Angalia mkataba wa Sweden na UAE ulivyotoa haki na wajibu kwa pande zote mbili. Ulinganishe na wa kwetu

Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa mwenzake!

Wanasheria wetu walikwama wapi, kwanini hawakupata ushauri toka kwa watu ambao walishaingia mikataba kama hii ya kimataifa!

Read! Erythrocyte[/USER
[/QUOTE]
Shukra. Hebu wanasheria wazalendo someni ili mtupe zile highlights wenzetu wametuangusha kwa ujinga au kupewa mlungula.
 
Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa mwenzake!

Wanasheria wetu walikwama wapi, kwanini hawakupata ushauri toka kwa watu ambao walishaingia mikataba kama hii ya kimataifa!

Read! Erythrocyte
Wamebaki tu kusema eti DP kampuni kubwa wako duniani kote. Kama kubwa ndio watupige sisi?
 
Wasomi wetu, hua wanaenda kuisoma mikataba na kushauri baada ya ku sign...
 
Back
Top Bottom