Angalia mkataba wa Sweden na UAE ulivyotoa haki na wajibu kwa pande zote mbili. Ulinganishe na wa kwetu

Angalia mkataba wa Sweden na UAE ulivyotoa haki na wajibu kwa pande zote mbili. Ulinganishe na wa kwetu

asante sana. HGA ndizo tanesco atasign kwa utekelezaji wa miradi ndani ya IGA! na huyo investor from abroad lazima katika mkataba Tanzania will feature as authorizing to Tanesco to sign the contract on its behalf! I stand to be corrected
Screenshot_2023-08-10-21-17-56-55_f541918c7893c52dbd1ee5d319333948.jpg
IMG_20230811_120932.jpg

Hapa chini nakuwekea kifungu 123 cha Katiba ya UAE ambacho Mahakama yenyewe imesema imetia shakha kama Dubai anauwezo wa kuingia mkataba wa kimataifa.

Screenshot_2023-08-11-08-24-10-66_f541918c7893c52dbd1ee5d319333948.jpg
 
Uko sahihi watasema hivyo. wanashau kuwa Issue hapa ni protection ya interest za Tanzania, not location of the contracting parties
Wazee wa bahasha za buku teni za DP world biashara ya protection ya interest za Tanzania hawajali!! Kikubwa ni matumbo yao yashibe vzr.
 
Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa mwenzake!

Wanasheria wetu walikwama wapi, kwanini hawakupata ushauri toka kwa watu ambao walishaingia mikataba kama hii ya kimataifa!

Read! Erythrocyte
Serikali yenu kwani ina wanasheria? Mnanilaumu bure tu.
 
Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa mwenzake!

Wanasheria wetu walikwama wapi, kwanini hawakupata ushauri toka kwa watu ambao walishaingia mikataba kama hii ya kimataifa!

Read! Erythrocyte
Hawa waarbu kama wamemwaga mpunga wamemwaga mwingi mno, ndomaana hata ukomo hauna labda maji yakauke! Matusi makubwa haya,sijui hata Mababu wa Mababu zetu wange kubaliana ujinga huu
 
Kwani ccm inategemea sanduku la Kura? Polisi siwapo?
Vyama pinzani huwa hawajipangi vizuri kusimamia masanduku ya kura. Huwa aidha hawana mawakala au wanakuwa na mawakala waliohongwa na ccm.

Zamu hii chadema wanajipanga vizuri na tayari walishaanza kampeni miaka miaka 2 na nusu kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Tena ni kampeni ya nguvu. Yaani ruhusa ya mikutano ya hadhara chadema waliichukulia kama filimbi ya kuanza kampeni ya uchaguzi mkuu wa 2025.

ACT wazalendo nao hawako nyuma. Bila shaka watamchukua Dr Slaa kama mgombea wao wa ngazi ya urais. Hapo vumbi litatimuka, upande wa chadema mgombea uraisi akiwa Mr Tundu. Hivyo Mama atapata kazi kweli kweli kupambana na mijitu ya namna hiyo na hasa kama hataachana na hii IGA ya DP World.
 
Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa mwenzake!

Wanasheria wetu walikwama wapi, kwanini hawakupata ushauri toka kwa watu ambao walishaingia mikataba kama hii ya kimataifa!

Read! Erythrocyte
Kuna tofauti kati ya taifa na nchi kavu. Tanzania ni nchi kavu.
 
Kuna mahali nilipata hii vdeo fupi - jamaa akacomment -TZ tunavyojifunga na mikataba mibovu!
 
Attachments

  • VID-20230805-WA0001.mp4
    4.6 MB
Kwani hapo wamesema wanawekeza kwenye nini? Sisi tunatetea sheria yetu ya Ulinzi wa Mali Asili za nchi ya mwaka 2017 inasema.

1. Mikataba yoyoteinayohusu Rasimali Asili za Taifa itakayosainiwa na serikali lazima ikaidhinishwe na Bunge.

Kipengere hiki kinaenda kinaondolewa automatic na Mkataba huu wetu na Dubai cos mkataba umetamka mikataba hiyo itakuwa ni siri, na ndiyo maana serikali inapeleka marekebisho Bungen mwezi 9 kifungu hicho kinaenda kueditiwa mikataba iishie kwenye Baraza la Mawaziri.

