” others. Balancing fairness and security means adding friction for abusers while keeping it smooth for real customers.

If you’d like, I can sketch a risk matrix showing this “timer reset abuse” alongside other sabotage types, with recommended defenses for each — that way you’d see the bigger picture of vulnerabilities and countermeasures. Would you like me to lay that out?
#####

Naam na inawezekana pia kua hata mambo haya hayafanyiki ila ni wao wamepewa rupia na wanaamua kuhujumu wao moja kwa moja kwa kua mshahara utaingia tu.

ngoja nijipe kazi kwa msaada wa AI kuangalia naweza pata dondoo gani
 
nina swali je, kuna tofauti kati ya kufanya booking na kununua tiketi? ninachomaanisha ni je ukifanya booking ni lazima uinunue tiketi au kuna adhabu yoyote kama fine labda kama ikifanya booking halafu usisafiri?

nauliza hivyo kwa maana inawezekana pia labda watu wakafanya booking halafu wasisafiri? najaribu tu ku-brainstorm kuelewa jinsi mfumo wao unavyofanya kazi ...
Mimi niliwahi kufanya booking SGR na sikusafiri sababu nilichelewa kidogo.

Na ni kawaida sana Kukuta SGR no sit available kwenye mfumo hata kwa siku 3 kabla ya safari , ndio maana watu wanaBook mapema . Ikiwa u asafiri Leo na ukafanya booking siku hiyo hiyo au Jana yake ni ngumu kupata ticket.

Watu wengi wanaBook wiki au siku 4 kabla ya safari , hizo ni siku nyingi mtu anaweza kupata dharura hapo inakuwa hela imeenda ni ngumu kurudishiwa kwa hiyo seat yako itainekana Ina mtu halafu ndani hakuna Iko empty
 
Bila ushahidi usio na shaka hizi zitabaki ni tuhuma tu...weka picha tuone kuwa behewa lilitoka Dodoma hadi Dar likiwa tu
Ameandika Askofu Bagonza

NIMEWASIKIA TRC KUHUSU SGR

1. Napenda kuushukuru uongozi wa shirika la Reli kwa kutoa ufafanuzi juu ya “swali” langu la 7/10/2026 ikiwa SGR inahujumiwa au shida ya mtandao? Mmefafanua kwa uungwana nami nawapongeza.

2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.

3. Kama seats zilikuwa zimeuzwa na abiria hawakutokea, basi shirika linatengeneza faida kwa kutosafirisha watu! Nina picha zaidi ya nilizoonyesha, kwamba seats nyingi hazikuwa na watu mpaka Dodoma.

4. Nilihojiana na wafanyakazi wawili (msiwatafute kwenye CCTV CAMERA) na walikuwa na ujasiri kuniambia kwamba, “seats zote za madaraja ya chini zinafungwa mtandaoni ili abiria waende na mabasi”. Tuhuma hii isipuuzwe.

5. Ni kweli nilisafiri na treni ya mwendokasi isiyo na daraja la Economy, lakini business class ndiyo economy kwa Royal class. Nilizunguka mabehewa yote na kukuta wafanya usafi wanatunza vifaa vyao vyooni na kusababisha kero kwa watumiaji.

Napenda kwa moyo wote kuishauri TRC kuchukulia kwa uzito maoni na ukosoaji wowote bila kinyongo ili kuliepusha shirika na kuporomoka mapema. Mimi sikuhukumu, niliuliza swali.

jambo hilo linaleta mgogoro , wanatoka wanaharakati na upinzania wanasema "sasa hivi wameuza na treni". Pia ni muendelezo wa incompetence, suka sheria za kueleweka suka kanuni za kazi za kueleweka weka open feedback sysytem kila mtu achape kazi mfumo utachapa kazi tu kama wateja wapo.

mambo ya ni "nadra" ni muendelezo wa kuendesha taasisi kwa kutumia "busara" ni kitu ambacho mimi sio muumini hata kidogo.

kwa msaada wa AI --- nimetumia AI kwakua mimi sijabobea kwenye hiyo sekta

#####
Yes — that’s a classic loophole in reservation systems. If the timer resets every time someone re‑books, then a determined user (or bot) could keep cycling through the “hold” process all day, effectively blocking seats without ever paying. That’s a form of resource hoarding sabotage.

