dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Kwani ccm inategemea sanduku la Kura? Polisi siwapo?Wananchi wamesema sana kwamba IGA yetu ni ya upande mmoja. Ushauri wa wazee wa CCM ka.a akina Butiku na Waryoba hawataki kuusikia wala kufuata. Sasa wanaenda kufuta sheria ya ulinzi wa rasilimali zetu badala ya sheria hiyo kuiweka kwenye katiba ya nchi kama tulivyofanya kwenye ile sheria ya kuhamishia Dodoma makao makuu ya nchi.
Madhara yake yatakuwa makubwa kwa CCM, mwaka 2025 haitakuwa rahisi kwao kushinda uchaguzi mkuu. Huu ndiyo ukweli, ccm imeamua kujimaliza (committee suicide) yenyewe. Wahenga walisema ngoma ikilia sana hupasuka yenyewe. Hatupendi hili litokee.