Angalia Jukwaa la Wageni rasimi mei mosi Kenya Vs Jukwaa la wageni rasim Mei mosi Tanzaniza pale Singida,

Angalia Jukwaa la Wageni rasimi mei mosi Kenya Vs Jukwaa la wageni rasim Mei mosi Tanzaniza pale Singida,

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,532
Reaction score
14,164
Nilisema jana Taifa linaangamia kwa ujinga. Ni mwendo wa Uchawa, Mbona Jk, Mkapa na Mwinyi huu ujinhahaukuwepo? Au walikuwa washamba sana?

Hii ni singida.

Hii ni Kenya jikwaa kuu lina rangi za Bendera za nchi na hakuna picha ya William Ruto.
Screenshot_20250501_162741_com.android.gallery3d.jpg
Screenshot_20250501_162736_com.android.gallery3d.jpg

Screenshot_20250501_162724_com.android.gallery3d.jpg
Screenshot_20250501_162730_com.android.gallery3d.jpg
 
Mabango ya Kenya yanahamasisha kukuza uchumi wa Nchi lakini ya Tanzania yamejaa mama mitano tena.Hovyo sana hii Nchi.Huenda mfumo wa elimu wa Tanzania umeathiri fikra za watanzania Kwa kugeuka kuwa chawa wa watawala badala ya kujitambua
 
Huku wamejaa failures, darasa la saba mtu alifeli mara moja akaja kidato cha nne kafeli mara mbili kaenda ualimu. Mapanga shaa shaa haieleweki mara tunasikia kawa mbunge, huku na kule tuwabebe na wenzetu wazanzibari akawa makamu wa rais. Kidogo Chalamila akaibuka anadai tuwe na katiba mpya maana anaweza ibuka makamu wa rais mchawi akamroga rais ili akitwae kiti. Huku na kule tukapata msiba mara ghafla tunaambiwa huyu bibi mwenye manyonyo mzigo ndio Rais, hapo kuna mipango ya maana tena?
 
Nilisema jana Taifa linaangamia kwa ujinga. Ni mwendo wa Uchawa, Mbona Jk, Mkapa na Mwinyi huu ujinhahaukuwepo? Au walikuwa washamba sana?
View attachment 3321971
Hii ni singida.
View attachment 3321972
Hii ni Kenya jikwaa kuu lina rangi za Bendera za nchi na hakuna picha ya William Ruto.
View attachment 3321974
Bongo
View attachment 3321975
Dah! We jamaa unaumia sana kwa huyu Mama. Mana kila uchao unahangaika kutaftiza wp ukosoe. Anyway labda inakusaidia...
 
Huku wamejaa failures, darasa la saba mtu alifeli mara moja akaja kidato cha nne kafeli mara mbili kaenda ualimu. Mapanga shaa shaa haieleweki mara tunasikia kawa mbunge, huku na kule tuwabebe na wenzetu wananzibari akawa makamu wa rais. Kidogo Chalamila akaibuka anadai tuwe na katiba mpya maana anaweza ibuka makamu wa rais mchawi akamroga rais ili akitwae kiti. Huku na kule tukapata msiba mara ghafla tunaambiwa huyu bibi mwenye manyonyo mzigo ndio Rais, hapo kuna mipango ya maana tena?
Kashfa hizo wala haziondoi ukweli kwamba Samia ndiye Rais Wa JMT na ndiye Amiri Jeshi Mkuu. Kama hutaki hama nchi!
 
Inawezekana jamaa anaumia ila vipi hii point yake inaMake sense au ni ya kijinga tu?
Point yake nzuri kabisa. Mi wala sijaipinga kama umesoma vizr. Mfatilie tu post zake, huyu mtu ni anateseka sana na uwepo wa Samia mpk nahisi hana ht muda kutabasam achilia mbali kucheka
 
Back
Top Bottom