Angalia hujuma SGR, Umma umepiga kelele lakini bure. Nani yuko nyuma ya hiki? CARTEL, STATE CAPTURE RUNNING SGR

Angalia hujuma SGR, Umma umepiga kelele lakini bure. Nani yuko nyuma ya hiki? CARTEL, STATE CAPTURE RUNNING SGR

jambo hilo linaleta mgogoro , wanatoka wanaharakati na upinzania wanasema "sasa hivi wameuza na treni". Pia ni muendelezo wa incompetence, suka sheria za kueleweka suka kanuni za kazi za kueleweka weka open feedback sysytem kila mtu achape kazi mfumo utachapa kazi tu kama wateja wapo.

mambo ya ni "nadra" ni muendelezo wa kuendesha taasisi kwa kutumia "busara" ni kitu ambacho mimi sio muumini hata kidogo.

kwa msaada wa AI --- nimetumia AI kwakua mimi sijabobea kwenye hiyo sekta

#####
Yes — that’s a classic loophole in reservation systems. If the timer resets every time someone re‑books, then a determined user (or bot) could keep cycling through the “hold” process all day, effectively blocking seats without ever paying. That’s a form of resource hoarding sabotage.

⚠️ How it could be misused

  • A bot script could auto‑reserve, wait until the timer expires, then instantly re‑reserve again.
  • A malicious competitor could block seats to prevent genuine customers from buying.
  • Even a single user could monopolize popular seats by repeatedly refreshing their hold.
🛡️ Ways to Secure Against This

  • Limit consecutive holds per account/IP: e.g., max 3 reservations per hour without payment.
  • Require partial commitment: a small deposit or verified payment method before holding.
  • Cooldown period: after a failed payment or expired hold, enforce a wait time before re‑booking.
  • Behavior monitoring: flag accounts that repeatedly reserve without paying.
  • Bot detection: CAPTCHAs, rate limiting, and anomaly detection to stop automated abuse.
  • Queue system: instead of instant re‑booking, place users in a waiting line if they’ve already failed multiple times.
🎯 Design PrincipleThe timer should protect genuine buyers who need a few minutes to pay, but it shouldn’t be exploitable as a way to “lock out” others. Balancing fairness and security means adding friction for abusers while keeping it smooth for real customers.

If you’d like, I can sketch a risk matrix showing this “timer reset abuse” alongside other sabotage types, with recommended defenses for each — that way you’d see the bigger picture of vulnerabilities and countermeasures. Would you like me to lay that out?
#####

Naam na inawezekana pia kua hata mambo haya hayafanyiki ila ni wao wamepewa rupia na wanaamua kuhujumu wao moja kwa moja kwa kua mshahara utaingia tu.

ngoja nijipe kazi kwa msaada wa AI kuangalia naweza pata dondoo gani
..nani atasema wmeuza trc km mambo yote yanafanyika kwa uwazi...? Ku-sub contract huduma sio kuuza shirika..
Usipoteze muda kuuliza AI mambo km haya, kila kitu kiko wazi..weka sheria zote unazojua the way the gov system works kuanzia kuajiri hadi kuustaafu vinawafanya watu kuwa na dull mind..wanaweza kujali zaidi urasimu kuliko huduma na ufanisi..biashara haiko hivyo!
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Huyu ndio mtanzania ninayemfahamu, atakutengenezea miundombinu ya kisasa kabisa, njoo kwenye huduma sasa.

Inasikitisha, unakaa ofisini na mambo yanaenda hivi, are you proud kwamba hujuma zinafanyika chini yako? Unapata nini kama taifa linapoteza pesa na wewe kati ya mamilioni ya watu umepewa nafasi kusimamia hili.

Typical African, typical Tanzanian!
 
..sio watanzania wote, waambie wahusika nafasi zishindaniwe kwa usaili..
 
Wewe ni ****. Samahani mods
, hapa tunatetetea uchumi wa inchi. Almost tillion 7 zimezikwa hapo kwenye sgr wewe unaleta uchawa. Ukitaka kuthibitisha tunayosema safiri na sgr ujihakikishie tunachosema. Hili taifa ni la kila mtu.
Unateteaje uchumi kwa tuhuma zisizo na ushahidi? No facts!

Picha ya behewa tupu inajitosheleza kwa akili yako?

Hii habari ishaletwa hapa na ushahidi wa screenshots,why usifanye kama hao badala ya taarab tupu za "jamaa mmoja".
 
..nani atasema wmeuza trc km mambo yote yanafanyika kwa uwazi...? Ku-sub contract huduma sio kuuza shirika..
Usipoteze muda kuuliza AI mambo km haya, kila kitu kiko wazi..weka sheria zote unazojua the way the gov system works kuanzia kuajiri hadi kuustaafu vinawafanya watu kuwa na dull mind..wanaweza kujali zaidi urasimu kuliko huduma na ufanisi..biashara haiko hivyo!
mkuu AI nimetumia kuverify tu kinichokihisi ni kitu kipo? kinawezekana? na imethibitisha inawezekana.

nimeenda mbali kwa msaada huo wa AI kwa kua sio mtaalamu nimeangalia request response za trsc kwenye mfumo wa ticket miongoni mwa niliyoona ni hayo ya ya kuzuia hujuma endelevu za kuhold siti.

