Angalia Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyoanza kupumzisha Wachoraji wa katuni na Wengineo

Uko sahihi.
 
Naona kuna YouTuber anaitumia kuelezea historia kwa short video, anatumia AI pics, anapata viewers sio mchezo.

Natamani kufahamu AI zipi zinatengeneza pics hizi.
Ya bure niliyosikia inaongelewa sana ni stable diffusion.... midjourney ndo the best sema unalipia

Anzia hapo, pitia tutorials mdogo mdogo kuna mambo mengi....
 
Naweza kukosoa kidogo kwenye hii picha iliyotokana na AI ambapo picha imetoa vitu tofauti. 1. A hen close to her feet (kuku yupo mbali na miguu). 2. A hen (hapo pichani naona ni jogoo).
 
Wapi naweza kwenda kwa ajili ya kutengeneza book covers?
 
Safi Sana. Teknolojia inaleta balaa mjin
AI inaenda kufanya binadamu kuwa mazezeta, mazombie, misukule ya duniani kama ulikuwa haujui, wasiweze kufikiria vumbuzi nyingi zaidi na kuendelea kubweteka especially Africa, kuna dogo nilimkuta anatengeneza wimbo kwenye simu yaani studio ni simu AI inagonga beat anaingiza sauti ina-match sauti na beat akikosea anafuta.

Nikasema kama huku ndio tunakokwenda ma-producer wanaenda kuwa wengi na wote watakuwa marobot mziki kila mtu atatengeneza kwenye simu na kuingiza sauti hakuna haja ya kwenda studio kwa producer fulani AI unamaliza mchezo.
 
Ai itampumzisha wengi, ila mimi nasubiri tu siku mbadala wa matrakoo makubwa utakapo patikana maana mtaani kinadada waliobeba wanajiona Keki kinoma, ipo siku mtayaona ni mzigo tu. Hebu fikiria na mvua hii Plus kuotewa na Yanga juzi manzi ananiambia angenipa iwapo ningekuwa mwanaume pekee niliyebaki Duniani, sorry mkuu kukuchafulia Uzi ila inauma sana.
 
Very sad. Ila akili bandia haichongi vinyago
Itachonga. Pitia you tube vizuri ione ROBOT za AI zinavyofanya maujanja..
Kitu kikubwa sana AI nil lazima binadamu uiambie cha kufanya.
Uambiaji huo ni ubunifu.
Tunatoka kwenye ubunigu wa kufanta sisi kwenda wa kufanyiwa.
Sio kila mtu anaweza iambia AI ifanye kitu cha tofauti. Kimsingi binadamu atashirikiana na AI kubuni mambo.
 
Lakini kitakua sio Mbao, material gani inatumia hiyo3D printer?
AI ina evolve. Itafika muda zitakuwa na full capability. Zitakuwepo kila nyanja unayoijua wewe. Wenzetu wapo maabara hawataki utani.

Sisi tunajadili ripoti ya CAG. Tanzania kuna nsijinga mengi. Bubge mpaka sasa hslijajadili AI inavyoweza futa mafisadi kwa kuwa kina msikuma and co hawajui chochote juu ya AI.
 


Sidhani Kama itaweza kufikia uwezo wa binaadam halisi kwa asilimia 100. (Sio hawa wa maabara wa sasa)







Unachokunywa kinatosha. Nenda nyumbani.
 
[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…