Angalia Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyoanza kupumzisha Wachoraji wa katuni na Wengineo

Mkuu zipo nyingi sana kwa sasa, kadiri unavyokuwa na uelewa ndivyo unaweza kuhama kutoka Bing kwenda Midjourney au LensGo.
Uelewa ninao ila nilikuwa sio mtu wa kudeal na Media prompt zaid nilikuwa nikitumia Chat AI
 
Mfano:
Kwa kutumia prompt hii: A black woman in a farmer has wearing kanga and blouse written mkulima bora and behind on the there's some vegetables like spinach and tomatoes are crops grain and close to her feet there's hen.
Jomba hii ngeli pia ni ya AI au ni kiingereza chako binafsi??
 
ina hisabati balaa.... niliisoma mwaka wa 2😂

kwa juu juu tu, ila ni field ngumu na unatakiwa ujue programming
Programming ni ngumu sana kwa mtu ambaye tayari kashaonja papuchi za kina Aisha na Mwanahamisi... taifa linatakiwa lianze kuwafundisha watoto kuchapa codes. Wakifika miaka 20 wanakuwa programmers wa hatari.
 
Bora ni focus kusoma vizuri hii Al
Maana hata kama inarahisisha mambo bado kuna watu hawajui matumizi yake ni wachache sana ndo wanaelewa haya mambo ...
Ukasome akili bandia ili iweje ? Utapasuka msamba, huna upeo huo!

Nenda kwanza kasomee ujuzi wa kuifanya mifumo ya TRA na Bandari isomane.

Tena hatuhitaji cutting edge wireless cloud servers and all the rest of it. Funga mawaya!

Simplest job description ever.

Ili kusudi tusibakwe na Waarabu, Wachina na Waturuki, funga server itakayo host mifumo ya TRA na TPA, na isomane!

Akili bandia my foot!
 
Fanyeni ubwege wenu kipanya mtamsikia tu,
mi ni mchoraji na wife ndo kabisaaa mbobezi.
Hayo mambo yenu nyie bakini nayo.
 
Duuh umeongea kitu kizito sana mkuu.
Unajua wabongo hatutaki kujua tusiyoyajua.
AI imeishathibitisha kuwa ina uwezo kuliko binadamu. Inachokosa ni utashi tu.
Muda huu nimetoka kupata usaidizi wa somo la Java annotatio na enum.
The way nilivyoenda nayo ndani ya saa 1 imefanya kazi kubwa ingefanywa na binadamu siku nzima tena kwa alebobea haswa.
AI inakupa matokeo haraka sana kuliko binadamu.
Bibadamu alichomzidi AI ni EMOTION tu, AI habaa hisia but wale watu wamejipanga wanaweza kuipandikiza hisia.
Muda ndio utakuja ongea
Serikali zetu bado j
Kama zimesinzia hivi, sioni kama serikali inavyojiweka kupokea hii tech.
Watakuja kushutika mambo yamewazidi uwezo.
 
kiswahili ni 'akili mnemba'
 
Yuko sahihi.
AI ipo kila nyanja. Kwenye mifumo ngazi ya serikali.
Msanii, mwandishi, mwalimu, dokta wanatakiwa wajue vipi wana cope bayo.
AI katika levo ya mtu wa chini kabisa kama nwanafunzi wa primary anaitimiaje.
Ni sawa na computer, kuna mtu anaitumia ku burn CD tu au kukopi nyimbo kwenye flash, mwingine kutengeneza bits,
, wingine kuunda mifumo ya bank.
AI nayo ipo hivyo kila mtu atumue kilingana na upeo wake na fani yake..
Usimbeze sana yupo sahihi tena you tube tayari kuna course za jinsi ya kutumia AI ktk mambo mbali mbali.
 
Nadhani hii ndio itapandisha zaidi thamani ya michoro halisi.
 
Huu ni utapeli binadamu gani hana nyusi na haieleweki anatabasamu ama anataka kulia
Ndio Karama ya sanaa ndugu yangu, bado pia haijulikani kama ilikua ni picha ya mwanamke ama mwanaume.
 
Ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…