Angalia kimbunga Milton kilivyotua huko Marekani! Angalia maajabu ya ndege! Angalia urefu wa wimbi!

Biblia kuita wapumbavu bado haijathibitisha uwepo wa huyo Mungu , hata kitabu cha Abunuasi kuna mabwana wengi waliitwa wapumbavu
 
Biblia kuita wapumbavu bado haijathibitisha uwepo wa huyo Mungu , hata kitabu cha Abunuasi kuna mabwana wengi waliitwa wapumbavu
wewe unafahamika ni jini ndugu, sio mwanadamu kama sisi wengine. hakuna cha kushangaza hapa. shindwa kwa Jina la Yesu.
 
wewe unafahamika ni jini ndugu, sio mwanadamu kama sisi wengine. hakuna cha kushangaza hapa. shindwa kwa Jina la Yesu.
Hawa nephilim/demon incarnates/fallen angels/majini wanaojifanya ni binadamu wapo wengi, hata mitandaoni humu wapo, kama huyu Diana kalala wa fb nina mashaka sio binadamu wa kawaida, wenye d mbili kwenye mambo ya kiroho lazma wahisi kuna uwezekano asilimia 80 huyu ni jini Yesu Anakuja
 
Attachments

  • Screenshot_20241009-153220.jpg
    32.3 KB · Views: 1
Hellene kilipiga mile 500 nikasema ingekua Tz inamaana kinapiga hadi Shinyanga mbele uko
Kije basi na huku kitusalimie kidogo yaan vimbunga vina upendeleo sana vinapiga huko tu huku vikija vinapiga lashalasha Mungu kwanini sisi unatutenga na vimbunga?
 
Israel inawaua watu ma laki kila siku , ila kimbuka kinaua watu 200 tu zinakuja sababu za kipumbavu kabisa mara hasira ya bwana na blabla za kijinga.
Saivi wanaitafuta elfu 50, saivi ngoma inacheza kwenye 42, bado kama maiti elfu 8 hivi, kila.siku wanaua mtu kama 50 hivi, sasa 50 hadi disemba wanaweza kusherekea mwaka mpya na elfu 50 net..
 
Kije basi na huku kitusalimie kidogo yaan vimbunga vina upendeleo sana vinapiga huko tu huku vikija vinapiga lashalasha Mungu kwanini sisi unatutenga na vimbunga?
Tutarudi miaka 30 nyuma kimaendeleo.
 
Saivi wanaitafuta elfu 50, saivi ngoma inacheza kwenye 42, bado kama maiti elfu 8 hivi, kila.siku wanaua mtu kama 50 hivi, sasa 50 hadi disemba wanaweza kusherekea mwaka mpya na elfu 50 net..
Yaan wamekufa 200 tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…