Historia ya uwepo wa kifungu hiki inatokana na mikataba ya madini iliyosainiwa huko nyuma mpaka kuja kufukuzana na Acacia Mining cos ilikuwa mikataba mibovu kwaiyo kipindi hiko ikaona iweke kipengere hicho ili umma ujie Viongozi wao wanafanya nini katika rasimali zao.

2. Sheria pia inasema migogoro yoyote inayohusu Rasimali asili za nchi itasuruhishwa katika mahakama zetu za ndani.

*Sheria inasema hivi alafu waliosaini mkataba wamesaini usuruhishi ufanyike Africa Kusini! Hii ni kinyume na sheria zetu na ndiyo maana umeona Mahakama inasema imekubaliana na walalamikaji juu mkataba huu kuvunja sheria zetu.

Kwaiyo tunaotetea, tunatetea kwa mujibu sheria yetu inavyotaka.

Huo mkataba wa Sweden na UAE wala haujaelekeza Kampuni fulani ndiyo inaenda huku tu! Na ndiyo mkataba wa ushirikiano kati ya nchi na nchi na ndiyo maana haujaweka eneo specific kama Bandari etc.

Ila we tu una maeneo specific kabisa na kampuni imetajwa kabisa, sasa jiulize tumesaini mkataba wa ushirikiano kati ya nchi na nchi au nchi na kampuni?
Ujue kuwa mkataba uliopita bungeni ni wa kimataifa na unakwenda kwa mujibu wa masharti ya kimataifa haiwezekani pande mbili zenye kugombana zipate usuluhishi katika nchi mmojawapo ya hizo mbili.

Ndio sababu wanakwenda afrika ya kusini, huwezi kuuchukulia mkataba wa kimataifa kwa tafsiri za sheria zetu za ndani, huu uelewa ndio ule ule wa Mwabukusi na wanasheria wenzake waliopata aibu kule Mbeya.
 
Wewe hujui kiingereza vema. Soma between lines: Arbitration inaanzia kwenye partner states. Wanakaa wanajadiliana kwa kuchagua watu wao mmoja kila upande. Wakishindwana, Then wanatafuta mwenyekiti third party ambaye watamkubali wote. Wakishindwana hapo, wanakwenda ICSDI, ambayo hatukatai, bali tunakataa kwenda London!
Na kama sheria zetu zinakataza kwenda kusuluhisha mambo ya rasilimali zetu mahakama za nje, hawakupashwa kuingia mkataba huo. Hivyo huo likataba lao ni BATILI AS LONG AS IT DOES NOT TALLY WITH OUR INTERNAL LAWS, MAHAKAMA ILIPASHWA UIKATAE.

Sijui kama unanielewa
Mnazidi kulishana matango pori, nani kakwambia kwamba bandari ni rasilimali ya nchi?. Kipi pale kinakuwa rasilimali, makontena au Meli?.

Usidanganywe na ile post inayotembea whatsapp ikiongelea rasilimali, hakuna kitu kama hicho.
 
Una kichwa cha panzi na wewe. Mktaba wa DP world main content ni protection contract........kulinda maslahi ya investment zao. Na mkataba wowote kitu cha kwanza ni ku protect interest za investors ndiyo mambo mengine yafafuatia....................wajibu wote uko kwetu (protection o their interest) , haki zote kwao (no protection of our interest).

sasa tuje kwenye matusi yako bladifaken bastard
Ushungi ndio wanasomea ujinga maana wanafundishwa ujinga wa kufunika kichwa na ukifunga kichwa muda wote wa maisha yako huwezi kufikiri maana una restrict smooth blood flow
Ile ni IGA ambayo ni summary tu ya mambo mengi yanayotakiwa kuandikwa kwenye project contracts.

Katika hii mikataba mipya ya Consession na Lease ndio sisi watanzania tuandike mahitaji yetu yote ya kibiashara.

Mnaleta ujuaji mpaka mnaishia kujichanganya tu.
 
Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa mwenzake!

Wanasheria wetu walikwama wapi, kwanini hawakupata ushauri toka kwa watu ambao walishaingia mikataba kama hii ya kimataifa!

Read! Erythrocyte

Halafu ni UAE sio Dubai!
 
Ujomba na njaa ni shida sana.
Tanganyika nayo in general haijielewi.
 
Hawa waarbu kama wamemwaga mpunga wamemwaga mwingi mno, ndomaana hata ukomo hauna labda maji yakauke! Matusi makubwa haya,sijui hata Mababu wa Mababu zetu wange kubaliana ujinga huu
Ukomo unakuwa kwenye mikataba ya kibiashara huwezi kukuta ukomo kwenye IGA, haya ndio aliyosema Profesa Assad kwamba kila mtu anajifanya kukosoa hili suala wakati uelewa wetu wengi ni zero kabisa.
 
Kwani mkuu si kelele nyingi vipengele hasa cha ukomo virekebishwe wenye mamlaka wasikivu wataboresha sawa watakuwekea ukomo miaka 20 au 30 ili amani uipate viongozi wetu wasikivu mkuu ikiwa hivyo si inakuwa salama mkuu au bado inakuwa hopeless. Maana msingi sio kutaja huo muda msingi kuwa na kukubaliana kuwa na mapitio kila baada ya muda ili mqmbo hayaendi mnaachana lakini mkuu wewe unataka tujicommit mpaka miaka ifike 20 au 30 wakati tukiweka mapitio ya kila miaka 4 au 5 inakuwa salama zaidi tumeshindwana tunachana kwa heri kabisa na tunashake hands.
Imenibidi nicheke kwa andiko lako hili.

Ninapata shida sana kutumia "lugha ngumu"kwa mtu kama wewe, hata kama nikiwa na shaka juu ya lengo halisi la kujifanya kuwa na ujuha wa kiwango fulani katika maandishi yako.

Hiyo IGA umeisoma ukayakuta hayo unayoyaeleza juu ya "kuelewana na kurekebisha"?
Hukuona popote Tanzania ilipopewa masharti ya kuomba ruhusa kama inaona jambo halifai, na huyo mwenye kutoa ruhusa akikataa ni nini kinachofuata?

Wewe siyo pekee unayejitoa akili na kujaribu kupotosha na wengine wakose akili.
Wewe unafanya haya si kwa uelewa wako kuwa mambo yapo hivyo, bali ni kwa kazi maalum ya kupotosha watu.
Nirudie tena.
Hopeless Kabisa.
 
Mnacomment bila hata kuusoma msichotaka ni migogoro kwenda kusuluhishwa na third part na hapo mbona mkataba huu ulioleta tena wa mwaka 90 na wamesema wazi migogoro itaenda kushughlikiwa kwenye mahakama ya kimataifa nje ya sweden au emirati na wahusika kwenye hio mahakama ikiwemo wanatoka katika nchi hizi zinazoingia mkataba hawataruhusiwa kusuluhisha kwenye arbitration atateuliwa mwingine. Mbona imefanana tu na huu. Japo umesema muda ni miaka 20 hata huu wetu hicho kinarekebishika kiufupi lugha ni ile ile na huu wetu.
Inarekebishika lini ?!.
Ujomba na uswahili tabu kidogo nchi hii.
 
Ujue kuwa mkataba uliopita bungeni ni wa kimataifa na unakwenda kwa mujibu wa masharti ya kimataifa haiwezekani pande mbili zenye kugombana zipate usuluhishi katika nchi mmojawapo ya hizo mbili.

Ndio sababu wanakwenda afrika ya kusini, huwezi kuuchukulia mkataba wa kimataifa kwa tafsiri za sheria zetu za ndani, huu uelewa ndio ule ule wa Mwabukusi na wanasheria wenzake waliopata aibu kule Mbeya.
Everybody knows that, lakini hiyo ni discretion yenu! Mnaweza kuamua iwe ndani ya host country, SI SHURUTI MUENDE NJE. Usichanganye mambo! Umesoma mkataba niliouweka hapo ?
 
Back
Top Bottom