Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Mungu siyo fala hawezi kubariki ChawaMungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Tanzania
Mungu siyo fala hawezi kubariki ChawaMungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Tanzania
Unataka Taifa la ndio mzee?Ni mjinga peke yake ataisifia Kenya. Juzi tu hapo na huko nyuma wameuana sana,na kutiana vilema,na kuchoma magari na mpaka bungeni wamechoma moto
Cha muhimu ni salario kuongeza.
Ruto atawekaje picha wakati hana pesa za kuwapa wafanyakazi? 😂😂
View: https://x.com/azamtvtz/status/1917904645823103105?t=Mc770oInY8QD2kJDMdcRug&s=19
Umekosa ajenda.
Sure..tumeingia chaka kweli kweliDuh
MUNGU atusamehe sana awamu hii tumepatikana
Huku kwa SASHA kila tukio lazima ukute picha yake. Kuanzia serikalini hadi shughuli mitaaniPicha zinaonyesha:Huku ni "Mkao wa kampeni",kule ni "Mkao wa kumbukizi ya siku ya wafanyakazi".
Mfumo wa elimu umejengwa katika kuwatukuza viongoziMabango ya Kenya yanahamasisha kukuza uchumi wa Nchi lakini ya Tanzania yamejaa mama mitano tena.Hovyo sana hii Nchi.Huenda mfumo wa elimu wa Tanzania umeathiri fikra za watanzania Kwa kugeuka kuwa chawa wa watawala badala ya kujitambua
Hata akiamua kusifu, Kuna kipi cha kusifia?Dah! We jamaa unaumia sana kwa huyu Mama. Mana kila uchao unahangaika kutaftiza wp ukosoe. Anyway labda inakusaidia...
Watu wenye akili huwa wanauliza swali ulilouliza.Huyu mvimba macho analingalisha majukwaa. Hapana hawajaongezewa mishahara.Huko Kenya wameongezewa mshahara?
Shillingi 15,000 za Kenya.Una swali lingine au ulitaka kuandika nini?Ni kama 300,000 za Tanzania.ujinga unajua kima cha chini Kenya ni sh ngapi?
Tofauti na TZ hao jamaa wa meza kuu, ni baadhi ya tycoons wachache wanaomiliki uchumi wa Kenya.Picha zinaonyesha:Huku ni "Mkao wa kampeni",kule ni "Mkao wa kumbukizi ya siku ya wafanyakazi".
Hahahaha imebidi nicheke tu yaaani hatariDuh
MUNGU atusamehe sana awamu hii tumepatikana
Tufanye kwa usahihi. Sherehe za wafanyakazi si jukwaa la kampeni za ccm.Nyie jamaa bado watumwa wa mataifa mengine foolish!
Kwahyo Mnataka na ss tufanye Kama Kenya ... Ku copy copy tu kila kitu
Hata hili tu la kukaa miaka 6 bila kupandishwa madaraja wala mishahara lakini sasa linafanyika sio zuri?Hata akiamua kusifu, Kuna kipi cha kusifia?