asante sana. HGA ndizo tanesco atasign kwa utekelezaji wa miradi ndani ya IGA! na huyo investor from abroad lazima katika mkataba Tanzania will feature as authorizing to Tanesco to sign the contract on its behalf! I stand to be corrected
Wazee wa bahasha za buku teni za DP world biashara ya protection ya interest za Tanzania hawajali!! Kikubwa ni matumbo yao yashibe vzr.Uko sahihi watasema hivyo. wanashau kuwa Issue hapa ni protection ya interest za Tanzania, not location of the contracting parties
Utauelewa sasa?Ngoja niupitie
Ha ha ha[emoji818][emoji1545][emoji817]Umetisha rafiki! fasihi ya hali ya juu
Serikali yenu kwani ina wanasheria? Mnanilaumu bure tu.Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa mwenzake!
Wanasheria wetu walikwama wapi, kwanini hawakupata ushauri toka kwa watu ambao walishaingia mikataba kama hii ya kimataifa!
Read! Erythrocyte
Hawa waarbu kama wamemwaga mpunga wamemwaga mwingi mno, ndomaana hata ukomo hauna labda maji yakauke! Matusi makubwa haya,sijui hata Mababu wa Mababu zetu wange kubaliana ujinga huuUkiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa mwenzake!
Wanasheria wetu walikwama wapi, kwanini hawakupata ushauri toka kwa watu ambao walishaingia mikataba kama hii ya kimataifa!
Read! Erythrocyte
Vyama pinzani huwa hawajipangi vizuri kusimamia masanduku ya kura. Huwa aidha hawana mawakala au wanakuwa na mawakala waliohongwa na ccm.Kwani ccm inategemea sanduku la Kura? Polisi siwapo?
Kuna tofauti kati ya taifa na nchi kavu. Tanzania ni nchi kavu.Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa mwenzake!
Wanasheria wetu walikwama wapi, kwanini hawakupata ushauri toka kwa watu ambao walishaingia mikataba kama hii ya kimataifa!
Read! Erythrocyte
huyu naweza kwa kusaidiwa na wataalamuUtauelewa sasa?
Ujue kuwa mkataba uliopita bungeni ni wa kimataifa na unakwenda kwa mujibu wa masharti ya kimataifa haiwezekani pande mbili zenye kugombana zipate usuluhishi katika nchi mmojawapo ya hizo mbili.Kwani hapo wamesema wanawekeza kwenye nini? Sisi tunatetea sheria yetu ya Ulinzi wa Mali Asili za nchi ya mwaka 2017 inasema.
1. Mikataba yoyoteinayohusu Rasimali Asili za Taifa itakayosainiwa na serikali lazima ikaidhinishwe na Bunge.
Kipengere hiki kinaenda kinaondolewa automatic na Mkataba huu wetu na Dubai cos mkataba umetamka mikataba hiyo itakuwa ni siri, na ndiyo maana serikali inapeleka marekebisho Bungen mwezi 9 kifungu hicho kinaenda kueditiwa mikataba iishie kwenye Baraza la Mawaziri.
Historia ya uwepo wa kifungu hiki inatokana na mikataba ya madini iliyosainiwa huko nyuma mpaka kuja kufukuzana na Acacia Mining cos ilikuwa mikataba mibovu kwaiyo kipindi hiko ikaona iweke kipengere hicho ili umma ujie Viongozi wao wanafanya nini katika rasimali zao.
2. Sheria pia inasema migogoro yoyote inayohusu Rasimali asili za nchi itasuruhishwa katika mahakama zetu za ndani.
*Sheria inasema hivi alafu waliosaini mkataba wamesaini usuruhishi ufanyike Africa Kusini! Hii ni kinyume na sheria zetu na ndiyo maana umeona Mahakama inasema imekubaliana na walalamikaji juu mkataba huu kuvunja sheria zetu.
Kwaiyo tunaotetea, tunatetea kwa mujibu sheria yetu inavyotaka.
Huo mkataba wa Sweden na UAE wala haujaelekeza Kampuni fulani ndiyo inaenda huku tu! Na ndiyo mkataba wa ushirikiano kati ya nchi na nchi na ndiyo maana haujaweka eneo specific kama Bandari etc.
Ila we tu una maeneo specific kabisa na kampuni imetajwa kabisa, sasa jiulize tumesaini mkataba wa ushirikiano kati ya nchi na nchi au nchi na kampuni?
