Angalia Jukwaa la Wageni rasimi mei mosi Kenya Vs Jukwaa la wageni rasim Mei mosi Tanzaniza pale Singida,

Point yake nzuri kabisa. Mi wala sijaipinga kama umesoma vizr. Mfatilie tu post zake, huyu mtu ni anateseka sana na uwepo wa Samia mpk nahisi hana ht muda kutabasam achilia mbali kucheka
Itakuwa poa sana mkuu ikiwa utakuwa unaDeal na point yake ili kama nzuri unaunga mkono kama ya ovyo unapinga. Ila hapa kaandika kitu cha msingi sana lakini huonekani kujikita kwenye point. Tanzania tuna mambo ya kijinga sana hata ukiangalia comments za watu hapo juu utagundua hilo.
 
Picha zinaonyesha:Huku ni "Mkao wa kampeni",kule ni "Mkao wa kumbukizi ya siku ya wafanyakazi".
We have different cultures and different context

Sioni cha maana hapo cha kufanya any analysis

Huko kwao leo wameua mbunge wa ODM
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nilisema jana Taifa linaangamia kwa ujinga. Ni mwendo wa Uchawa, Mbona Jk, Mkapa na Mwinyi huu ujinhahaukuwepo? Au walikuwa washamba sana?
View attachment 3321971
Hii ni singida.
View attachment 3321972
Hii ni Kenya jikwaa kuu lina rangi za Bendera za nchi na hakuna picha ya William Ruto.
View attachment 3321974
Bongo
View attachment 3321975
Ila Kenya Minimum wages ni ksh 15,000 tu, hawa wametupita Uchumi ila wanatumia kiasi kidogo cha mapato yao kulipa vizuri masikini.

Hata sisi tusingeongeza mishahara minimum wage ya zamani serikalini ya 370,000 still ni kubwa kushinda yao ya sasa, sembuse ya sasa hivi ya laki 5.

Wakenya wapo vizuri kwenye sifa na kujisifia vitu ambavyo hawana, Tanzania watu hawaongei sana ila wana maisha mazuri kuliko Kenya.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Itakuwa poa sana mkuu ikiwa utakuwa unaDeal na point yake ili kama nzuri unaunga mkono kama ya ovyo unapinga. Ila hapa kaandika kitu cha msingi sana lakini huonekani kujikita kwenye point. Tanzania tuna mambo ya kijinga sana hata ukiangalia comments za watu hapo juu utagundua hilo.
Naunga mkono hoja
 
Huku muda wote nchi ipo kwenye kampeni Kenya wapo kikazi zaidi, system imejaa majangili tupu
 
Hii nchi ina mauza uza mengi kinoma, tatizo ni sisi wananchi wenye ujinga mwingi.
 
Huyu kiongozi alistahili kuwa anahesabishwa mabati au ceilingboard!
 
Mabango ya Kenya yanahamasisha kukuza uchumi wa Nchi lakini ya Tanzania yamejaa mama mitano tena.Hovyo sana hii Nchi.Huenda mfumo wa elimu wa Tanzania umeathiri fikra za watanzania Kwa kugeuka kuwa chawa wa watawala badala ya kujitambua
Huko Kenya wameongezewa mshahara?
 
Nilisema jana Taifa linaangamia kwa ujinga. Ni mwendo wa Uchawa, Mbona Jk, Mkapa na Mwinyi huu ujinhahaukuwepo? Au walikuwa washamba sana?
View attachment 3321971
Hii ni singida.
View attachment 3321972
Hii ni Kenya jikwaa kuu lina rangi za Bendera za nchi na hakuna picha ya William Ruto.
View attachment 3321974
Bongo
View attachment 3321975
Cha muhimu ni salario kuongeza.

Ruto atawekaje picha wakati hana pesa za kuwapa wafanyakazi? 😂😂

View: https://x.com/azamtvtz/status/1917904645823103105?t=Mc770oInY8QD2kJDMdcRug&s=19

Umekosa ajenda.
 
Nilisema jana Taifa linaangamia kwa ujinga. Ni mwendo wa Uchawa, Mbona Jk, Mkapa na Mwinyi huu ujinhahaukuwepo? Au walikuwa washamba sana?
View attachment 3321971
Hii ni singida.
View attachment 3321972
Hii ni Kenya jikwaa kuu lina rangi za Bendera za nchi na hakuna picha ya William Ruto.
View attachment 3321974
Bongo
View attachment 3321975
Ulicho kiona ni mechanism ya kiongozi yoyote asiye kubalika ...samia anajua kuwa hakubaliki kabisa ni lazima qtumie hiyo njia
 
Nilisema jana Taifa linaangamia kwa ujinga. Ni mwendo wa Uchawa, Mbona Jk, Mkapa na Mwinyi huu ujinhahaukuwepo? Au walikuwa washamba sana?
View attachment 3321971
Hii ni singida.
View attachment 3321972
Hii ni Kenya jikwaa kuu lina rangi za Bendera za nchi na hakuna picha ya William Ruto.
View attachment 3321974
Bongo
View attachment 3321975
Ni mjinga peke yake ataisifia Kenya. Juzi tu hapo na huko nyuma wameuana sana,na kutiana vilema,na kuchoma magari na mpaka bungeni wamechoma moto
 
Nilisema jana Taifa linaangamia kwa ujinga. Ni mwendo wa Uchawa, Mbona Jk, Mkapa na Mwinyi huu ujinhahaukuwepo? Au walikuwa washamba sana?
View attachment 3321971
Hii ni singida.
View attachment 3321972
Hii ni Kenya jikwaa kuu lina rangi za Bendera za nchi na hakuna picha ya William Ruto.
View attachment 3321974
Bongo
View attachment 3321975
Sema kizee cha TUCTA ya Kenya ni KICHAWAAAAAA halafu FISADIIIIII

Kilikuwa kinamtukana Ruto, halafu kikageuka fasta aliposhinda.
 
Mabango ya Kenya yanahamasisha kukuza uchumi wa Nchi lakini ya Tanzania yamejaa mama mitano tena.Hovyo sana hii Nchi.Huenda mfumo wa elimu wa Tanzania umeathiri fikra za watanzania Kwa kugeuka kuwa chawa wa watawala badala ya kujitambua
Kama tumelogwa
 
Back
Top Bottom