BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
😀😀😀Picha zinaonyesha:Huku ni "Mkao wa kampeni",kule ni "Mkao wa kumbukizi ya siku ya wafanyakazi".
YaaniDuh
MUNGU atusamehe sana awamu hii tumepatikana
Kabisa mkuuDuh
MUNGU atusamehe sana awamu hii tumepatikana
TumeyakanyagaYaani
Duh
MUNGU atusamehe sana awamu hii tumepatikana
Watanzania tunampenda Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan! Ya wa Kenya wanajua wenyewe!Nilisema jana Taifa linaangamia kwa ujinga. Ni mwendo wa Uchawa, Mbona Jk, Mkapa na Mwinyi huu ujinhahaukuwepo? Au walikuwa washamba sana?
View attachment 3321971
Hii ni singida.
View attachment 3321972
Hii ni Kenya jikwaa kuu lina rangi za Bendera za nchi na hakuna picha ya William Ruto.
View attachment 3321974
Bongo
View attachment 3321975
Dah! We jamaa unaumia sana kwa huyu Mama. Mana kila uchao unahangaika kutaftiza wp ukosoe. Anyway labda inakusaidia...Nilisema jana Taifa linaangamia kwa ujinga. Ni mwendo wa Uchawa, Mbona Jk, Mkapa na Mwinyi huu ujinhahaukuwepo? Au walikuwa washamba sana?
View attachment 3321971
Hii ni singida.
View attachment 3321972
Hii ni Kenya jikwaa kuu lina rangi za Bendera za nchi na hakuna picha ya William Ruto.
View attachment 3321974
Bongo
View attachment 3321975
Hao jamaa ni sheeedah! Hawajawahi kuona zuri la TZNyie jamaa bado watumwa wa mataifa mengine foolish!
Kwahyo Mnataka na ss tufanye Kama Kenya ... Ku copy copy tu kila kitu
Kashfa hizo wala haziondoi ukweli kwamba Samia ndiye Rais Wa JMT na ndiye Amiri Jeshi Mkuu. Kama hutaki hama nchi!Huku wamejaa failures, darasa la saba mtu alifeli mara moja akaja kidato cha nne kafeli mara mbili kaenda ualimu. Mapanga shaa shaa haieleweki mara tunasikia kawa mbunge, huku na kule tuwabebe na wenzetu wananzibari akawa makamu wa rais. Kidogo Chalamila akaibuka anadai tuwe na katiba mpya maana anaweza ibuka makamu wa rais mchawi akamroga rais ili akitwae kiti. Huku na kule tukapata msiba mara ghafla tunaambiwa huyu bibi mwenye manyonyo mzigo ndio Rais, hapo kuna mipango ya maana tena?
Inawezekana jamaa anaumia ila vipi hii point yake inaMake sense au ni ya kijinga tu?Dah! We jamaa unaumia sana kwa huyu Mama. Mana kila uchao unahangaika kutaftiza wp ukosoe. Anyway labda inakusaidia...
Point yake nzuri kabisa. Mi wala sijaipinga kama umesoma vizr. Mfatilie tu post zake, huyu mtu ni anateseka sana na uwepo wa Samia mpk nahisi hana ht muda kutabasam achilia mbali kuchekaInawezekana jamaa anaumia ila vipi hii point yake inaMake sense au ni ya kijinga tu?