Angalia Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyoanza kupumzisha Wachoraji wa katuni na Wengineo

Angalia Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyoanza kupumzisha Wachoraji wa katuni na Wengineo

_b1645672-3a2c-4c2b-84d4-c806fa863687.jpeg
 
Am not a PhD holder, Am a scientist acha nikusikitishe kwa sababu as A medical Personel Sicho ninachokijua kuhusu ubongo mkuu...
Kwahyo siwezi kulazmisha nitumie Falsafa kwenye swala lililowekwa kisayansi mkuu...

But i think najua philosophy well and ni nahisi nimeisoma na najua baadhi kuihusu sijajua sasa mantiki yako ni ipi?
Vizuri! Kama unaijua Falsafa vizuri nenda kachakate utamjua nani aliyesemaga hivyo. Na hata ukitafakari ni kweli... mwanadamu ana uwezo wa kufanya makubwa zaidi na ukabaki unashangaa.

Kama unaijua falsafa ungekuwa umeshaijua hiyo kauli ilitolewa na nani 😊😊😊
 
Bora ni focus kusoma vizuri hii Al
Maana hata kama inarahisisha mambo bado kuna watu hawajui matumizi yake, ni wachache sana ndo wanaelewa haya mambo ...
Kaka imekaba na jinsi ya kutumia kuna ai zinazorahisisha kabisa
 
Jina lako linashabihiana na uwezo wako wako wa kifikra... sishangai, Vijana wa Kitanzania ni wajuaji sana kumbe hakuna kitu.

Nashangaa mnabisha kinachojulikana. Si Uzwazwa huo 😀

Bakini hivyohivyo na ujuaji wenu
😂😂😂😂😂😂😂😂 kwa jinsi ulivyonijibu tu hapo..
Mi na wewe nani ana uzwazwa

Umri wako pia unashabihiana na uwezo wako wa kuelewa swali na kujibu hivyo sishangai,

Miaka 61-70 ni umri wa upatanisho wa imani na jamii 😂😂😂😂😂
 
One day technology will surpass human intelligence.

"Albert Einstein$...
 
Nikiwa mmoja wa wafuatiliaji wa karibu sana wa hii teknolojia ya akili bandia inayofahamika kama AI.

Nimejionea kwa karibu sana jinsi mambo yanavyokuwa ya moto sana.


Kwa kuanzia kidogo tu, nimeonana na mchoraji katuni aliyeamua kusoma kwa nguvu, ananunua bundle then darasa linaanza, ananiambia ''brother muda umeenda'' no time to waste kwa sasa.

Leo tena mkongwe na mwalimu wangu naye anajiandaa kustaafu kuchora katuni, maji yanazidi unga.


Yeye anasema dunia inafanya mapinduzi makubwa sana kupitia teknolojia, muda wa kukaa meza kubwa yenye muinuko mbele umefifia kaka, now ni simu ili mradi iwe na bando.

Isitoshe kwa hapo, baadhi ya taasisi binafsi zimeanza kuunda AI images maalumu kwa matangazo ambapo akionekana tu utajua huyu ni kutoka kampuni flani as katumi nk.

Lile wazo lako badala ya kuchukua penseli na karatasi unaanza kupoteza muda halipo tena, bali ni kuliweka wazo lako katika mfumo wanauita prompt kisha unairuhusu ikufanyie kile unataka ni ndani ya sekunde 5 unapata matokeo zaidi ya 4 na kuchagua the best one.

Wachoraji wanaanza kukosa ile tunasema ground table of content, pencils zinakosa soko na soko linaamia kwa AI Pen.

Mfano:
Kwa kutumia prompt hii: A black woman in a farmer has wearing kanga and blouse written mkulima bora and behind there's some vegetables like spinach and tomatoes are crops grain and close to her feet there's hen.

Nikapata matokeo haya hapa
:


Na hii hapa chini...
Nimeweka prompt yako ya mfano ikaja hivi
OIG.a1.jpg
 
Kwani wewe umejitengrneza.
Wewe umefundishwa mambo yote kama AI inavyofundushwa. Mpaka hapo unakwepa kwepa kuthibitisha unachoizidi AI.
We sema tu inaizidi AI kwenye nini?
Kanizidi mkuu kweli...
Sina hoja hapo kwa kweli....🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Nimewaza hapa nionaaa ooooh ooooh hii Al ipo kila sehemu. Sasa naungana na wewe
 
Back
Top Bottom