⚠️ How it could be misused

  • A bot script could auto‑reserve, wait until the timer expires, then instantly re‑reserve again.
  • A malicious competitor could block seats to prevent genuine customers from buying.
  • Even a single user could monopolize popular seats by repeatedly refreshing their hold.
🛡️ Ways to Secure Against This

  • Limit consecutive holds per account/IP: e.g., max 3 reservations per hour without payment.
  • Require partial commitment: a small deposit or verified payment method before holding.
  • Cooldown period: after a failed payment or expired hold, enforce a wait time before re‑booking.
  • Behavior monitoring: flag accounts that repeatedly reserve without paying.
  • Bot detection: CAPTCHAs, rate limiting, and anomaly detection to stop automated abuse.
  • Queue system: instead of instant re‑booking, place users in a waiting line if they’ve already failed multiple times.
🎯 Design PrincipleThe timer should protect genuine buyers who need a few minutes to pay, but it shouldn’t be exploitable as a way to “lock out” others. Balancing fairness and security means adding friction for abusers while keeping it smooth for real customers.

If you’d like, I can sketch a risk matrix showing this “timer reset abuse” alongside other sabotage types, with recommended defenses for each — that way you’d see the bigger picture of vulnerabilities and countermeasures. Would you like me to lay that out?
#####

Naam na inawezekana pia kua hata mambo haya hayafanyiki ila ni wao wamepewa rupia na wanaamua kuhujumu wao moja kwa moja kwa kua mshahara utaingia tu.

ngoja nijipe kazi kwa msaada wa AI kuangalia naweza pata dondoo gani
Soma hii

Ameandika Askofu Bagonza

NIMEWASIKIA TRC KUHUSU SGR

1. Napenda kuushukuru uongozi wa shirika la Reli kwa kutoa ufafanuzi juu ya “swali” langu la 7/10/2026 ikiwa SGR inahujumiwa au shida ya mtandao? Mmefafanua kwa uungwana nami nawapongeza.

2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.

3. Kama seats zilikuwa zimeuzwa na abiria hawakutokea, basi shirika linatengeneza faida kwa kutosafirisha watu! Nina picha zaidi ya nilizoonyesha, kwamba seats nyingi hazikuwa na watu mpaka Dodoma.

4. Nilihojiana na wafanyakazi wawili (msiwatafute kwenye CCTV CAMERA) na walikuwa na ujasiri kuniambia kwamba, “seats zote za madaraja ya chini zinafungwa mtandaoni ili abiria waende na mabasi”. Tuhuma hii isipuuzwe.

5. Ni kweli nilisafiri na treni ya mwendokasi isiyo na daraja la Economy, lakini business class ndiyo economy kwa Royal class. Nilizunguka mabehewa yote na kukuta wafanya usafi wanatunza vifaa vyao vyooni na kusababisha kero kwa watumiaji.

Napenda kwa moyo wote kuishauri TRC kuchukulia kwa uzito maoni na ukosoaji wowote bila kinyongo ili kuliepusha shirika na kuporomoka mapema. Mimi sikuhukumu, niliuliza swali.

  • Thanks
Reactions: Lax
Tangu jana jioni ticketi hazikatiki mtandaoni. Unagoma kufunguka
 
naam ni kama masaa mawili hivi au hata zaidi website yote ya trc haifanyi kazi, nilikua nataka nipige trial and error kadhaa

Bagonza, to me, is not an authority. hizo alizozitoa ni tuhuma kama tuhuma zingine na binafsi nikizisoma naona zinamapungufu vilevile.

upungufu wa kwanza ni yeye kusema madaraja yote yalikua yamejaa, na muda huo kataja tarehe za october 7 na october 8, ambazo ni jumatano na alhamis , mimi sijawahi kuona yale ma-royal kwenye mfumo yakiwa yamejaa. hivyo hayo maelezo yake mengine kwangu mimi ni kisiasa zaidi, --- hasa hapo anaposema wahudumu wamemwabia mfumo unafungwa ili watu wapande mabasi.

kwenye sakata hili tunataka tathmini na tafiti za kitaalamu, kwa kua wengi tushakubali kwamba mabehewa hua yanakua hayyajai na sababu zipo nyingi hata mtu kuchelewa au kubadilisha mipango yake ya safari , na vilevile hujuma.
 
Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!

Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!

Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo

Tangu jana jioni ticketi hazikatiki mtandaoni. Unagoma kufunguka
hakuna cha kugoma mtandao. Kama una ndugu yako mwenye cheo, just contct him/her, utapata tiketi.

