kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa mwenzake!
Wanasheria wetu walikwama wapi, kwanini hawakupata ushauri toka kwa watu ambao walishaingia mikataba kama hii ya kimataifa!
Read! Erythrocyte[/USER
[/QUOTE]
Shukra. Hebu wanasheria wazalendo someni ili mtupe zile highlights wenzetu wametuangusha kwa ujinga au kupewa mlungula.