⏱️ Reservation & Timing Controls​

  • ticketAcceptanceTimeStart = 120 → likely means tickets can be accepted starting 120 minutes before departure.
  • ticketAcceptanceTimeEnd = 5 → tickets stop being accepted 5 minutes before departure.
  • cancelReservationTime = 180 → reservations can be canceled up to 180 minutes before departure.
  • seatBlockageTime = 8 → seats are held (blocked) for 8 minutes before being released.
  • reservationLimit = 5 → a single account can only hold 5 reservations at once.
  • seatHoldExtensionLimit = 1 → you can only extend a seat hold once.
👉 These values directly address the abuse scenario you mentioned earlier (someone re‑booking all day). The reservationLimit (5) and seatBlockageTime (8 minutes) are safeguards: they prevent unlimited cycling of holds.

pia nimeona mfumo wao unaonesha kutaka tiketi mtandaoni kumepewa asilimia 80% na 20% zimeachwa kwenye vituo vya station ili wale wanaoenda kutaka kwenye vituo nao wawe wanapata huduma.

🎫 Ticket Sales & Capacity​

  • ticketSaleCapacity = 15 → possibly max tickets per transaction.
  • mainCapacityPercentage = 80 and stationCapacityPercentage = 80 → system only sells up to 80% of capacity online, leaving buffer for station sales.
  • numberOfReservationAndSalesLimit = 1000 → global cap on reservations/sales.
  • numberOfRescheduleTicketLimit = 1000 → cap on reschedules.

data hizi wataalamu wa mifumo wakicheza nazo tunaweza fahamu mambo mengi maana ni taaluma .

kupambana na taasisi za serikali sio kama haiwezekani ila unahitaji kua na ushahidi wa flaws zilizopo, hapo kukabiliana na serikali ni kama kumsukuma mlevi
 
Hii kadhia ipo siku nyingi na inafumbiwa macho na Management makusudi. Miaka miwili iliyopita nilisafiri na mchongoko kutoka Dodoma hadi Dar es salaam. Plan yangu ilikuwa niondoke Dodoma asubuhi kwa treni ya Express. Kuingia mtandaoni nakutana na majibu kuwa /No seats Available/ altenative ikawa nifanye booking ya mchongoko, Royal class 120000Tsh au Business class 80000Tsh kuondoka saa 12 kasoro jioni.
Muda wa kuondoka nilishangaa kuona mengi ya mabehewa yakiwa na viti vitupu na kwenye behewa langu hatukuzidi watu 15..... Bado tunaambiwa SGR inatengeneza faida!!
 
wewe unakubali kwa sababu kasema bagonza ambaye ni askofu,

mimi nasema tunahitaji tathmini zilizo makini, wewe lini uliwahi ona kwenye mfumo wa tiketi yale maroyal ya bei juu yamejaa yote? taarfa ya bagonza ina walakini
bagonza adanganye for what gain? ame hint cctv msije waua watu......unataka nini tena
 
Kutakuwa kuna mchezo machafu wa wahuni
Unapokutana na baadhi ya watu humu humu JF; kama akina Tlaatlaah na wengi wa aina hiyo wasiokosa kutetea uchafu wa aina yoyote kila siku, usifikiri wapo kupoteza muda wao tu.

Wapo kwa sababu ya kupigania maslahi; na wapo wengine wengi wanaojificha wasijitambulishe waziwazi' lakini lengo ni lile lile, kulinda maslahi binafsi ya kila aina, iwe ya mali au imani.
 
bagonza adanganye for what gain? ame hint cctv msije waua watu......unataka nini tena
bandiko lake hilo mimi nalichambua bila kuangalia yeye ni nani, naangalia wordings zilizopo, labda useme nanyumbulisha maneno kuitwist story kulinda watu waliompa hiyo taarifa,

ila yale maroyal wanayaita mchongoko ni nadra kuyaona yamejaa,

2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.

hiyo kauli mimi siwezi kuiamini kisa tu aliyesema ni bagonza
 
Unateteaje uchumi kwa tuhuma zisizo na ushahidi? No facts!

Picha ya behewa tupu inajitosheleza kwa akili yako?

Hii habari ishaletwa hapa na ushahidi wa screenshots,why usifanye kama hao badala ya taarab tupu za "jamaa mmoja".
Aiseee unachobisha ni Nini ,unaambiwa online tiketi mfumo inaonyesha seat zimejaa,ukienda dirisha Kuna rushwa na siti unapata.kibaya zaidi ukipanda behehewa robo 3 halina wat

Wewe umekazana ushahidi .

