Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake!
View attachment 3121082
Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake!
View attachment 3121079
Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake!
View attachment 3121085
x.com
twitter.com
Nb: Watu wanakimbia kuokoa roho zao na siyo fedha! Mpe Mungu maua yake!
Sio lugha sahihi hiyo dhidi ya Muumba wako, lugha ya kukosa hekima hiyo mbele ya Muumba wako