Mnazidi kulishana matango pori, nani kakwambia kwamba bandari ni rasilimali ya nchi?. Kipi pale kinakuwa rasilimali, makontena au Meli?.Wewe hujui kiingereza vema. Soma between lines: Arbitration inaanzia kwenye partner states. Wanakaa wanajadiliana kwa kuchagua watu wao mmoja kila upande. Wakishindwana, Then wanatafuta mwenyekiti third party ambaye watamkubali wote. Wakishindwana hapo, wanakwenda ICSDI, ambayo hatukatai, bali tunakataa kwenda London!
Na kama sheria zetu zinakataza kwenda kusuluhisha mambo ya rasilimali zetu mahakama za nje, hawakupashwa kuingia mkataba huo. Hivyo huo likataba lao ni BATILI AS LONG AS IT DOES NOT TALLY WITH OUR INTERNAL LAWS, MAHAKAMA ILIPASHWA UIKATAE.
Sijui kama unanielewa
Ile ni IGA ambayo ni summary tu ya mambo mengi yanayotakiwa kuandikwa kwenye project contracts.Una kichwa cha panzi na wewe. Mktaba wa DP world main content ni protection contract........kulinda maslahi ya investment zao. Na mkataba wowote kitu cha kwanza ni ku protect interest za investors ndiyo mambo mengine yafafuatia....................wajibu wote uko kwetu (protection o their interest) , haki zote kwao (no protection of our interest).
sasa tuje kwenye matusi yako bladifaken bastard
Ushungi ndio wanasomea ujinga maana wanafundishwa ujinga wa kufunika kichwa na ukifunga kichwa muda wote wa maisha yako huwezi kufikiri maana una restrict smooth blood flow
Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa mwenzake!
Wanasheria wetu walikwama wapi, kwanini hawakupata ushauri toka kwa watu ambao walishaingia mikataba kama hii ya kimataifa!
Read! Erythrocyte
Ujomba na njaa ni shida sana.Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa mwenzake!
Wanasheria wetu walikwama wapi, kwanini hawakupata ushauri toka kwa watu ambao walishaingia mikataba kama hii ya kimataifa!
Read! Erythrocyte
Ukomo unakuwa kwenye mikataba ya kibiashara huwezi kukuta ukomo kwenye IGA, haya ndio aliyosema Profesa Assad kwamba kila mtu anajifanya kukosoa hili suala wakati uelewa wetu wengi ni zero kabisa.Hawa waarbu kama wamemwaga mpunga wamemwaga mwingi mno, ndomaana hata ukomo hauna labda maji yakauke! Matusi makubwa haya,sijui hata Mababu wa Mababu zetu wange kubaliana ujinga huu
Imenibidi nicheke kwa andiko lako hili.Kwani mkuu si kelele nyingi vipengele hasa cha ukomo virekebishwe wenye mamlaka wasikivu wataboresha sawa watakuwekea ukomo miaka 20 au 30 ili amani uipate viongozi wetu wasikivu mkuu ikiwa hivyo si inakuwa salama mkuu au bado inakuwa hopeless. Maana msingi sio kutaja huo muda msingi kuwa na kukubaliana kuwa na mapitio kila baada ya muda ili mqmbo hayaendi mnaachana lakini mkuu wewe unataka tujicommit mpaka miaka ifike 20 au 30 wakati tukiweka mapitio ya kila miaka 4 au 5 inakuwa salama zaidi tumeshindwana tunachana kwa heri kabisa na tunashake hands.
Inarekebishika lini ?!.Mnacomment bila hata kuusoma msichotaka ni migogoro kwenda kusuluhishwa na third part na hapo mbona mkataba huu ulioleta tena wa mwaka 90 na wamesema wazi migogoro itaenda kushughlikiwa kwenye mahakama ya kimataifa nje ya sweden au emirati na wahusika kwenye hio mahakama ikiwemo wanatoka katika nchi hizi zinazoingia mkataba hawataruhusiwa kusuluhisha kwenye arbitration atateuliwa mwingine. Mbona imefanana tu na huu. Japo umesema muda ni miaka 20 hata huu wetu hicho kinarekebishika kiufupi lugha ni ile ile na huu wetu.
Everybody knows that, lakini hiyo ni discretion yenu! Mnaweza kuamua iwe ndani ya host country, SI SHURUTI MUENDE NJE. Usichanganye mambo! Umesoma mkataba niliouweka hapo ?Ujue kuwa mkataba uliopita bungeni ni wa kimataifa na unakwenda kwa mujibu wa masharti ya kimataifa haiwezekani pande mbili zenye kugombana zipate usuluhishi katika nchi mmojawapo ya hizo mbili.
Ndio sababu wanakwenda afrika ya kusini, huwezi kuuchukulia mkataba wa kimataifa kwa tafsiri za sheria zetu za ndani, huu uelewa ndio ule ule wa Mwabukusi na wanasheria wenzake waliopata aibu kule Mbeya.