Mbona kwenye mabasi yooooooooooooooote yenye system za online tickts, nchi nzima hakuna mahali mtandao unagoma........... ukigoma ni isolated case one in a thousand. lakini SGR kila mara , kila wakati
 
naam ni kama masaa mawili hivi au hata zaidi website yote ya trc haifanyi kazi, nilikua nataka nipige trial and error kadhaa

Bagonza, to me, is not an authority. hizo alizozitoa ni tuhuma kama tuhuma zingine na binafsi nikizisoma naona zinamapungufu vilevile.

upungufu wa kwanza ni yeye kusema madaraja yote yalikua yamejaa, na muda huo kataja tarehe za october 7 na october 8, ambazo ni jumatano na alhamis , mimi sijawahi kuona yale ma-royal kwenye mfumo yakiwa yamejaa. hivyo hayo maelezo yake mengine kwangu mimi ni kisiasa zaidi, --- hasa hapo anaposema wahudumu wamemwabia mfumo unafungwa ili watu wapande mabasi.

kwenye sakata hili tunataka tathmini na tafiti za kitaalamu, kwa kua wengi tushakubali kwamba mabehewa hua yanakua hayyajai na sababu zipo nyingi hata mtu kuchelewa au kubadilisha mipango yake ya safari , na vilevile hujuma.
are you a lawyer? Unataka ushahidi kwenye authority kwenye issue of this type? This is a matter of evidence! His statement can be corroborated by many witnesses/exhibits
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Safari zangu zoote za treni sijawai ona empty seat kwenye behewa nililipata seat.

Nyie wengine mnafanyaje fanyaje?
 
are you a lawyer? Unataka ushahidi kwenye authority kwenye issue of this type? This is a matter of evidence! His statement can be corroborated by many witnesses/exhibits
wewe unakubali kwa sababu kasema bagonza ambaye ni askofu,

mimi nasema tunahitaji tathmini zilizo makini, wewe lini uliwahi ona kwenye mfumo wa tiketi yale maroyal ya bei juu yamejaa yote? taarfa ya bagonza ina walakini
 
Halafu hizi issue za SGR hazitaki Kucheka na Kima Kabisa haiwezekani mradi wa 6.5 trillions unaletewa huduma hivi na Tupo Tupo, Ivi Security organs hazijui nini kinaendelea?
 
Hili sebene la Bureaucracy ilitakiwa Limkute Ngosha, Aisee hawa Jamaa wanaofanya Sabotage wangesaga Meno
 
Bila ushahidi usio na shaka hizi zitabaki ni tuhuma tu...weka picha tuone kuwa behewa lilitoka Dodoma hadi Dar likiwa tu
Watumiaji wa kila wiki wa sgr tunajua hilo kitambo. Unakata tkt unakuta behewa limebaki seat mbili. Unaingia siku ya kusafiri unakuta seat kibao ziko tupu. Hii ni mara kwa mara iko hivo.
 
Weka ushahidi wa hayo madai hapa,

Kuweka picha ya behewa na taarab pekee kwa wenye akili timamu ni wazimu.

Wagonjwa wa akili mmekuwa wengi mno humu.
Wewe ni ****. Samahani mods
, hapa tunatetetea uchumi wa inchi. Almost tillion 7 zimezikwa hapo kwenye sgr wewe unaleta uchawa. Ukitaka kuthibitisha tunayosema safiri na sgr ujihakikishie tunachosema. Hili taifa ni la kila mtu.
 
Watumiaji wa kila wiki wa sgr tunajua hilo kitambo. Unakata tkt unakuta behewa limebaki seat mbili. Unaingia siku ya kusafiri unakuta seat kibao ziko tupu. Hii ni mara kwa mara iko hivo.
Sijui anachobisha ni nini? Unakuta tiketi hamna online ila nafasi ndani zipo nyingi na hakuna anayepanda njiani.Na sio siku moja.

Hakuna namna kuwa watu wengi kiasi kile wanahairisha safari ghafla na kila mara.
 
Duniani kote treni ya umeme ni moja kati ya usafiri wa bei rahisi kabisa sasa tunaposikia vilio na majizi ya CCM yanayomiliki mabasi yakijipia mapande kwa urefu wa kamba zao lazima kelele ziwepo.
 
Back
Top Bottom