Angalia mkataba wa Sweden na UAE ulivyotoa haki na wajibu kwa pande zote mbili. Ulinganishe na wa kwetu

Kwani ccm inategemea sanduku la Kura? Polisi siwapo?
 
Watawala wetu ni mbumbumbu wa kiwango cha kutoweza hata kutazamia.

Rushwa hupofusha akili na moyo. Upofu wa akili ni mbaya kuliko hata upofu wa macho.

Umeona hata majaji kule Mbeya walivyopofuka kiasi cha kuweza kufanya arguments zao kwa kiwango cha afadhali hata mtu mwenye certificate ya sheria.

Rushwa iwe ya pesa au hata cheo, uwezo wake wa kupofusha akili ya mla rushwa ni ule ule.
 
Wananchi mmeamua
 
Halafu mahakama kuu Mbeya na akina Assad wanakuambia uko sawa kabisa[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
Rushwa inapenya kila mahali, hakuna ilipopaacha salama. Akina Ndunguru unafikiri waliahirisha hukumu kwa akili yao? Rushwa ndiyo iliyokuwa inachezesha akili zao.
 
Uafrika hasa utanzania ni laana.

aliianzisha nyerere kutaifisha nyumba za watu na kuifanya NHC hapo mungu alichukizwa na dhuluma hiyo mungu akatupiga laana ya milele tutakuwa hivihivi tunateseka tunadhulumiana tunaoneana alianzisha yupo kaburini akiadhibiwa vikali
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usifananishe binadamu class A na sokwe muwaza ngono,mla rushwa,mpenda starehe,mvivu wa kufikiria ,asiyewaza kesho yake,yeye kilichopo mbele yake Ni kama mnyama,
 
Madhara yake yatakuwa makubwa kwa CCM, mwaka 2025 haitakuwa rahisi kwao kushinda uchaguzi mkuu. Huu ndiyo ukweli, ccm imeamua kujimaliza (committee suicide) yenyewe
Kwenye ushindi wa ccm kura huwa hazihusiki
 
Wewe hujui kiingereza vema. Soma between lines: Arbitration inaanzia kwenye partner states. Wanakaa wanajadiliana kwa kuchagua watu wao mmoja kila upande. Wakishindwana, Then wanatafuta mwenyekiti third party ambaye watamkubali wote. Wakishindwana hapo, wanakwenda ICSDI, ambayo hatukatai, bali tunakataa kwenda London!
Na kama sheria zetu zinakataza kwenda kusuluhisha mambo ya rasilimali zetu mahakama za nje, hawakupashwa kuingia mkataba huo. Hivyo huo likataba lao ni BATILI AS LONG AS IT DOES NOT TALLY WITH OUR INTERNAL LAWS, MAHAKAMA ILIPASHWA UIKATAE.

Sijui kama unanielewa
 
Wala posho za hashtag ya DP world watakwambia huko ni Sweden na huku ni Tanzania tuna taratibu zetu kweny mikataba!!
 
Umeisoma lakini IGA yetu? Na si hao wataalam wetu ndio walituambia kuwa mikataba baina ya nchi haina muda wa uhai wake?

Amandla...
 
Hivi unadhani waliosign ni ignorant kiasi hicho?
...wahuni ni watu hatari sana!
 
Sasa unataka tulinganishe na Investment Protection Contract ipi?


Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
kinachowasumbua watanzania hawajui kuisoma hiyo mikataba ya kizungu hivyo wametokea wanasiasa uchwara kuwadanganya kuwa mkataba unashida basi woote wasio na upeo wa kuelewa wamejuwa kweli wakati umefafanuiliwa kabisa na wataalamu kuwa hauna shida ni vikasoro vyavidogovidogo tu vya kurekebisha lakini hawaellewi wacha waendelee kupayuka lakini mkataba ni halali hauna shaida mwekezaji aendelee tuna hii ni sababu wachache wenye mirija yao ya kunyonya inaenda kuzibwa ndiyo maana wanapiga kelele
 
Una kichwa cha panzi wallah! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Ebu niandikie senstensi hii kwa kiingereza nikupime (usiombe msaada): kama ingelikuwa siyo ujio wa magufuli, watu wote walianza kukata tamaa kuwa nchi hii ingelikuwa imeuzwa yoteπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜³
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…