Angalia jinsi mlima Kilimanjaro unavyoonekana ukiwa nchi jirani

Angalia jinsi mlima Kilimanjaro unavyoonekana ukiwa nchi jirani

Zifuatazo ni picha zikionyesha muonekano wa mt Kilimanjaro ukiwa nchi ya Kenya mbuga inaitwa amboseli, hizi picha zinapatikana kwenye tovuti yao yao ya matangazo kwa uelewa wangu mdogo tumeshindwa hata kuweka haki miliki? Kumbuka watalii wakiwa mbuga ya Amboseli wanauwezo wa kuangalia wanyama huku wanaangalia mlima kama inavyoonekana pichani, na kwa Tanzania mbuga pekee ambayo unaweza kuangalia wanyama huku unaona mlima kwa uzuri ni mbuga ya mkomazi ambayo hata haijulikani, haina wanyama wa kutosha, na pia miundo Mbinu siyo rafiki sana, nilimsikia mzalendo namba moja akisema kuwa ata weka uzio kuzunguka mlima nadhani hii pia ingesaidia na pia kuwa na haki miliki
sasa nyie mnachokonoa mtu hapa.... mnataka ajenge ukuta kuzunguka kilele ku block view ya lile barafu pale juu nini??
 
Tunajenga nyumba moja ila wanufaika ni wengine,umewahi kuona pesa anayosaini waziri wa utalii eti kwaajili ya chakula tu?

Hili ni jukwaa huru na wewe unaruhusiwa kuchangia, kukosoa bila mbadala siyo sahihi tunajenga nyumba moja (Tz) kama unaona ni sawa kwenda Kenya ili uone mlima uliopo Tz basi kheri
 
inasemekana , wajerumani na waingereza walipoweka mipaka walikuwa wanagombea, eidha mlima uende kenya halafu mombasa iwe tanganyika, ama kenya ipewe mombasa mlima uje kwetu, hayo maamuzi ya pili yakakubalika, ndio maana mombasa ipo kenya, na mlima upo kwetu
 
Hili ni jukwaa huru na wewe unaruhusiwa kuchangia, kukosoa bila mbadala siyo sahihi tunajenga nyumba moja (Tz) kama unaona ni sawa kwenda Kenya ili uone mlima uliopo Tz basi kheri
Nimekuuliza swali moja unaleta maelezo kumi.

Kwanini usijibu swali uliloulizwa
 
Tunaweza kuandika maneno ya 3D kama yale ya Hollywood tukaandika karibu Tanzania maandishi makubwa kinyama wajaluo wakipiga picha kilima chetu wanakuta na maandiko pia
 
Zifuatazo ni picha zikionyesha muonekano wa mt Kilimanjaro ukiwa nchi ya Kenya mbuga inaitwa amboseli, hizi picha zinapatikana kwenye tovuti yao yao ya matangazo kwa uelewa wangu mdogo tumeshindwa hata kuweka haki miliki? Kumbuka watalii wakiwa mbuga ya Amboseli wanauwezo wa kuangalia wanyama huku wanaangalia mlima kama inavyoonekana pichani.

Tanzania mbuga pekee ambayo unaweza kuangalia wanyama huku unaona mlima kwa uzuri ni mbuga ya Mkomazi ambayo hata haijulikani, haina wanyama wa kutosha na pia miundo Mbinu siyo rafiki sana, nilimsikia mzalendo namba moja akisema kuwa ataweka uzio kuzunguka mlima nadhani hii pia ingesaidia na pia kuwa na hakimiliki.
HYO ROHO MBAYA! SI UPO MPAKANI ACHA WAITUMIE NAFASI YA KUANGALIA! AU TUJENGE KAMA ULE UKUTA WA KULEEE..
 
Dawa ni kuubomoa na kwenda kujenga chatu
 
Tunaweza kuandika maneno ya 3D kama yale ya Hollywood tukaandika karibu Tanzania maandishi makubwa kinyama wajaluo wakipiga picha kilima chetu wanakuta na maandiko pia
Hii imekaa poa
 
Sawa watalii wakiwa Kenya wanapata view nzuri sana na wanachukua picha nzuri za wanyama zenye background ya mlima lakini hawawezi kupanda huo mlima

Hakuna namna ya kuzuia hilo, kama una namna tuambie tufanyaje au mtumie Mh. Kigwangala ujumbe achukue hatua.
Siyo kila mtalii anatakq kujichosha kuupanda, wengine hasa wenye umri mkubwq ambao ndio wenye hazina kubwa ya dolaris wangependelea kukaa kwenye view na kuuangalia huku wakiota jua na kugonga mvinyo [emoji45][emoji53]
 
Hizi picha ulipiga wewe?
Kama Ni wewe kifaa ulichotumia kitakua made in Burundi
 
Wabongo banaa....hiyo Ni mungu alivyo umbaaa,basi wekeni panzia wakenya wasione
 
Tunaweza kuandika maneno ya 3D kama yale ya Hollywood tukaandika karibu Tanzania maandishi makubwa kinyama wajaluo wakipiga picha kilima chetu wanakuta na maandiko pia
Hii ndio funga kazi sasa
 
Kwa roho yako mbaya unaonaje Kama ukitoa ushauri wazuie na maji yanayotiririka kutoka kilele Cha mlima Kilimanjaro yanayoenda kwenye mito mikubwa iliyopo Kenya.pia mzuie na mvua zinazonyesha ambazo vyanzo vyake ni msitu wa mlima Kilimanjaro.Yaani mmesahau kuwa bila mzungu kuja huku Afrika nakutugawa Hawa wakenya walikuwa ni ndugu zetu na wanaufaidi mlima pamoja na ndugu zao wachaga.hivi ulishawahi kujiuliza Kuna km ngapi kutoka ulipo mlima na mpk wa Kenya na Tanzania.
 
Back
Top Bottom