Behewa linaenda tupu Dom unataka ushahidi ..wa Nini ?

.
 
mkuu AI nimetumia kuverify tu kinichokihisi ni kitu kipo? kinawezekana? na imethibitisha inawezekana.

nimeenda mbali kwa msaada huo wa AI kwa kua sio mtaalamu nimeangalia request response za trsc kwenye mfumo wa ticket miongoni mwa niliyoona ni hayo ya ya kuzuia hujuma endelevu za kuhold siti.

⏱️ Reservation & Timing Controls​

  • ticketAcceptanceTimeStart = 120 → likely means tickets can be accepted starting 120 minutes before departure.
  • ticketAcceptanceTimeEnd = 5 → tickets stop being accepted 5 minutes before departure.
  • cancelReservationTime = 180 → reservations can be canceled up to 180 minutes before departure.
  • seatBlockageTime = 8 → seats are held (blocked) for 8 minutes before being released.
  • reservationLimit = 5 → a single account can only hold 5 reservations at once.
  • seatHoldExtensionLimit = 1 → you can only extend a seat hold once.
👉 These values directly address the abuse scenario you mentioned earlier (someone re‑booking all day). The reservationLimit (5) and seatBlockageTime (8 minutes) are safeguards: they prevent unlimited cycling of holds.

pia nimeona mfumo wao unaonesha kutaka tiketi mtandaoni kumepewa asilimia 80% na 20% zimeachwa kwenye vituo vya station ili wale wanaoenda kutaka kwenye vituo nao wawe wanapata huduma.

🎫 Ticket Sales & Capacity​

  • ticketSaleCapacity = 15 → possibly max tickets per transaction.
  • mainCapacityPercentage = 80 and stationCapacityPercentage = 80 → system only sells up to 80% of capacity online, leaving buffer for station sales.
  • numberOfReservationAndSalesLimit = 1000 → global cap on reservations/sales.
  • numberOfRescheduleTicketLimit = 1000 → cap on reschedules.

data hizi wataalamu wa mifumo wakicheza nazo tunaweza fahamu mambo mengi maana ni taaluma .

kupambana na taasisi za serikali sio kama haiwezekani ila unahitaji kua na ushahidi wa flaws zilizopo, hapo kukabiliana na serikali ni kama kumsukuma mlevi
..haihitaji kufika huko, bottom line, serikali haiwez kufanya biashara.
 
Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
Seriously?

Na hii ndiyo ingekuwa suluhisho la matatizo ya namna hii?

Wadau tunakosa umakini sana tunapoleta na kujadili mada muhimu za aina hii humu jukwaani.

Ni kama mada zinaanzishwa tu ili mradi ionekane zimeletwa jukwaani, na zipate tu wachangiaji wasiohitaji kuchangia maoni yanayolingana na uzito wa mada husika.

Askofu kaainisha vizuri sana aliyoyashuhudia mwenyewe, na natamani pia angeweka na majibu aliyopewa huko alikofilkisha matatizo aliyoyaona mwenyewe. Au hata huo uongozi wa TRC wangejitokeza hapa na kueleza waliyonayo upande wao.

Nakumbuka hii siyo mara ya kwanza kwa taarifa kama hii kuletwa humu jukwaani. Ni wazi kuna hujuma dhidi ya shirika kama hali ndivyo ilivyo hivi.

Suluhisho huwezi kulipata toka kwa "management" kama hiyo unayoipendekeza wewe, ifanye kazi "nzuri" katika mazingira yasiyoruhusu kazi nzuri..

Tunaishia kurudi kulekule tunakokujuwa sote.

Unataka "utawala haram" kwa aina fulani ya muujiza, waruhusu utendaji unaotukuka, sijui kwa manufaa gani?
 
..haihitaji kufika huko, bottom line, serikali haiwez kufanya biashara.
Hizi ni habari za kukariri. Achana nazo kabisa. Hii ni dunia tofauti na hiyo uliyokaririshwa takataka hizo.
TRC kuendesha shirika kwa faida nako kuwe nongwa? Hii akili inatoka wapi?

Utaniwia radhi mkuu 'TrueVoter' kwa haya ninayopishana nawe hapa leo; kwa sababu nakujuwa siku zote siyo mtu anayekurupuka.
 
Ndio mambo yetu yalivyo, hata kwenye kupiga kura unaweza kukuta hamna watu vituoni halafu ukaambiwa mamilioni walipiga kura
 
Bila ushahidi usio na shaka hizi zitabaki ni tuhuma tu...weka picha tuone kuwa behewa lilitoka Dodoma hadi Dar likiwa tu
Acha uzwazwa,tushakutana na hiyo hali mara nyingi sana unakata ticket mtandaoni hakuna seat ukifika Station unapata ticket na mabehewa ndani yapo nusu abiria.
 
Back
Top Bottom