pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 312
- 616
Haki miliki maana yake wasitumie picha za my Kilimanjaro kutangaza mbuga.Sasa hiyo hakimiliki ndio itaweka pazia usionekane au kujenga miundombinu huko Mkomazi?
Ndio tunapiga uzio pengine sasa utaweza kuelewa maana ya vita ya kiuchumi.Duuu Uzio? Uzio urefu wake utauzidi mlima
Una uhakika hili litafanya kazi?Haki miliki maana yake wasitumie picha za my Kilimanjaro kutangaza mbuga
Hili ni jukwaa huru na wewe unaruhusiwa kuchangia, kukosoa bila mbadala siyo sahihi tunajenga nyumba moja (Tz) kama unaona ni sawa kwenda Kenya ili uone mlima uliopo Tz basi kheriUna uhakika hili litafanya kazi?
Nani ajenge? Sema tujengeAjenge ukuta kama wa tanzanite
Hope uko serious sio kejeliHii app itasaidia sana . Itakuwa nje ya mipaka ta Tz ukiangalia Mt Kilimanjaro kwa zaidi ya sekunde 30. Kwenye simu yako au akaunti yako ya benki, au mfumo wako wa fedha itakuja txt kuwa 0.5Usp inakatwa.
Kwa ndugu zetu, tuvumilieni tuko tunajenga nchi.
Developers wako kwa fainal touch
MmmHope uko serious sio kejeli